Mahitaji ya makundi maalumu kwa wagombea
Wakati kampeni za uchaguzi mkuu zikiwa zinaanza leo, makundi mbalimbali maalumu, yameeleza mambo ambayo wangetaka Serikali ijayo ingeyashughulikia ili kuwapunguzia ugumu wa maisha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 May
Wanawake wahimizwa kusaidia makundi yenye mahitaji maalumu
Mwanyekiti wa Umoja wa Wanawake watumishi kanisa la Pentekoste (UWW) mjini Singida, Lessi Jared (kushoto) akimkabidhi vifaa tiba Kaimu mganga mfawidhi hospital ya mkoa ya mjini Singida, Dk.Daniel Tarimo.Vifaa tiba hivyo vingi vikiwa kwa matumizi ya chumba cha upasuaji imedaiwa kuwa gharama yake ni mamilioni ya shilingi, vimetolewa na shirika lisilo la kiserikali la waumini wanawake kanisa Pentekoste nchini Denmark-Heart to Heart.
Mganga Kaimu mganga mfawidhi hospitali ya mkoa mjini...
11 years ago
Mwananchi01 Jul
Safari ndefu kwa watoto wenye mahitaji maalumu
10 years ago
Habarileo18 Jul
Rais atoa mkono wa Iddi kwa wenye mahitaji maalumu
RAIS Jakaya Kikwete ametoa mkono wa Sikukuu ya Iddi kwa watu wa makundi mbalimbali wenye mahitaji maalum ikiwa ni pamoja na vituo vya watoto yatima, walemavu na wazee zawadi zenye thamani ya zaidi ya Sh 7, 420,000.
11 years ago
Mwananchi17 Mar
Sitta aahidi nafasi zaidi kwa makundi maalumu
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
Hongera RFE kusaidia makundi yenye mahitaji
CHANGAMOTO kubwa inayoikabili jamii yetu ni suala zima la maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) na ukimwi. Zaidi ya watu milioni 38.6 duniani wanaishi na VVU, kati ya idadi hiyo,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-egMii4vNgUk/XrkktTj-6eI/AAAAAAALpvM/xltESYAjBtsKqVpRr2drrpp__6HuvGhjQCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
DHANA YA UWEZESHAJI WANANCHI IMEGUSA MAHITAJI YA MAKUNDI MAALUM
![](https://1.bp.blogspot.com/-egMii4vNgUk/XrkktTj-6eI/AAAAAAALpvM/xltESYAjBtsKqVpRr2drrpp__6HuvGhjQCLcBGAsYHQ/s320/index.jpg)
SERIKALI ikishirikiana na wadau mbalimbali kutoka Sekta Binafsi imekuwa ikitekeleza majukumu mbalimbali ya kuwawezesha Wananchi Kiuchumi ili kumuwezesha Mtanzania kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi na kumiliki rasilimali.
Ili kuweka msisitizo zaidi katika kuwawezesha wananchi kiuchumi, Serikali ilitunga Sera ya Taifa ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ya mwaka 2004 yenye lengo la kutoa mwongozo wa kuhakikisha kwamba wananchi wanapata...
10 years ago
VijimamboWLAC YAENDESHA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI KUPIGA KURA KWA WANAWAKE WALIO KATIKA MAKUNDI MAALUMU
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-JIFPnS19jZ8/VWre_YCuL5I/AAAAAAAHa7w/fK5W0rf64BM/s72-c/unnamed%2B%252840%2529.jpg)
CBA yasaidia wenye mahitaji maalumu kupitia mashindano ya mbuzi
![](http://3.bp.blogspot.com/-JIFPnS19jZ8/VWre_YCuL5I/AAAAAAAHa7w/fK5W0rf64BM/s640/unnamed%2B%252840%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-iF6XW1X9BmI/VWrfAHhax3I/AAAAAAAHa70/Fgdgk2uDHp8/s640/unnamed%2B%252841%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-neWP6fd9VMs/VRAWjkK37sI/AAAAAAAHMbA/HXrcJ7OmiVg/s72-c/unnamed%2B(67).jpg)
Wafanyakazi wa Airtel wadhamini ujenzi wa darasa la shule ya watoto wa mahitaji maalumu Pongwe Tanga