SHEIKH SHARIFU MSOPA ATOA OFA YA MAOMBI KWA VIONGOZI NA WANANCHI KUTUMIA MAFUTA MAALUMU TOKA GUBA YA UAJEMI KUWAPAKA
Sheikh Sharifu Msopa akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanahabari Dar es Salaam leo Hoteli ya Shamoloon iliyopo Sinza kuhusu maombi hayo maalumu. Sheikh Sharifu Msopa (kulia), akizungumza na wanahabari Dar es Salaam leo Hoteli ya Shamoloon iliyopo Sinza kuhusu maombi hayo maalumu. Kshoto ni Sheikh Maulana Salim. Sheikh Maulana Salim (kushoto), akizungumza na wanahabari katika mkutano huo. Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali na bloggers wakichukua taarifa hiyo.
Wanahabari wakichukua...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKINANA ATOA WITO KWA VIONGOZI KUFANYA MIKUTANO NA WANANCHI NA KURHUSU MASWALI YANAYOHUSU MAENDELEO YAO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa Kilolo Mnadani waliojitokeza kumlaki katika ziara yake wilayani Kilolo.
MBUNGE wa jimbo la Kilolo mkoani Iringa Profesa Peter Msolla akiwasalimia wananchi wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali ya kikundi cha vijana cha Muungano ambacho kina jumla ya vijana arobaini waliopata mafunzo ya kufyatua matofali na ujenzi.
Katibu Mkuu...
10 years ago
Dewji Blog08 Jun
VIDEO Sheikh Sharifu: Kiongozi Fisadi, Mla Rushwa na atakaetumia shiriki kutopita Uchaguzi Mkuu 2015
Shekeh Sharifu alizungumza na Waandishi wa Habari Juu ya Swala zima la Uchaguzi Mkuu 2015 na kusema kuwa Mwaka huu Kiongozi atatoka kwa Mungu Kiongozi Fisadi, Mla Rushwa na atakae Tumia Shiriki hatopita katika Uchaguzi Huu.
Sharifu amewataka viongozi wote wanaotaka kugombea basi waende wakaombewe wamegungua zoezi maalumu kuhusu maombi ya Viongozi ambao watagombea Mwaka Huu, Na kusema kuwa kiongozi yeyote ambaye atatumia shiriki hatokaa madarakani atapata ajili kutokana na mwaka huu...
10 years ago
Bongo513 Aug
Mike T atoa ofa ya video 10 kwa wasanii wachanga
10 years ago
CloudsFM25 Nov
DIAMOND ATOA OFA YA NGOMA NA VIDEO KWA Q CHIEF
Mwaka 2012 kuliibuka bifu kati ya wasanii Q chillah na Diamond Platnumz, na ilikuwa ikionekana kuwa Q-Chillah ndiye mwenye tatizo na Diamond kwa sababu kabla ya bifu hilo Diamond alikuwa anamtaja Chilla kama moja kati ya wasanii waliomfanya kuingia ndani ya ‘game’ ya muziki wa Bongo Flava, lakini baadaye Q chief alianza kumtuhumu Diamond kuwa anamroga na kuchukua nyota yake.
Clouds fm ilimuuliza Diamond, anatamani msanii gani wa kitambo wa Bongo Fleva angekuwa anafanya vizuri mpaka leo?
...
10 years ago
MichuziSHEIKH MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO SHEIKH ABDULKADIR MOHAMED RAMIYA ATOA TAMKO LEO
10 years ago
Bongo507 Feb
P-Funk atoa ofa ya milioni 5 kwa Godzilla warudie kuurekodi wimbo wake ‘Tungi’
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
Maombi ya Sheikh Farid yaanza kusikilizwa
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imeanza kusikiliza maombi ya Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Sheikh Farid Hadi Ahmed (43) na wenzake yaliyoomba Mahakama ipitie kesi...
10 years ago
Habarileo18 Jul
Rais atoa mkono wa Iddi kwa wenye mahitaji maalumu
RAIS Jakaya Kikwete ametoa mkono wa Sikukuu ya Iddi kwa watu wa makundi mbalimbali wenye mahitaji maalum ikiwa ni pamoja na vituo vya watoto yatima, walemavu na wazee zawadi zenye thamani ya zaidi ya Sh 7, 420,000.
9 years ago
StarTV23 Nov
Mafuta Kitalu Cha Eyasi Wembere  Serikali kutumia Sh. Mil. 14 kwa utafiti
Serikali imekusudia kutumia kiasi cha shilingi milioni 14 kufanikisha utafiti wa awali wa mafuta katika eneo la kitalu cha Eyasi Wembere kwenye mikoa ya Arusha, Singida, Shinyanga, Simiyu, Tabora na baadae Mandawa mkoani Lindi.
Tayari utafiti huo utaanza Novovemba 23 mwaka huu chini ya shirika la ndege Kampuni ya C-GG kutoka nchini Canada linalojihusisha na mambo ya utafiti wa mafuta na gesi.
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania TPDC Dr. James Mataragio wakati...