JIPAKULIE WIMBO MPYA KUTOKA KWA PLATNUMZ DIAMOND "NASEMA NAWE"
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 years ago
GPL28 Mar
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Bongo528 Mar
New Video: Diamond atoa video mpya ‘Nasema Nawe’ kwa kushtukiza, kamshirikisha Khadija Kopa
Diamond Platnumz ameachia video mpya ya wimbo wake mpya uitwao ‘Nasema Nawe’ aliomshirikisha malkia wa Taarab Khadija Kopa kwa kushtukiza. Tumezoea kuona video nyingi za miaka ya karibuni za Diamond zimekuwa zikifanyika nje na madirector wa nje, lakini video hii imeongozwa na director mpya wa Tanzania Hanscana na imefanyika hapa hapa nyumbani.
10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboHII NDIO VIDEO MPYA KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ AFANYA NA HANSCANA
Maneno yaliyosemwa na director mkenya Kevin Bosco mwanzoni mwa mwaka huu (Hanscana is the director to watch) kuhusu director mpya anayekuja juu kwa sasa, Hanscana yanazidi kutimia.Baada ya kutisha kwenye video mpya ya Barnaba & Vanessa Mdee, sasa Hanscana amepata shavu la kushoot video mpya ya Diamond Platnumz.Kupitia kipindi cha ‘Clouds e’ cha Clouds TV, kimeoneshwa kipande kidogo cha wakati wa utengenezwaji wa video (BTS) ya wimbo mpya wa Diamond na Khadija Kopa ambayo kwa mujibu wa chanzo...
10 years ago
Bongo513 Jan
New Music: Diamond Platnumz — Nasema Nawee
Kama hujawahi kusikiliza wimbo Diamond Platnumz akiimba mduara sikiliza hapa wimbo huu unaitwa “Nasema Nawee”
10 years ago
Vijimambo20 Nov
10 years ago
Vijimambo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania