Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND ATOA OFA YA NGOMA NA VIDEO KWA Q CHIEF

Mwaka 2012 kuliibuka bifu kati ya wasanii Q chillah na Diamond Platnumz, na ilikuwa ikionekana kuwa Q-Chillah ndiye mwenye tatizo na Diamond kwa sababu kabla ya bifu hilo Diamond alikuwa anamtaja Chilla kama moja kati ya wasanii waliomfanya kuingia ndani ya ‘game’ ya muziki wa Bongo Flava, lakini baadaye Q chief alianza kumtuhumu Diamond kuwa anamroga na kuchukua nyota yake.
Clouds fm ilimuuliza Diamond, anatamani msanii gani wa kitambo wa Bongo Fleva angekuwa anafanya vizuri mpaka leo?

...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mike T atoa ofa ya video 10 kwa wasanii wachanga

Rapper Mike Tee ambaye pia ni mtayarishaji wa video za muziki chini ya kampuni ya Showbiz Defined, ameweka wazi mkakati wake wa kuwasaidia wasanii chipukizi. Mike Tee ameiambia E-Newz ya EATV kuwa ameamua kutoa ofa ya kufanya video 10 kwa wale watakaokuwa na kazi nzuri. Alisema zoezi hilo litaendeshwa mpaka tarehe 15 mwezi huu na […]

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Diamond atoa video mpya ‘Nasema Nawe’ kwa kushtukiza, kamshirikisha Khadija Kopa

Diamond Platnumz ameachia video mpya ya wimbo wake mpya uitwao ‘Nasema Nawe’ aliomshirikisha malkia wa Taarab Khadija Kopa kwa kushtukiza. Tumezoea kuona video nyingi za miaka ya karibuni za Diamond zimekuwa zikifanyika nje na madirector wa nje, lakini video hii imeongozwa na director mpya wa Tanzania Hanscana na imefanyika hapa hapa nyumbani.

 

10 years ago

Bongo5

Video: MB Dogg aezelea ujio mpya, ngoma yake na Q-Chief na bendi yao

MB Dogg amesaini mkataba mpya na kampuni ya QS Mhonda J ambayo ndiyo iliyomsainisha pia Q-Chief hivi karibuni. Wawili hao wataanzisha bendi ya pamoja ya kampuni yao, QS Music Band pamoja na waimbaji wengine. Akiongea na Bongo5 TV, MB Dogg amesema wiki ijayo wimbo alioshirikishwa na Q-Chief utaachiwa rasmi huku ngoma yake mwenyewe iitwayo ‘Herufi […]

 

10 years ago

Bongo5

P-Funk atoa ofa ya milioni 5 kwa Godzilla warudie kuurekodi wimbo wake ‘Tungi’

Mtayarishaji wa muziki na mwanzilishi wa Bongo Records, P-Funk Majani, ametoa ofa ya zaidi ya shilingi milioni 5 kwa Godzilla kumtaka warudie wimbo wake ‘Tungi’ uliopo kwenye mixtape yake, Zillax. Godzilla amekiambia kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM kuwa, mtayarishaji huyo mkongwe alisema yupo tayari kuurudia wimbo huo na kuufanyia video kutoka kwa director yoyote […]

 

10 years ago

Vijimambo

SHEIKH SHARIFU MSOPA ATOA OFA YA MAOMBI KWA VIONGOZI NA WANANCHI KUTUMIA MAFUTA MAALUMU TOKA GUBA YA UAJEMI KUWAPAKA

 Sheikh Sharifu Msopa akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanahabari Dar es Salaam leo Hoteli ya Shamoloon iliyopo Sinza kuhusu maombi hayo maalumu.  Sheikh Sharifu Msopa (kulia), akizungumza na wanahabari Dar es Salaam leo Hoteli ya Shamoloon iliyopo Sinza kuhusu maombi hayo maalumu. Kshoto ni Sheikh Maulana Salim. Sheikh Maulana Salim (kushoto), akizungumza na wanahabari katika mkutano huo. Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali na bloggers wakichukua taarifa hiyo.
Wanahabari wakichukua...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Tazama Diamond alivyopiga ngoma na kumlisha keki Wema

Tunakupa nafasi ya kuangalia baadhi ya matukio kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Diamond iliyofanyika Golden Jubilee Towers.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Producer Swizz Beatz wa Marekani azipa shavu ngoma mbili za Diamond

Producer mkongwe aliyewaingiza kwenye ramani ya muziki rappers maarufu wakiwemo EVE na DMX, Kasseem Dean maarufu kama Swizz Beatz wa nchini Marekani, ni shabiki wa nyimbo za Diamond Platnumz. Producer huyo ambaye pia ni rapper na mume wa Alicia Keys, jana aliendelea kuonesha mapenzi yake kwa muziki wa Afrika kwa kupost video za mwanae pekee […]

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND AACHIA AUDIO&VIDEO YA NGOMA YAKE MPYA IITWAYO NTAMPATA WAPI

Diamond Platinumz wakati akitambulisha ngoma yake mpya iitwayo Ntapata Wapi leo hii kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.Hapa akichagua barua za wale waliotuma kwa ajili ya watoto wao wanaompenda Diamond na atakayeshinda atatembelewa na msanii huyo nyumbani kwake.

 

10 years ago

GPL

OFA! OFA! OFA KUTOKA JAMES COSMETICS

OFA! OFA! OFA JAMES COSMETIC CO.LTD inawatangazia ofa ya punguzo la bei kwa mwezi huu mtukufu kwa kila bidhaa
pia usisahau hizi ni bidhaa za mimea na matunda kutoka viwandani na zimedhibitishwa hazina kemikal zenye madhara 1) kutoa chunusi na madoa = 50,000

2)kushep hips na figure = 60,000

3) kuongeza unene na uzito wa mwili = 60,000

4) kupunguza unene na uzito wa mwili = 70,000
5) kuondoa kitambi na nyama za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani