HII NDIO VIDEO MPYA KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ AFANYA NA HANSCANA
![](http://4.bp.blogspot.com/-wQBo6DQkfVg/VPcSdzH5RRI/AAAAAAAAuEk/Cbz_SUiqFII/s72-c/Nasib.jpg)
Maneno yaliyosemwa na director mkenya Kevin Bosco mwanzoni mwa mwaka huu (Hanscana is the director to watch) kuhusu director mpya anayekuja juu kwa sasa, Hanscana yanazidi kutimia.Baada ya kutisha kwenye video mpya ya Barnaba & Vanessa Mdee, sasa Hanscana amepata shavu la kushoot video mpya ya Diamond Platnumz.Kupitia kipindi cha ‘Clouds e’ cha Clouds TV, kimeoneshwa kipande kidogo cha wakati wa utengenezwaji wa video (BTS) ya wimbo mpya wa Diamond na Khadija Kopa ambayo kwa mujibu wa chanzo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo513 Oct
Director Hanscana asema video ya ‘Siri’ ya Vanessa ndio inayomletea wateja kutoka nje ya Tanzania
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-CbvAhPkO3mc/VLVKEpfrY7I/AAAAAAADVeI/ZnpektTYXhw/s72-c/d1.jpg)
9 years ago
MillardAyo27 Dec
Diamond Platnumz alivyowapagawisha wakazi wa Dar kwa hii burudani…. (+Video)
Dec 25 2015 Msanii Diamond Platnumz kutokea Wasafi Classic Baby (WCB) aliandika historia kubwa kwenye dunia ya burudani 88.5, kwa kutoa shangwe za burudani kwenye viwanja vya Dar Live Mbagala Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]
The post Diamond Platnumz alivyowapagawisha wakazi wa Dar kwa hii burudani…. (+Video) appeared first on...
9 years ago
Bongo529 Dec
Hanscana akwamisha kutoka kwa ngoma mpya ya Temba
![Temba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Temba-300x194.jpg)
Temba amedai kuwa Hanscana ndiye aliyesababisha kuharibika kwa ratiba yake ya kuachia video ya wimbo wake mpya, Fundi.
Rapa huyo ambaye miezi michache iliyopita aliwaahidi mashabiki wake kuachia wimbo ‘Fundi’ aliyowashirikisha Yamoto Band na Jokate, ameimbia Bongo5 kuwa kazi hiyo haitoweza kutoka tena mwaka huu.
“Nimeshindwa kutoa ngoma kwa sababu nilipanga kutoa audio na video lakini director Hanscana akawa amesafiri South Africa kwa short project, lakini akakaa mwezi mmoja na nusu ndio...