Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC CHONJO AWAPONGEZA WAUGUZI KITUO CHA AFYA SABASABA KWA KUTOKUWA NA VIFO VYA MAMA NA MTOTO



**********************

NA FARIDA SAIDY,MOROGORO

MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo , amezindua
rasmi Wodi ya Wazazi ijulikanyo kwa jina la “Wodi ya Wazazi Regina
Chonjo” katika Kituo cha Afya cha Sabasaba Manispaa ya Morogoro.

Akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi huo,
Mhe Chonjo, amewataka Wauguzi kutumia taaluma zao kwa uwaledi ili
Wazazi wajifungue salama.

Aidha, amekipongeza kituo hicho cha afya kwani tangia ianze huduma
ya uzalishaji haijawai kutokea...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

JK aahidi kukabili vifo vya mama, mtoto

Rais Jakaya Kikwete ameahidi kuendelea kuimarisha huduma za afya hasa ya mama na mtoto ili kupunguza vifo hapa nchini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nzega yapunguza vifo vya mama, mtoto

WILAYA ya Nzega, mkoani Tabora imefanikiwa kupunguza vifo vya mama na mtoto  kutokana na  wanaume kududhuria kliniki za wenzi wao pamoja na kufuata taratibu na masharti  ya afya  ya mama...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA LINDI MJINI NA KUZURU MATAWI YA CCM

  Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi anayewakilisha Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akiongea na viongozi wa CCM wa Tawi la Ufukoni katika Kata ya Rahaleo huko Lindi Mjini tarehe 9.2.2015.  Mama Salma Kikwete yupo wilayani Lindi kwa ziara ya kikazi ya siku 5  Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi anayewakilisha Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akikaribishwa na Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya cha Lindi Mjini Dkt. Zulfa Msami wakati Mama alipotembelea...

 

11 years ago

Habarileo

Watoa huduma waaswa kutokuwa chanzo cha vifo

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi amesema pamoja na changamoto mbalimbali zinazokabili kampeni ya kupunguza vifo vya akinamama wajawazito na watoto, lakini baadhi ya vifo hivyo husababishwa na uzembe wa watoa huduma za afya.

 

10 years ago

Dewji Blog

Alvaro Rodriguez afunga mkutano wa kujadili afya na vifo kwa mtoto Tanzania

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) Nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza alipokuwa akifunga mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania.

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) Nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza alipokuwa akifunga mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania.

Baadhi ya Washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania, wakiwasilisha kazi baada ya mijadala ya makundi.

Baadhi ya Washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini...

 

10 years ago

Vijimambo

Alvaro Rodriguez afunga Mkutano kujadili Afya na Vifo kwa Mtoto Tanzania

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) Nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza alipokuwa akifunga mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) Nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza alipokuwa akifunga mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania.Baadhi ya Washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania, wakiwasilisha kazi baada ya mijadala ya makundi. Baadhi ya Washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini...

 

5 years ago

Michuzi

BASHUNGWA AWAPONGEZA MUHIMBILI KWA KUTENGENEZA VAZI MAALUMU LA WAUGUZI.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa ameupongeza uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kutengeneza mavazi maalum (coverall) za wauguzi ambayo yanasaidia wahudumu wa afya kujikinga na ugonjwa wa Corona.

“Nawapongeza hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kutengeneza mavazi maalum (coverall) ya wauguzi Mungu awabariki na kuwalinda wauguzi wetu”.

Aidha, amevipongeza viwanda vyote nchini kwa kuendelea kuhakikisha vinatoa mchango mkubwa kwa kipindi hiki cha kupambana na ugojwa...

 

5 years ago

CCM Blog

CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) CHATOA WITO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA


 Rais wa Chama cha Wauguzi na Wakunga Tanzania  (TANNA) anatoa wito kwa Wauguzi na Wakunga wote kuikinga jamii zidi ya maambukizi ya COVID -19 Kupitia elimu ya afya, kuhudumia kwa weledi wagonjwa wa corona ikizingatiwa kuwa wauguzi wananafasi muhimu sana katika kutoa huduma ya afya

 

9 years ago

Michuzi

Mbunge wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Abaas Mwinyi Atimiza Ahadi Zake kwa Kituo cha Afya Fuoni kwa Kukabidhi Dawa na Masinki ya Vyoo kwa Kituo Hicho.

Daktari Dhamana wa Kituo cha Afya Fuoni Said Fadhili Abass akizungumza wakati wa mkutano huo na Mbunge wa Jimbo la fuoni na kumshukuru kwa msaada wake huo kwa Kituo chao. na kusema dawa hizo zitatumika kwa wananchi wa Jimbo hilo wanaofika kituoni hapa kupata huduma mbalimbali za Afya.  Wauguzi wa Kituo cha Afya Fuoni wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Fuoni Mhe Abass Mwinyi wakati akizungumza na Wafanyakazi hao katika ziara yake kutembelea Kituo hicho na kukabidhi madawa kwa ajili ya Wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani