CBA yasaidia wenye mahitaji maalumu kupitia mashindano ya mbuzi
![](http://3.bp.blogspot.com/-JIFPnS19jZ8/VWre_YCuL5I/AAAAAAAHa7w/fK5W0rf64BM/s72-c/unnamed%2B%252840%2529.jpg)
Afisa mwandamizi wa Masoko wa Benki ya CBA, Solomon Kawiche akikabidhi mfano wa hundi ya sh laki sita kwa Sue Hurford ambaye mbuzi wao aliibuka kidedea wa shindano lililopewa jina la CBA ‘Sparkers’ lililodhaminiwa na benki hiyo wakati wa mashindano ya mwaka huu ya mbio za mbuzi jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Fedha hiyo itapewa Hospitali ya CCBRT.
Mbuzi wakitimua mbio ili kumpata mshindi wa shindano katika mbio za mbuzilililopewa jina la 'CBA Sparkers’ lililodhaminiwa na benki ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Jul
Safari ndefu kwa watoto wenye mahitaji maalumu
10 years ago
Habarileo18 Jul
Rais atoa mkono wa Iddi kwa wenye mahitaji maalumu
RAIS Jakaya Kikwete ametoa mkono wa Sikukuu ya Iddi kwa watu wa makundi mbalimbali wenye mahitaji maalum ikiwa ni pamoja na vituo vya watoto yatima, walemavu na wazee zawadi zenye thamani ya zaidi ya Sh 7, 420,000.
10 years ago
VijimamboCBA YAIBUKA BINGWA MASHINDANO YA SOKA YA MABENKI NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
9 years ago
Mwananchi22 Aug
Mahitaji ya makundi maalumu kwa wagombea
10 years ago
MichuziCBA YAIBUKA BINGWA MASHINDANO YA SOKA YA MABENKI NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII Inbox x
10 years ago
Dewji Blog19 May
Wanawake wahimizwa kusaidia makundi yenye mahitaji maalumu
Mwanyekiti wa Umoja wa Wanawake watumishi kanisa la Pentekoste (UWW) mjini Singida, Lessi Jared (kushoto) akimkabidhi vifaa tiba Kaimu mganga mfawidhi hospital ya mkoa ya mjini Singida, Dk.Daniel Tarimo.Vifaa tiba hivyo vingi vikiwa kwa matumizi ya chumba cha upasuaji imedaiwa kuwa gharama yake ni mamilioni ya shilingi, vimetolewa na shirika lisilo la kiserikali la waumini wanawake kanisa Pentekoste nchini Denmark-Heart to Heart.
Mganga Kaimu mganga mfawidhi hospitali ya mkoa mjini...
10 years ago
Dewji Blog01 Jun
Tigo yadhamini mashindano ya mbio za Mbuzi jijini Dar
Vijana wakikimbiza Mbuzi ili kupata mshindi wa mbio hizo wakati wa tamasha la mbio za Mbuzi (Goat Race) lillilofanyika Dar es Salaam.
Vijana wakiingiza Mbuzi katika eneo la kukimbilia wakati wa tamasha la mbio za Mbuzi (Goat Race) lilofanyika jijini Dar es Salaam.
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo John Wanyancha (kushoto) akikabidhi hundi kwa mmiliki wa Mbuzi aliyeshinda, Mark Golding kutoka kampuni ya PM Group.
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya...
10 years ago
GPLWANAHABARI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU WAKABIDHIWA MILIONI 20
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-neWP6fd9VMs/VRAWjkK37sI/AAAAAAAHMbA/HXrcJ7OmiVg/s72-c/unnamed%2B(67).jpg)
Wafanyakazi wa Airtel wadhamini ujenzi wa darasa la shule ya watoto wa mahitaji maalumu Pongwe Tanga