CBA YAIBUKA BINGWA MASHINDANO YA SOKA YA MABENKI NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
Baadhi ya wafanyakaz wa CBA Tanzania na Mkombozi wakishangilia uhamasisha timu zao uwanjaniMkurugenzi wa CBA Tanzana Julius Mcharo akibadilishana mawazo na Meneka Masoko wa Benki ya Mkombozi grace Mboya wakati wa mechi ya fainali baina ya timu iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa Karume ambapo CBA imenyakua ubingwa
Mkurugenzi wa CBA Tanzania Julius Mcharo akiongea na wachezaji baada ya kumalizika mchezo huo
Wacheaji wa CBA Tanzania na Mkombozi wakiwa wamejipanga kukaguliwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziCBA YAIBUKA BINGWA MASHINDANO YA SOKA YA MABENKI NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII Inbox x
Wacheaji wa CBA Tanzania na Mkombozi wakiwa wamejipanga kukaguliwa kabla ya mchezo kuanza. Baadhi ya wafanyakaz wa CBA Tanzania na Mkombozi wakishangilia uhamasisha timu zao uwanjaniMkurugenzi wa CBA Tanzana Julius Mcharo akibadilishana mawazo na Meneka Masoko wa Benki ya Mkombozi grace Mboya wakati wa mechi ya fainali baina ya timu iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa Karume ambapo CBA imenyakua ubingwa
Mkurugenzi wa CBA Tanzania Julius...
9 years ago
MichuziPPF YAIBUKA KIDEDE KATIKA UTUNZAJI BORA WA HESABU ZAKE, YATWAA TUZO YA WA HESABU UPANDE WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
Na K-Vis Media/Khalfan Said.MFUKO wa Pensheni wa PPF, umeibuka kidedea kwa kutwaa tuzo ya uwasilishaji bora wa hesabu zake katika kipindi cha mwaka 2014.
Katika hafla ya kutoa tuzo kwa taasisi za serikali na za watu binafsi, Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu, NBAA, imetoa tuzo hizo kwa makampuni na taasisi mbalimbali nchini, ambapo kwa upande wa kundi la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, PPF ndiyo iliibuka ya kwanza ambapo Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko huo, Bw. Martin Mmari kwa niaba ya...
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Changamoto za mifuko ya hifadhi ya jamii
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Serikali inafilisi Mifuko Hifadhi ya Jamii
10 years ago
Habarileo21 Oct
Bunge lahaha kuikwamua mifuko ya hifadhi za jamii
KATIKA kuhakikisha mifuko ya hifadhi za jamii nchini haitetereki kiuchumi, Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imelazimika kuingilia kati kusaka suluhu ya hatima ya deni la Sh trilioni 8.4 ambalo Serikali inadaiwa na mifuko hiyo.
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
‘Serikali ilipe madeni mifuko hifadhi ya jamii’
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, Said Mtanda, ameitaka serikali kulipa madeni ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, ili kusaidia mifuko hiyo kuweza kufanya shughuli za maendeleo...
9 years ago
StarTV23 Nov
Wananchama washauriwa kutojitoa uanachama Mifuko Hifadhi Ya Jamii
Wanachama wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii nchini wameshauriwa kutojitoa kwenye uanachama wa mifuko waliyojiunga kwa lengo la kupata Fao la Kujitoa kwa sababu fao hilo halipo hivi sasa.
Wanachama hao wametakiwa kutambua kuwa hatua ya kujitoa kwenye mifuko hiyo itawanyima haki ya kupata mafao husika na hivyo kushindwa kutimiza lengo la kujiunga na taasisi hizo.
Tahadhari hiyo imetolewa na Mkuu wa Idara ya Masoko na Mahusiano ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii, NSSF, Eunice Chiume, katika...
10 years ago
Tanzania Daima06 Nov
Mbunge ahoji hisa wanachama mifuko hifadhi ya jamii
MBUNGE wa Morogoro Vijijini, Dk, Lucy Nkya (CCM), ametaka kujua ni kwanini wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii hawapewi hisa inayotokana na miradi iliyowekezwa kupitia michango yao. Mbunge huyo,...
10 years ago
StarTV28 Dec
Mifuko Hifadhi ya Jamii yahimizwa kuboresha fao la elimu.
Na Ramadhani Mvungi, Arusha.
Mifuko ya hifadhi ya Jamii Nchini imepewa changamoto ya kuboresha sera zake za fao la elimu ziendane na wakati uliopo.
Hatua hii itawawezesha watoto wa wanachama walio katika sekta za umma na binafsi kupata fursa ya elimu pindi wazazi wanapofariki ama kukosa uwezo wa kufanya kazi.
Licha ya hamasa ndogo waliyonayo wananchi hususani kutoka sekta binafsi katika kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii, haki ya fao la elimu ambalo sio la mkopo linatajwa kuwa muhimu...