Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Khadija Kopa, Diamond kuurudia ‘Nipepee’

Diamond Platnumz feat Khadija Kopa - 'Nasema Nawe'NA THERESIA GASPER
MALKIA wa mipasho nchini Tanzania, Khadija Kopa, anatarajia kufanya ‘remix’ ya wimbo wa ‘Nipepee’ alioshirikiana na mwanaye, Omary Kopa enzi za uhai wake.
Kopa aliweka wazi mpango wake huo wa kushirikiana na msanii, Abdul Nassib ‘Diamond’ hivi karibuni alipotembelea ofisi za New Habari (2006) Ltd zinazochapisha magazeti ya Mtanzania, Rai, The African, Bingwa na Dimba zilizopo Sinza jijini Dar es Salaam.
Alisema baada ya kushirikiana naye katika wimbo wa ‘Nasema Nawe’...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND PLATNUMZ FT KHADIJA KOPA MASEMA NAE {OFFICIAL MUSIC VIDEO}

Jionee mwenyewe yaliyo ndani ya video hii kiroho safi jitiririshe uone vitaulo walivyo piga kazi toba.

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Diamond atoa video mpya ‘Nasema Nawe’ kwa kushtukiza, kamshirikisha Khadija Kopa

Diamond Platnumz ameachia video mpya ya wimbo wake mpya uitwao ‘Nasema Nawe’ aliomshirikisha malkia wa Taarab Khadija Kopa kwa kushtukiza. Tumezoea kuona video nyingi za miaka ya karibuni za Diamond zimekuwa zikifanyika nje na madirector wa nje, lakini video hii imeongozwa na director mpya wa Tanzania Hanscana na imefanyika hapa hapa nyumbani.

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA-4

ILIPOISHIA
Khadija Kopa alizungumzia hali aliyokuwa nayo mara baada ya kutorokwa na mama yake, Hakuwa na hamu ya kula, hakutaka kuongea na mtu yeyote, mapenzi juu ya mama yake yalikuwa makubwa.
ENDELEA... Malkia wa Taarab nchini, Khadija Kopa. Kama kusoma nilisoma sana japokuwa kila siku mawazo juu ya mama yangu…

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA - 6

ILIPOISHIA: Bado Khadija Kopa anaendelea kusimulia historia ya maisha yake, kule alipopitia mpaka kuja kuwa mwanamuziki mkubwa wa Muziki wa Mwambao. Wiki iliyopita tuliishia pale alipokuwa akisema namna alivyoingia shuleni na kuanza kidato cha kwanza. Yalikuwa ni maisha mapya lakini hakutaka kukata tamaa.endelea... Sikuwa nimezoea maisha ya shuleni hapo, nilikuwa mkimya sana na kwa kiasi fulani nilianza kunenepa. Hatukuwa na...

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA - 7

Bado Khadija Kopa anaendelea kusimulia simulizi ya maisha yake. Yupo shuleni, anatamani kuimba, anapofanya hivyo, wanafunzi hasa wa kike wanaonekana kumuonea wivu na hivyo kumfunja moyo, kitu cha ajabu kwake, wavulana ndiyo waliokuwa wakimfariji, alipoambiwa hajui, wao walimwambia anajua kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha.ENDELEA NAYOÖ AZIDI KUKERWA
Ngoja niseme ukweli kwamba kwa maneno ambayo alikuwa akiyazungumza siku...

 

11 years ago

GPL

MBOTO APAGAWISHWA NA KHADIJA KOPA

Stori: Musa Mateja KOMEDIANI maarufu Bongo, Haji Salum ‘Mboto’ alijikuta akipagawishwa vilivyo na shoo ya Malkia wa Taarab Bongo, Khadija Kopa kiasi cha kushindwa kujizuia na kupanda jukwaani kuungana na wacheza shoo wake. Komedian maarufu Bongo, Haji Salum ‘Mboto’ akiwa jukwaani mara baada ya kupagawishwa vilivyo na shoo ya Malkia wa Taarab Bongo, Khadija Kopa. Tukio hilo lilitokea wikiendi iliyopita...

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA -6

ILIPOSHIA
“Kuna nini? aliniuliza huku akionekana kutokuelewa chochote.
“Nimefaulu mtihani”.“Unasemaje?”“Nimefaulu mtihani bibi,” nilimwambia kwa furaha, bibi akaonekana kuwa na furaha zaidi yangu. Sasa nikamsubiria mama naye nilitaka kumpa taarifa hiyo.ENDELEA.. Malkia wa mipasho bongo, Khadija Kopa Nakumbuka siku hiyo nilikuwa na presha kubwa, nilikuwa nikimsubiria mama kwa shauku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani