Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais atoa mkono wa Iddi kwa wenye mahitaji maalumu

RAIS Jakaya Kikwete ametoa mkono wa Sikukuu ya Iddi kwa watu wa makundi mbalimbali wenye mahitaji maalum ikiwa ni pamoja na vituo vya watoto yatima, walemavu na wazee zawadi zenye thamani ya zaidi ya Sh 7, 420,000.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Safari ndefu kwa watoto wenye mahitaji maalumu

>Wengi hujikuta wakipigwa, wakitukanwa, wakinyanyaswa au wakipewa adhabu kali na walimu wao kutokana na hali zao wakiwa darasani.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa jimbo la Temeke Abbas Mtemvu atoa misaada kwa watu wenye mahitaji maalum Dar

Baadhi ya misaada mbalimbali  iliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu kwa watu wenye mahitaji maalum.(Picha zote na Khamisi Mussa).

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation , Sitti Mtemvu  akizungumza na walezi wa watu wenye mahitaji maalum, wakati Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu  alipokabidhi misaada ya vitu mbalimbali, vikiwemo vyakula, mafuta ya kula, magodoro na kompyuta ambapo jumla ya vikundi kumi na vitatu vimepatiwa misaada mbalimbali na mbunge...

 

10 years ago

Michuzi

CBA yasaidia wenye mahitaji maalumu kupitia mashindano ya mbuzi

Afisa mwandamizi wa Masoko wa Benki ya CBA, Solomon Kawiche akikabidhi mfano wa hundi ya sh laki sita kwa Sue Hurford ambaye mbuzi wao aliibuka kidedea wa shindano lililopewa jina la CBA ‘Sparkers’ lililodhaminiwa na benki hiyo wakati wa mashindano ya mwaka huu ya mbio za mbuzi jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Fedha hiyo itapewa Hospitali ya CCBRT. Mbuzi wakitimua mbio ili kumpata mshindi wa shindano katika mbio za mbuzi​lililopewa jina la 'CBA Sparkers’ lililodhaminiwa na benki ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Mahitaji ya makundi maalumu kwa wagombea

Wakati kampeni za uchaguzi mkuu zikiwa zinaanza leo, makundi mbalimbali maalumu, yameeleza mambo ambayo wangetaka Serikali ijayo ingeyashughulikia ili kuwapunguzia ugumu wa maisha.

 

9 years ago

Michuzi

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli Atoa Mkono wa Krismas na Mwaka Mpya kwa Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar.


Mlukulu wa Ikulu Zanzibar Ndg Ameir Ali Khatib akimkabidhi Mbuzi Sister Mary Gemma wa kituo cha Wazee Welezo, hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya Wazee hao Welezo Zanzibar, Vyakula hivyo vimetolewa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli kwa ajili ya Wazee hao kujumuiika na Wananchi katika kusherehekea Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya. Mlukulu wa Ikulu Zanzibar Ndg Ameir Ali Khatib akimkabidhi Mafuta ya Kupikia Sister Mary Gemma wa kituo cha Wazee Welezo, hafla...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Shein atoa mkono wa Eid El Hajj kwa wazee wa Welezo na Sebleni Zanzibar

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Zanzibar Bi Asha Abdalla wakiongozana na mlezi wa Wazee Welezo wakiwasili katika viwanja vya Makaazi ya Wazee Welezo Unguja kumuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, kutowa Mkono wa Eid kwa Wazee hao kusherehekea Sikukuu hiyo ya Eid El Hajj.

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha akizungumza na Wazee wa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WATOTO YATIMA ,MAHABUSU YA WATOTO PAMOJA NA WAZEE WASIOJIWEZA

Watawa wa kituo cha kulea watoto yatima cha Mburahati wakipokea msaada wa Mbuzi,Mchele na Mafuta uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete, kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo katika hafla iliyofanyika leo katika Mahabusu ya Watoto Jijini Dar es Salaam. Mwakilishi wa Kituo cha Darul Alqam, Shaban Mohamed akipokea msaada wa Mbuzi,Mchele na Mafuta uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete, kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo katika hafla...

 

10 years ago

Michuzi

MTEMVU ATOWA MISAADA KWA WATU WENYE MAHITAJI MAALUM JIJINI DAR ES SALAAM

Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akikabidhi misaada kwa Mlezi wa kituo cha Makao ya Taifa ya watoto wenye shida maalum cha kurasini  Beatrice Mgumilo
Mbunge wa Jimbo la Temeke na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu ametoa msaada wa vitu mbalimbali vya nafaka na magodoro pamoja na kompyuta kwa Yamoto Band ambapo jumla ya vikundi kumi na vitatu vimepatiwa misaada mbalimbali na mbunge huyo.
mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation , Sitti Mtemvu  akizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WATANZANIA WAISHIO GENEVA-USWISI (TAS) WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI

Chama cha Watanzania waishio Geneva wametoa mchango wa vifaa ikiwa pamoja na tank la kuhifadhia maji,viti na meza za kusomea, jiko la gesi na mtungi wa Gesi ili kusaidia watoto wa kituo cha Amani Orphanage Centre.  Msaada huo uliwasilishwa kwa niaba ya TAS na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt Agnes Kijazi. Akiwasilisha mchango huo kwa niaba ya TAS. Dkt Kijazi alielezea upendo walionao watanzania hao kwa kuwakumbuka watoto wa kituo cha Amani. Alisema upendo huo ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani