ONYESHA UZALENDO KWA KUPIGA KURA KWA KINARA WA UHAMASISHAJI WA AFYA YA MAMA NA MTOTO ROSE MWALONGO
Sijambo la ajabu kwa wasomaji wa habari za kila siku kujikuta wakichagua baadhi ya kurasa au kutilia maanani zaidi habari za aina fulani, na hapa ina maana kuwa kuna vichwa vya habari vitakavyo wavuta kusoma habari yake mwanzo hadi mwisho.Harakati za kutetea haki za watoto na wanawake ndio eneo langu. Ndio maana habari hii haikunipita, habari iliyoandikwa kwenye habari iliyoandikwa kwenye gazeti la the Guardian, na nitaandika sehemu ya habari hii ili nanyi msome:“’Nilipokuwa mdogo sana...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWLAC YAENDESHA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI KUPIGA KURA KWA WANAWAKE WALIO KATIKA MAKUNDI MAALUMU
10 years ago
Michuzi04 Oct
WANAWAKE JITOKEZENI KWA WINGI KUPIGA KURA - MAMA SALMA KIKWETE
Rai hiyo imetolewa leo na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanawake wa wilaya hiyo iliyopo mkoani Mara katika ukumbi wa mikutano uliopo katika hoteli ya CMG.
Mama Kikwete ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kupitia wilaya...
5 years ago
Michuzi
DC CHONJO AWAPONGEZA WAUGUZI KITUO CHA AFYA SABASABA KWA KUTOKUWA NA VIFO VYA MAMA NA MTOTO


**********************
NA FARIDA SAIDY,MOROGORO
MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo , amezindua
rasmi Wodi ya Wazazi ijulikanyo kwa jina la “Wodi ya Wazazi Regina
Chonjo” katika Kituo cha Afya cha Sabasaba Manispaa ya Morogoro.
Akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi huo,
Mhe Chonjo, amewataka Wauguzi kutumia taaluma zao kwa uwaledi ili
Wazazi wajifungue salama.
Aidha, amekipongeza kituo hicho cha afya kwani tangia ianze huduma
ya uzalishaji haijawai kutokea...
11 years ago
Michuzi
Tume ya Taifa ya Uchaguzi yasisitiza wapiga kura ndani ya Jimbo la Chalinze wajitokeze kwa wingi na kwenda kupiga kura


9 years ago
Habarileo07 Dec
47 wadaiwa kuachika kwa kupiga kura Zanzibar
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) - Zanzibar, kimeelezea kusikitishwa na tabia ya wanaume kuwazuia wanawake kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, huku wengine wakilazimika kuchukua hatua ya kuwapa talaka wake zao waliong’ang’ania kufanya hivyo.
11 years ago
Mwananchi25 Apr
VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto (PMTCT)