Mike T atoa ofa ya video 10 kwa wasanii wachanga
Rapper Mike Tee ambaye pia ni mtayarishaji wa video za muziki chini ya kampuni ya Showbiz Defined, ameweka wazi mkakati wake wa kuwasaidia wasanii chipukizi. Mike Tee ameiambia E-Newz ya EATV kuwa ameamua kutoa ofa ya kufanya video 10 kwa wale watakaokuwa na kazi nzuri. Alisema zoezi hilo litaendeshwa mpaka tarehe 15 mwezi huu na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM25 Nov
DIAMOND ATOA OFA YA NGOMA NA VIDEO KWA Q CHIEF
Mwaka 2012 kuliibuka bifu kati ya wasanii Q chillah na Diamond Platnumz, na ilikuwa ikionekana kuwa Q-Chillah ndiye mwenye tatizo na Diamond kwa sababu kabla ya bifu hilo Diamond alikuwa anamtaja Chilla kama moja kati ya wasanii waliomfanya kuingia ndani ya ‘game’ ya muziki wa Bongo Flava, lakini baadaye Q chief alianza kumtuhumu Diamond kuwa anamroga na kuchukua nyota yake.
Clouds fm ilimuuliza Diamond, anatamani msanii gani wa kitambo wa Bongo Fleva angekuwa anafanya vizuri mpaka leo?
...
9 years ago
Bongo526 Oct
Mabeste aanza kutoa semina kwa wasanii wachanga
10 years ago
Bongo506 Feb
AY atoa funzo kwa wasanii wenye malengo ya kufanya collabo na wasanii wa nje
10 years ago
Bongo507 Feb
P-Funk atoa ofa ya milioni 5 kwa Godzilla warudie kuurekodi wimbo wake ‘Tungi’
10 years ago
VijimamboSHEIKH SHARIFU MSOPA ATOA OFA YA MAOMBI KWA VIONGOZI NA WANANCHI KUTUMIA MAFUTA MAALUMU TOKA GUBA YA UAJEMI KUWAPAKA
9 years ago
Bongo516 Oct
Aslay awataka wasanii wachanga kuacha tamaa
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-aOOKcw1RQ0s/VYbIYinsSHI/AAAAAAADtCs/FjwuEiZAs8Y/s72-c/1149659_585183708212907_675930370_o.jpg)
PAUL LOOPS NA BEATSTAPE YA KUWASAIDIA WASANII WACHANGA WA HIPHOP
![](http://2.bp.blogspot.com/-aOOKcw1RQ0s/VYbIYinsSHI/AAAAAAADtCs/FjwuEiZAs8Y/s640/1149659_585183708212907_675930370_o.jpg)
kimziki wananiita Paul oops ...have been working at b records material tabata segerea na chizn brain,... nishafanya beats na couple of artists wakubwa humu nchini, moja ngoma ambayo zimefanya vizuri ni no bifu ya marehemu mngwea ft tid.. na ambazo zipo kwa sasa ni pamoja na leo ya mwasiti ft godzilla na no love ya mdplant ft mrap na country boy...
Lengo la...
9 years ago
Bongo527 Nov
Wasanii wachanga kunufaika pia na uchezwaji wa nyimbo zao
![Muziki Pesa](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Muziki-Pesa-300x194.jpg)
Baada ya Chama cha Haki Miliki Tanzania (COSOTA) pamoja na kampuni ya kusimania haki miliki za wasanii, Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) kutangaza neema kwa wasanii kuanza kunufaika kwa kulipwa mirahaba itokanayo na kazi zao kuchezwa kwenye redio na TV, wasanii wachanga wameanza kuwa na hofu na mfumo huo.
muziki pesa
Akizungumza na 255 ya XXL kupitia Clouds FM, Afisa Mtendaji Mkuu COSOTA, Doreen Anthony alisema kila kazi ya msanii itakayosikika itatakiwa kulipiwa.
“Kwetu sisi...
9 years ago
Bongo514 Nov
Ommy Dimpoz atoa sababu za wasanii wa Tanzania kutumia models wa nje kwenye video zao
![Ommy na model wa ndagushima](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Ommy-na-model-wa-ndagushima-300x194.jpg)
Ommy Dimpoz ni kati ya wasanii wa Bongo ambao wameshoot video zao kadhaa nje ya Tanzania kwa kutumia waongozaji pamoja na video models wa nje.
Ommy Dimpoz na model wa ‘Ndagushima’ Sofia Skvortsova
Wengi wanaamini upo uwezekano wa wasanii kuamua kusafiri na models kutoka nyumbani kama ambavyo husafiri na dancers wao kwenda kushoot video nje, lakini Ommy Dimpoz ana sababu za kwanini hushindwa kufanya hivyo.
“Mara nyingi models wa nje wako proffesional wanaweza kucheza character zote ambazo...