Mifuko Hifadhi ya Jamii yahimizwa kuboresha fao la elimu.
Na Ramadhani Mvungi, Arusha.
Mifuko ya hifadhi ya Jamii Nchini imepewa changamoto ya kuboresha sera zake za fao la elimu ziendane na wakati uliopo.
Hatua hii itawawezesha watoto wa wanachama walio katika sekta za umma na binafsi kupata fursa ya elimu pindi wazazi wanapofariki ama kukosa uwezo wa kufanya kazi.
Licha ya hamasa ndogo waliyonayo wananchi hususani kutoka sekta binafsi katika kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii, haki ya fao la elimu ambalo sio la mkopo linatajwa kuwa muhimu...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Aug
CWT Singida yapinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa Wastaafu
Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Singida Aran Jumbe, akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za chama hicho kuhusiana na tamko la chama juu ya kupinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa Wastaafu.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
Chama cha Walimu CWT kimetoa tamko la kupinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa...
9 years ago
MichuziSSRA YASHIRIKI MAONESHO YA SIKU YA BAHARI MKOANI MTWARA NA KUTOA ELIMU KWA MABAHARIA NA WAVUVI KUHUSU UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Jamii yahimizwa kuchangia elimu
WATANZANIA wametakiwa kubadilika kifikira na kimtazamo kwa kutoa kipaumbele katika kuchangia fedha mambo ya msingi kwenye jamii hasa elimu na kuondokana na kasumba ya kutumia mamilioni ya fedha kuchangia sherehe,...
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Changamoto za mifuko ya hifadhi ya jamii
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Serikali inafilisi Mifuko Hifadhi ya Jamii
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
‘Serikali ilipe madeni mifuko hifadhi ya jamii’
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, Said Mtanda, ameitaka serikali kulipa madeni ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, ili kusaidia mifuko hiyo kuweza kufanya shughuli za maendeleo...
10 years ago
Habarileo21 Oct
Bunge lahaha kuikwamua mifuko ya hifadhi za jamii
KATIKA kuhakikisha mifuko ya hifadhi za jamii nchini haitetereki kiuchumi, Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imelazimika kuingilia kati kusaka suluhu ya hatima ya deni la Sh trilioni 8.4 ambalo Serikali inadaiwa na mifuko hiyo.
9 years ago
StarTV23 Nov
Wananchama washauriwa kutojitoa uanachama Mifuko Hifadhi Ya Jamii
Wanachama wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii nchini wameshauriwa kutojitoa kwenye uanachama wa mifuko waliyojiunga kwa lengo la kupata Fao la Kujitoa kwa sababu fao hilo halipo hivi sasa.
Wanachama hao wametakiwa kutambua kuwa hatua ya kujitoa kwenye mifuko hiyo itawanyima haki ya kupata mafao husika na hivyo kushindwa kutimiza lengo la kujiunga na taasisi hizo.
Tahadhari hiyo imetolewa na Mkuu wa Idara ya Masoko na Mahusiano ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii, NSSF, Eunice Chiume, katika...