Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jamii yahimizwa kunawa mikono

JAMII imeshauriwa kuchukua tahadhari kwa kunawa mikono kabla na baada ya kula sambamba na kutumia vyoo bora ili kujikinga na maambukizi ya maradhi ya kuharisha na kutapika. Ushauri huo umetolewa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Uhaba wa kemikali za kunawa mikono washuhudiwa Kenya

Hali ya wasiwasi yatanda nchini Kenya baada ya kisa cha kwanza cha virusi vya Corona kuthibitishwa kupitia Wizara ya afya.

Ijumaa, waziri wa Afya bwana Mutahi Kagwe alisema kwamba mtu mwenye maambukizi ya virusi vya Corona alithibitishwa kuwa na maambukizi hayo Alhamisi usiku.

Baada ya tangazo hilo, raia walionekana wakikimbilia kwenye maduka ya jumla kununua kemikali za kuua viini vya bakteria mikononi maarufu kwa kiingereza kama ''hand sanitisers'' pamoja na barakoa za kufunika uso.

Wateja...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Uhaba wa sabuni za kunawa mikono washuhudiwa Kenya

Wakenya wamininika kwa wingi katika maduka ya jumla kununua bidhaa za kuua vijidudu vya kuua viini

 

10 years ago

BBCSwahili

Kunawa mikono iwe hiari baada ya kutoka mawaliwato

Seneta wa North Carolina amewataka wamiliki wa migahawa kuacha kuwashurtisha wafanyakazi wao kunawa mikono baada ya kutoka maliwatoni.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwanini kunawa mikono ni vigumu katika baadhi ya nchi zinazoendelea

Ushauri wa WHO ni vigumu kuzingatiwa katika mataifa yanayoendelea.

 

5 years ago

Michuzi

Prof. Mkumbo awatembelea Sekondari ya Msalato, agawa vitakasa mikono na eneo la kunawa



Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo akizindua rasmi eneo maalumu la kunawa mikono kwa wanafunzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY MWALIMU AMKABIDHI RC MAKONDA VIFAA VYA KUNAWA MIKONO KWA AJILI YA KUWAKINGA WANANCHI NA CORONA.

 Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Mhe Ummy Mwalimu (katikati),akionesha mfano wa kunawa katika moja ya matenki 1000 aliyoyakabidhi kwa mkuu wa mkoa wa Dar es salama kwa niaba ya mikoa mingine wak ajili ya wananchi kunawa mikono kujikinga na maambukizi ya COVID 19,Pichani kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam,Paul Makonda Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto MheUmmy Mwalimu akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari mapema leo jijini Dar,wakati...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA KUNAWA MIKONO MKOA WA SINGIDA KUJIKINGA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA

Meneja wa NMB Kanda Kati, Nsolo Mlozi (wapili kushoto) pamoja na Meneja wa NMB Tawi wa Singida - Willy Mponzi (kushoto), wamekabidhi Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi (kulia) msaada wa vifaa vya kunawa mikono ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya corona, kwa ajili ya kugawa kwenye taasisi mkoani hamo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jamii yahimizwa fursa za kukopa

JAMII imeshauriwa kutumia fursa zinazopatikana kwenye taasisi za fedha, benki na nyinginezo kujipatia mikopo itakayowasaidia kujikwamua kimaisha. Wito huo umetolewa na Meneja wa Benki ya Posta (TPB), tawi la Songea,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jamii yahimizwa kuchangia elimu

WATANZANIA wametakiwa kubadilika kifikira na kimtazamo kwa kutoa kipaumbele katika kuchangia fedha mambo ya msingi kwenye jamii hasa elimu na kuondokana na kasumba ya kutumia mamilioni ya fedha kuchangia sherehe,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani