Director Hanscana asema video ya ‘Siri’ ya Vanessa ndio inayomletea wateja kutoka nje ya Tanzania
Director wa video za muziki, Hanscana amekiri kuwa video ya Vanessa Mdee ‘Siri’, ndio iliyomfungulia soko la wasanii wa nje kuja kufanya naye video hapa Tanzania. Hanscana ambaye wiki chache zilizopita ameshoot video mpya ya Avril na Ay jijini Dar es salaam, ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa ameshafanya video za wasanii wapatao sita kutoka nje […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo511 Dec
Justin Campos atoa ushauri kwa ma-director wa Tanzania, asema anamkubali zaidi Hanscana
Justin Campos ni jina linalotajwa sana kwa sasa linapokuja swala ya video za muziki. Huyu ni muongozaji wa video kutoka Afrika Kusini ambaye alianza kufahamika zaidi Tanzania baada ya kufanya kazi na Vanessa Mdee ‘No Body But Me’.
Kupitia kampuni yake ya Gorilla Films, Justin na mke wake Candice Campos ambaye pia ni producer wa video wamefanya kazi na wasanii wengi wa Tanzania hadi sasa, na kuna wengine wanaendelea kuwatafuta ili wafanye kazi.
Katika mahojiano Exclusive na Bongo5, Justin...
9 years ago
Bongo517 Nov
New Video: Avril aachia video mpya aliyoshoot Tanzania na director Hanscana ‘No Stress’
Muimbaji Avril kutoka Kenya alikuja Tanzania mwezi September kwa lengo la kufanya media tour, na kuungana na Ben Pol kuzindua wimbo mpya ‘Ningefanyeje’ waliofanya pamoja. Kingine alikuja kushoot video ya wimbo wake mpya ‘No Stress’ aliomshirikisha AY.
Jumamosi iliyopita Avril alizindua video hiyo jijini Nairobi ambapo ilioneshwa kwa mara ya kwanza kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa Youtube. Director wa video hiyo Hanscana ambaye ni mshindi wa Tuzo Za Watu 2015 pamoja na AY walisafiri...
10 years ago
VijimamboHII NDIO VIDEO MPYA KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ AFANYA NA HANSCANA
10 years ago
Bongo523 Jan
Director Kevin Bosco wa Kenya: Hanscana is the director to watch, trust me
9 years ago
Bongo505 Oct
Video ya wasanii wa Ghana iliyoshutiwa Zanzibar na director Justin Campos akisaidiwa na Hanscana na Khalfani
9 years ago
Bongo521 Sep
Wasanii wa Tz wanapoenda kushoot video na directors wa nje hainiathiri ila inanijengea njia nzuri — Hanscana
10 years ago
GPL25 Feb
10 years ago
Bongo521 Feb
New Video: Vanessa Mdee & Barnaba – Siri