Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake wahamasishwa kupiga kura

SHIRIKA lisilo la kiserikali ya Woman Wake Up (Wowap) limewataka wanawake wote kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura na kuchagua viongozi wanaowataka ambao watajali maslahi yao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WANAWAKE JITOKEZENI KWA WINGI KUPIGA KURA - MAMA SALMA KIKWETE

Na Anna Nkinda – TarimeWANAWAKE wilayani Tarime wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwezi huu itakapofika na wachague viongozi watakaowaona wanafaa ambao watawaletea  maendeleo.
Rai hiyo imetolewa leo na  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanawake wa wilaya hiyo iliyopo mkoani Mara katika ukumbi wa mikutano uliopo katika hoteli ya CMG.
Mama Kikwete ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kupitia wilaya...

 

10 years ago

Vijimambo

WLAC YAENDESHA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI KUPIGA KURA KWA WANAWAKE WALIO KATIKA MAKUNDI MAALUMU

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake na Watoto (WLAC), Theodosia Muhulo Nshala, akizungumza na wanahabari katika kongamano hilo. Mwanaharakati wa masuala ya haki za binadamu, Gema Akilimali, akitoa mada kwenye kongamano la uhamashaji upigaji kura lililofanyika Dar es Salaam leo asubuhi. Kongamano hilo liloandaliwa mahususi kwa watu wa kundi maalumu liliandaliwa na Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC)
 Mmoja wa washiriki wa kongamano hilo, Kuruthum Dindili...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanawake wahamasishwa kuwania uongozi TZ

Wanawake visiwani Unguja wahamasishwa kuwania uongozi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake wahamasishwa kushiriki Siku ya Mwanamke

WANAWAKE nchini wamehamasishwa kushiriki Siku ya Wanawake Duniani itakayoadhimishwa Machi 15 jijini Dar es Salaam na kujadili masuala mbalimbali ya kumwezesha mwanamke. Mjumbe wa Mradi wa Mwanamakuka (Mwanamakuka Award) ambaye...

 

11 years ago

Michuzi

Wanawake wahamasishwa kushiriki siku ya mwanamke duniani

Mjumbe wa Mradi wa Mwanamakuka (Mwanamakuka Awards) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Wanawake Tanzania,Bi. Margareth Chacha akisisitiza jambo mbele ya washindi wa Mwanamakuka mwaka 2012 na 2013 alipokuwa akiongelea siku ya wanawake duniani tarehe 15 mwezi ujao mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Meneja wa Mradi wa Mwanamakuka ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kituo cha Wanawake Marafiki (Unit of Women Friends),Bi Maryam Shamo.

 

9 years ago

Mwananchi

Waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema wapiga kura waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura katika uchaguzi utakaofanyika nchini kote siku ya Jumapili.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wanawake wakiafrika wahamasishwa kujiunga na sekta ya usafiri wa anga

Ann-Marie Lewis

Rubani mwanamke, Anne-Marie Lewis.

Pamoja na kwamba uwepo wa  wanawake katika sekta ya usafiri wa anga bado ni mdogo, uwezo wa kuwa viongozi katika usafiri wa anga hauna mwiko. Wanawake barani Afrika hawapaswi kuogopa kuwa sehemu ya sekta hii inayokua barani kote. Hayo ni maneno kutoka kwa rubani mwanamke wa kwanza kuongoza ndege aina ya Airbus A380 inayomilikiwa na kampuni la fastjet Tanzania, rubani Anne-Marie Lewis, ambaye huongoza ndege hii ya Airbus katika mikoa ya Tanzania na nchi...

 

11 years ago

Michuzi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yasisitiza wapiga kura ndani ya Jimbo la Chalinze wajitokeze kwa wingi na kwenda kupiga kura

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kushoto) akitoa risala siku moja kabla ya ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Chalinze kwa waadishi wa habari leo katika ukumbi halmashauri ya mji wa Bagamoyo. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Hamid Mahmuod na wa kwanza kulia ni Mjumbe wa Tume hiyo Prof. Amon Chaligha. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kulia)...

 

9 years ago

Vijimambo

WASIOONA WATISHIA KUTOMPIGIA KURA MWANASIASA AMBAYE HAJAWAWEKEA MAZINGIRA RAFIKI YA WAO KUPIGA KURA WAKATI WA UCHAGUZI MKUU

 Mwenyekiti wa Chama cha Wasioona Tanzania (TLB), Luis Benedicto (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu wasiona kutengwa katika mchakato mzima wa uchaguzi kuanzia kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa chama hicho, Jonas Lubago na Katibu Mkuu wa TLB, Emmanuel Simon Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika mkutano huo.
Na Dotto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani