Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Video: Diamond atoa video mpya ‘Nasema Nawe’ kwa kushtukiza, kamshirikisha Khadija Kopa

Diamond Platnumz ameachia video mpya ya wimbo wake mpya uitwao ‘Nasema Nawe’ aliomshirikisha malkia wa Taarab Khadija Kopa kwa kushtukiza. Tumezoea kuona video nyingi za miaka ya karibuni za Diamond zimekuwa zikifanyika nje na madirector wa nje, lakini video hii imeongozwa na director mpya wa Tanzania Hanscana na imefanyika hapa hapa nyumbani.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND PLATNUMZ FT KHADIJA KOPA MASEMA NAE {OFFICIAL MUSIC VIDEO}

Jionee mwenyewe yaliyo ndani ya video hii kiroho safi jitiririshe uone vitaulo walivyo piga kazi toba.

 

10 years ago

Mtanzania

Khadija Kopa, Diamond kuurudia ‘Nipepee’

Diamond Platnumz feat Khadija Kopa - 'Nasema Nawe'NA THERESIA GASPER
MALKIA wa mipasho nchini Tanzania, Khadija Kopa, anatarajia kufanya ‘remix’ ya wimbo wa ‘Nipepee’ alioshirikiana na mwanaye, Omary Kopa enzi za uhai wake.
Kopa aliweka wazi mpango wake huo wa kushirikiana na msanii, Abdul Nassib ‘Diamond’ hivi karibuni alipotembelea ofisi za New Habari (2006) Ltd zinazochapisha magazeti ya Mtanzania, Rai, The African, Bingwa na Dimba zilizopo Sinza jijini Dar es Salaam.
Alisema baada ya kushirikiana naye katika wimbo wa ‘Nasema Nawe’...

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND ATOA OFA YA NGOMA NA VIDEO KWA Q CHIEF

Mwaka 2012 kuliibuka bifu kati ya wasanii Q chillah na Diamond Platnumz, na ilikuwa ikionekana kuwa Q-Chillah ndiye mwenye tatizo na Diamond kwa sababu kabla ya bifu hilo Diamond alikuwa anamtaja Chilla kama moja kati ya wasanii waliomfanya kuingia ndani ya ‘game’ ya muziki wa Bongo Flava, lakini baadaye Q chief alianza kumtuhumu Diamond kuwa anamroga na kuchukua nyota yake.
Clouds fm ilimuuliza Diamond, anatamani msanii gani wa kitambo wa Bongo Fleva angekuwa anafanya vizuri mpaka leo?

...

 

10 years ago

Bongo5

Fid Q kwenda kushoot video mpya nje ya nchi, atoa sababu za kwanini alikuwa hafanyi video

Fareed Kubanda a.k.a Fid Q amesema anatarajia kwenda nje ya nchi kushoot video yake mpya. Rapper huyo wa Rock City amesema amedhamiria kuanza kufanya video nzuri baada ya kukaa muda mrefu bila video nzuri au wakati mwingine kutofanya kabisa licha ya kutoa hits nyingi. “Nimedhamiria kufanya video nzuri, kwahiyo kiukweli nashindwa kusema itakuwa ni aina […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani