WANAHABARI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU WAKABIDHIWA MILIONI 20
Kutoka kushoto ni, Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbalimbali, Benjamin Thompson , Adolf Simon Kivamwo, pamoja na Athuman Hamis. Athuman Hamis aliyepatwa na matatizo ya ugonjwa akizungumza jambo kwenye mkutano huo. Mfano wa hundi…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-0mRYsTNfsTY/VbjFrQRCHDI/AAAAAAAC9Dc/Qvr15tviQZk/s72-c/2.jpg)
KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU
![](http://1.bp.blogspot.com/-0mRYsTNfsTY/VbjFrQRCHDI/AAAAAAAC9Dc/Qvr15tviQZk/s640/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Fa5_n9_MOso/VbjFqqe6J3I/AAAAAAAC9DU/P_FbShviPM0/s640/3.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UyxYit5p5wY/Vcm82bKTOSI/AAAAAAAHwBc/Atp5EGaXBOM/s72-c/1...jpg)
WASANII WATAKIWA KUWAKUMBUKA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM
Wasanii nchini wametakiwa kurejesha kwa jamii sehemu ya faida wanayoipata kupitia kazi zao za Sanaa kwa kuwakumbuka watoto wenye mahitaji maalum ili kujijengea mtandao wa kudumu wa masoko, uhalali na taswira nzuri kwa jamii.
Wito huo umetolewa mapema wiki hii na mtengeneza filamu wa Tanzania mwenye makazi yake nchini Marekani Bi. Honeymoon Mohamed wakati akiwasilisha mada kuhusu Filamu za Kitanzania na Masoko kwenye programu ya Jukwaa la Sanaa inayoandaliwa na Baraza la Sanaa...
10 years ago
Bongo Movies13 Aug
Wasanii Watakiwa Kukumbuka Watoto Wenye Mahitaji Maalum
Afisa Habari wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Aristides Kwizela (Kushoto) akifuatilia burudani zilizokuwa zikitolewa na watoto wanaondaliwa na Baraza hilo kupitia programu ya ‘Sanaa kwa Watoto’ wakati wakitumbuiza kwenye Jukwaa la Sanaa la BASATA mapema wiki hii. Watoto hao wanatoka shule ya Msingi ya Msimbazi iliyoko Ilala jijini Dar es Salaam. Katikati ni Msanii wa filamu Honeymoon Mohamed na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti na Stadi za wasanii Bi. Vick Temu.
Katibu Mtendaji wa...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Mahitaji vifaa vya kufundishia wenye ulemavu yanatakiwa
MATATIZO yanayoikabili jamii watu wenye ulemavu katika elimu bado ufumbuzi wake haujaonekana. Utaratibu mbaya usiojali upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia katika shule, unadaiwa kuwa ndiyo chanzo kinachokwamisha elimu kwa wenye...
11 years ago
Mwananchi01 Jul
Safari ndefu kwa watoto wenye mahitaji maalumu
10 years ago
Habarileo18 Jul
Rais atoa mkono wa Iddi kwa wenye mahitaji maalumu
RAIS Jakaya Kikwete ametoa mkono wa Sikukuu ya Iddi kwa watu wa makundi mbalimbali wenye mahitaji maalum ikiwa ni pamoja na vituo vya watoto yatima, walemavu na wazee zawadi zenye thamani ya zaidi ya Sh 7, 420,000.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-JIFPnS19jZ8/VWre_YCuL5I/AAAAAAAHa7w/fK5W0rf64BM/s72-c/unnamed%2B%252840%2529.jpg)
CBA yasaidia wenye mahitaji maalumu kupitia mashindano ya mbuzi
![](http://3.bp.blogspot.com/-JIFPnS19jZ8/VWre_YCuL5I/AAAAAAAHa7w/fK5W0rf64BM/s640/unnamed%2B%252840%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-iF6XW1X9BmI/VWrfAHhax3I/AAAAAAAHa70/Fgdgk2uDHp8/s640/unnamed%2B%252841%2529.jpg)
5 years ago
MichuziTCRA CCC YATOA CHANGAMOTO ZA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM -PATANDI
Anayezungumza ni Katibu Mtendaji kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji wa huduma za mawasiliano Tanzania (TCRA CCC )Mary Shao Msuya,kulia kwake ni Mhandisi mwandamizi TCRA Jan Kaaya ,akifuatiwa na mjumbe wa Baraza
Mmoja wa wanafunzi mwenye ulemavu wa ngozi na uoni hafifu kutoka Chuo cha Ualimu Patandi akiuliza swali kwa Baraza la Usahauri la watumiaji wa huduma za mawasiliano Tanzania
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha ualimu Patandi waliojikusanya kwaajili ya kupatiwa elimu juu ya matumizi...
5 years ago
MichuziTCRA CCC YAPOA CHANGAMOTO ZA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM -PATANDI
Anayezungumza ni Katibu Mtendaji kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji wa huduma za mawasiliano Tanzania (TCRA CCC )Mary Shao Msuya,kulia kwake ni Mhandisi mwandamizi TCRA Jan Kaaya ,akifuatiwa na mjumbe wa Baraza
Mmoja wa wanafunzi mwenye ulemavu wa ngozi na uoni hafifu kutoka Chuo cha Ualimu Patandi akiuliza swali kwa Baraza la Usahauri la watumiaji wa huduma za mawasiliano Tanzania
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha ualimu Patandi waliojikusanya kwaajili ya kupatiwa elimu juu ya matumizi...