Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhaba wa kemikali za kunawa mikono washuhudiwa Kenya

Hali ya wasiwasi yatanda nchini Kenya baada ya kisa cha kwanza cha virusi vya Corona kuthibitishwa kupitia Wizara ya afya.

Ijumaa, waziri wa Afya bwana Mutahi Kagwe alisema kwamba mtu mwenye maambukizi ya virusi vya Corona alithibitishwa kuwa na maambukizi hayo Alhamisi usiku.

Baada ya tangazo hilo, raia walionekana wakikimbilia kwenye maduka ya jumla kununua kemikali za kuua viini vya bakteria mikononi maarufu kwa kiingereza kama ''hand sanitisers'' pamoja na barakoa za kufunika uso.

Wateja...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Uhaba wa sabuni za kunawa mikono washuhudiwa Kenya

Wakenya wamininika kwa wingi katika maduka ya jumla kununua bidhaa za kuua vijidudu vya kuua viini

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jamii yahimizwa kunawa mikono

JAMII imeshauriwa kuchukua tahadhari kwa kunawa mikono kabla na baada ya kula sambamba na kutumia vyoo bora ili kujikinga na maambukizi ya maradhi ya kuharisha na kutapika. Ushauri huo umetolewa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kunawa mikono iwe hiari baada ya kutoka mawaliwato

Seneta wa North Carolina amewataka wamiliki wa migahawa kuacha kuwashurtisha wafanyakazi wao kunawa mikono baada ya kutoka maliwatoni.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwanini kunawa mikono ni vigumu katika baadhi ya nchi zinazoendelea

Ushauri wa WHO ni vigumu kuzingatiwa katika mataifa yanayoendelea.

 

5 years ago

Michuzi

Prof. Mkumbo awatembelea Sekondari ya Msalato, agawa vitakasa mikono na eneo la kunawa



Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo akizindua rasmi eneo maalumu la kunawa mikono kwa wanafunzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA KUNAWA MIKONO MKOA WA SINGIDA KUJIKINGA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA

Meneja wa NMB Kanda Kati, Nsolo Mlozi (wapili kushoto) pamoja na Meneja wa NMB Tawi wa Singida - Willy Mponzi (kushoto), wamekabidhi Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi (kulia) msaada wa vifaa vya kunawa mikono ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya corona, kwa ajili ya kugawa kwenye taasisi mkoani hamo.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY MWALIMU AMKABIDHI RC MAKONDA VIFAA VYA KUNAWA MIKONO KWA AJILI YA KUWAKINGA WANANCHI NA CORONA.

 Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Mhe Ummy Mwalimu (katikati),akionesha mfano wa kunawa katika moja ya matenki 1000 aliyoyakabidhi kwa mkuu wa mkoa wa Dar es salama kwa niaba ya mikoa mingine wak ajili ya wananchi kunawa mikono kujikinga na maambukizi ya COVID 19,Pichani kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam,Paul Makonda Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto MheUmmy Mwalimu akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari mapema leo jijini Dar,wakati...

 

11 years ago

Michuzi

TAI YATOA MAFUNZO KWA VITENDO JUU YA KUNAWA MIKONO NA KUSAFISHA KINYWA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI KILIMANI JIJINI DAR

Taasisi isiyo ya kiserikali ya TAI - Tanzania Aspiration Initiatives imefanya mafunzo ya kulinda afya kwa vitendo kwa wanafunzi Zaidi ya 200 wa Darasa la Kwanza, la pili na darasa la awali katika shule ya msingi Kilimani iliyopa Sinza Uzuri wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam ikiwa ni muendelezo wa miradi miwili inayojulikana kama Mikono Ming’avu (MiMi) na Kinywa Kisafi (KiKi).
Miradi yote ina lengo kuu la kupambana na magonjwa yanayoweza kuzuilika kama Magonjwa ya tumbo na...

 

11 years ago

Michuzi

TAI YATOA MAFUNZO KWA VITENDO JUU YA KUNAWA MIKONO NA KUSAFISHA KINYWA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI KILIMANI JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu Mkuu wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Tanzania Aspiration Initiatives - TAI Bw. Gwamaka Mwabuka akitoa maelekezo kwa mwanafunzi wa darasa la pili shule ya Msingi Kilimani Juma Abdul jinsi ya kunawa mikono kwa usahihi ili kuipeka magonjwa. Wanaoshuhudia ni baadhi ya wanafunzi toka Denmark waliopata mualiko na TAI kupitia taasisi ya Global Platform.    Wanafunzi wa darasa la pili shule ya msingi Kilimani wakijifunza kwa vitendo jinsi ya kusafishwa kinywa na kuepukana na magonjwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani