Jamii yahimizwa kuchangia elimu
WATANZANIA wametakiwa kubadilika kifikira na kimtazamo kwa kutoa kipaumbele katika kuchangia fedha mambo ya msingi kwenye jamii hasa elimu na kuondokana na kasumba ya kutumia mamilioni ya fedha kuchangia sherehe,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV28 Dec
Mifuko Hifadhi ya Jamii yahimizwa kuboresha fao la elimu.
Na Ramadhani Mvungi, Arusha.
Mifuko ya hifadhi ya Jamii Nchini imepewa changamoto ya kuboresha sera zake za fao la elimu ziendane na wakati uliopo.
Hatua hii itawawezesha watoto wa wanachama walio katika sekta za umma na binafsi kupata fursa ya elimu pindi wazazi wanapofariki ama kukosa uwezo wa kufanya kazi.
Licha ya hamasa ndogo waliyonayo wananchi hususani kutoka sekta binafsi katika kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii, haki ya fao la elimu ambalo sio la mkopo linatajwa kuwa muhimu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JSct6ft9ycTmep8PGjb61Pa7kN7XFGCWGLWn*cydTAFV0EGPe6SnOSrnEXR*WrqlQI3p0KvO5jrnxfWRxNRgo2Ga0AfgmnYM/1CBE1.jpg?width=650)
JAMII YAASWA KUCHANGIA MAENDELEO YA ELIMU
9 years ago
StarTV05 Oct
Maendeleo duni ya elimu Jamii yadaiwa kuchangia kwa kiasi kikubwa
Sekta ya elimu wilayani Geita inakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazorudisha nyuma maendeleo ya sekta jamii ikidaiwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya kutokuwa na utayari wa kushirikiana na Serikali kuondoa mapungufu yaliyoko ndani ya uwezo wao.
Utafiti uliofanywa na shirika la Nelico kwa ufadhili wa Pestalozzi Children’s Foundation imebaini mazingira yasiyo rafiki kama ubovu wa miundombinu, ukosefu wa vyoo bora na upungufu wa madawati na vyoo bado kikwazo kikubwa ambacho...
10 years ago
Tanzania Daima03 Nov
Jamii yahimizwa fursa za kukopa
JAMII imeshauriwa kutumia fursa zinazopatikana kwenye taasisi za fedha, benki na nyinginezo kujipatia mikopo itakayowasaidia kujikwamua kimaisha. Wito huo umetolewa na Meneja wa Benki ya Posta (TPB), tawi la Songea,...
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Jamii yahimizwa kusaidia yatima
MKURUGENZI wa Masoko na Mauzo wa Hoteli ya Serena, Seraphin Lusala, ameiomba jamii iongeze juhudi katika kusaidia watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu. Lusala alitoa kauli hiyo jijini Dar...
10 years ago
Tanzania Daima17 Nov
Jamii yahimizwa kunawa mikono
JAMII imeshauriwa kuchukua tahadhari kwa kunawa mikono kabla na baada ya kula sambamba na kutumia vyoo bora ili kujikinga na maambukizi ya maradhi ya kuharisha na kutapika. Ushauri huo umetolewa...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-OS-D6vUXkWw/U5cZ2Q1PT7I/AAAAAAAFph0/D59QcZhoPgY/s72-c/Pic+No+2.jpg)
MAADILI YAHIMIZWA NA KUTILIWA MKAZO KATIKA VYUO VYA ELIMU YA JUU NCHINI
Viongozi wakuu kutoka Chuo cha Biashara ‘CBE’ wameaswa kuwa mstari wa mbele katika kulinda na kusimamia uadilifu wa Chuo hicho ili kuhakikisha Taifa linapata wasomi waliojengeka vyema kielimu na kimaadili.
Rai hiyo imetolewa na Katibu Viongozi wa Umma, Ofisi ya Rais - Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Bw. Tixon Tuyangine Nzunda, wakati akitoa Mafunzo ya Maadili kwa Wakurugenzi Wakuu na Wakurugenzi Wasaidizi, kutoka...
11 years ago
Habarileo22 Dec
‘Jamii Kwanza’ yazinduliwa na rai ya elimu kubadili jamii
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amewataka watu waliopata elimu kuitumia kwa manufaa ya umma ili kuleta mabadiliko ya haraka katika jamii.