Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WLAC YAENDESHA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI KUPIGA KURA KWA WANAWAKE WALIO KATIKA MAKUNDI MAALUMU

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake na Watoto (WLAC), Theodosia Muhulo Nshala, akizungumza na wanahabari katika kongamano hilo. Mwanaharakati wa masuala ya haki za binadamu, Gema Akilimali, akitoa mada kwenye kongamano la uhamashaji upigaji kura lililofanyika Dar es Salaam leo asubuhi. Kongamano hilo liloandaliwa mahususi kwa watu wa kundi maalumu liliandaliwa na Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC)
 Mmoja wa washiriki wa kongamano hilo, Kuruthum Dindili...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NHIF Mkoa wa Manyara, yaendesha kongamano la uhamasishaji wa mpango wa Kikoa kwa wajasiriamali

Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Mkoani Manyara, Mh. Mahmoud Kambona akizungumza wakati akifungua kongamano la uhamasishaji wa mpango wa Bima ya Afya wa kikoa kwa wajasiriamali na vikundi vilivyosajiliwa Mji mdogo wa Mirerani.Kulia kwake ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa mkoa huo, Isaya Shekifu na kushoto kwake ni Ofisa Tarafa ya Moipo, Joseph Mtataiko. Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa Mkoa wa Manyara, Isaya Shekifu akizungumza katika kongamano la...

 

10 years ago

Michuzi

ONYESHA UZALENDO KWA KUPIGA KURA KWA KINARA WA UHAMASISHAJI WA AFYA YA MAMA NA MTOTO ROSE MWALONGO


 Sijambo la ajabu kwa wasomaji wa habari za kila siku kujikuta wakichagua baadhi ya kurasa au kutilia maanani zaidi habari za aina fulani, na hapa ina maana kuwa kuna vichwa vya habari vitakavyo wavuta kusoma habari yake mwanzo hadi mwisho.Harakati za kutetea haki za watoto na wanawake ndio eneo langu. Ndio maana habari hii haikunipita, habari iliyoandikwa kwenye habari iliyoandikwa kwenye gazeti la the Guardian,  na nitaandika sehemu ya habari hii ili nanyi msome:“’Nilipokuwa mdogo sana...

 

11 years ago

Michuzi

WILDAF yaendesha Mkutano kwa Wadau wake wa Kupiga Vita Ukatili Dhidi ya wanawake nchini

Mkugenzi Mkuu wa Shirika la Wanawake Katika Sheria na Maendeleo ya Afrika (WILDAF),Judith Odunga (kulia) akizungumza wakati wa  ufunguzi wa Warsha ya siku moja ya kuadhimisha ya Siku ya Wanawake inayoadhimishwa kila March 8 Duniani kote,iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa,jijini Dar es Salaam.Wengine pichano toka kushoto ni Lucy Marere kutoka Ubalozi wa Ireland,Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC),Wakili Harold Sungusia,Mhadhiri wa...

 

9 years ago

Michuzi

WANAWAKE JITOKEZENI KWA WINGI KUPIGA KURA - MAMA SALMA KIKWETE

Na Anna Nkinda – TarimeWANAWAKE wilayani Tarime wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwezi huu itakapofika na wachague viongozi watakaowaona wanafaa ambao watawaletea  maendeleo.
Rai hiyo imetolewa leo na  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanawake wa wilaya hiyo iliyopo mkoani Mara katika ukumbi wa mikutano uliopo katika hoteli ya CMG.
Mama Kikwete ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kupitia wilaya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanawake wahimizwa kusaidia makundi yenye mahitaji maalumu

DSC05830

Mwanyekiti wa Umoja wa Wanawake watumishi kanisa la Pentekoste (UWW) mjini Singida, Lessi Jared (kushoto) akimkabidhi vifaa tiba Kaimu mganga mfawidhi hospital ya mkoa ya mjini Singida, Dk.Daniel Tarimo.Vifaa tiba  hivyo vingi vikiwa kwa matumizi ya chumba cha upasuaji imedaiwa kuwa gharama yake ni mamilioni ya shilingi, vimetolewa na shirika lisilo la kiserikali la waumini wanawake kanisa Pentekoste nchini Denmark-Heart to Heart.

DSC05834

Mganga Kaimu mganga mfawidhi hospitali ya mkoa mjini...

 

9 years ago

Mwananchi

Samia atumia kongamano la wanawake kupiga kampeni

Mgombea mwenza wa urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan jana alitumia fursa aliyopata katika Kongamano la Wanawake wa Vyuo vikuu na Wanataaluma, lililowakutanisha wagombea wanawake wa vyama vyote vya siasa kukiombea kura chama chake.

 

9 years ago

Habarileo

Wanawake wahamasishwa kupiga kura

SHIRIKA lisilo la kiserikali ya Woman Wake Up (Wowap) limewataka wanawake wote kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura na kuchagua viongozi wanaowataka ambao watajali maslahi yao.

 

5 years ago

Michuzi

MAFUNZO YA UHAMASISHAJI NA WAELIMISHAJI WA MTANDAO WA WANAWAKE KATIKA JESHI LA MAGEREZA NCHINI YAFANYIKA MKOANI MOROGORO


Na Sajini Taji, Shani Mhando, Morogoro
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Jinsia katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto Bi.Mboni Mgaza amepongeza kuanzishwa  kwa mtandao wa wanawake katika Jeshi la Magereza nchini.
Akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo ya  mtandao wa wanawake katika Jeshi la Magereza jana Mkoani Morogoro, Bi Mboni amesema, hii ni hatua nzuri sana yakupongezwa kwa Jeshi hilo kwani itahakikisha wanawake  katika nyanja zote wanatumia fursa...

 

10 years ago

Vijimambo

NHC yaendesha kongamano na kuwataka watendaji wake kuongeza ubunifu katika kazi zao

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza jambo katika kongamano hilo ambapo alisisitiza umuhimu wa Watendaji wa NHC kuongeza ubunifu katika kazi zao ili kuongeza ufanisi wa kazi zao.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akikabidhi zawadi ya simu ya kisasa ya I Phone 6 kwaajili ya kuboresha ufanisi kwa Ofisa Mwandamizi Uendelezaji Biashara Fatima Rajabu ambaye aliibuka mshindi wa jumla wa maigizo ya vitendo kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani