Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prof. Mkumbo awatembelea Sekondari ya Msalato, agawa vitakasa mikono na eneo la kunawa



Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo akizindua rasmi eneo maalumu la kunawa mikono kwa wanafunzi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Maji, Prof. Mkumbo awatoa hofu wanafunzi wanaojiandaa kwa mtihani shule ya Sekondari Tumaini, wapewa vitakasa mikono vya kutumia kwa siku 60



Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo akizindua eneo la kunawa mikono katika kukabiliana na maambukizi ya Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID-19) katika shule ya sekondari ya Tumaini, mkoani Singida ambapo wanafunzi zaidi ya 100 wanajiandaa kwa mtihani wa kidato cha Sita. Kulia kwake anayeshuhudia ni Mkuu wa wilaya ya...

 

5 years ago

Michuzi

Tunatengeneza vitakasa mikono kwa sababu tunawathamini wafanyakazi na wananchi ambao ndio wadau wetu wakuu katika huduma-Prof. Mkumbo


Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo (kushoto) akionyeshwa utaratibu unaotumika katika kuchanganya Kemikali zinazotumika kuandaa vitakasa mikono katika maabara ya maji jijini Dodoma. Wizara ya Maji katika kuunga mkono juhudi za serikali katika kupambana na maambukizi ya Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) wataalam wake wameweza kutengeza vitakasa mikono kwa ajili ya wafanyakazi na wateja wanaofika maofisini kupokea huduma mbalimbali.Katibu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jamii yahimizwa kunawa mikono

JAMII imeshauriwa kuchukua tahadhari kwa kunawa mikono kabla na baada ya kula sambamba na kutumia vyoo bora ili kujikinga na maambukizi ya maradhi ya kuharisha na kutapika. Ushauri huo umetolewa...

 

5 years ago

Michuzi

Uhaba wa kemikali za kunawa mikono washuhudiwa Kenya

Hali ya wasiwasi yatanda nchini Kenya baada ya kisa cha kwanza cha virusi vya Corona kuthibitishwa kupitia Wizara ya afya.

Ijumaa, waziri wa Afya bwana Mutahi Kagwe alisema kwamba mtu mwenye maambukizi ya virusi vya Corona alithibitishwa kuwa na maambukizi hayo Alhamisi usiku.

Baada ya tangazo hilo, raia walionekana wakikimbilia kwenye maduka ya jumla kununua kemikali za kuua viini vya bakteria mikononi maarufu kwa kiingereza kama ''hand sanitisers'' pamoja na barakoa za kufunika uso.

Wateja...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kunawa mikono iwe hiari baada ya kutoka mawaliwato

Seneta wa North Carolina amewataka wamiliki wa migahawa kuacha kuwashurtisha wafanyakazi wao kunawa mikono baada ya kutoka maliwatoni.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Uhaba wa sabuni za kunawa mikono washuhudiwa Kenya

Wakenya wamininika kwa wingi katika maduka ya jumla kununua bidhaa za kuua vijidudu vya kuua viini

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwanini kunawa mikono ni vigumu katika baadhi ya nchi zinazoendelea

Ushauri wa WHO ni vigumu kuzingatiwa katika mataifa yanayoendelea.

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Bashungwa awataka wanaouza vitakasa mikono kuwa wazalendo


*Atembelea viwanda vya vinavyozalisha vitakasa mikono

Na Chalila Kibuda ,Michuzi Globu.

Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara imewaelekeza Shirika la Viwango Tanzania (TBS),kushirikiana kwa karibu na wazalishaji waliopo na wengine wapya wanaonesha nia ya kuzalisha bidhaa ya Vitakatisha Mikono kuona ni namna wananvyoweza kuongeza upatikanaji wa bidhaa hiyo sokoni.

Wizara kwa kushirikiana na taasisi zake za usimamizi wa soko,itaendelea kufanya ukaguzi na uchunguzi sokoni ili kubaini...

 

5 years ago

Michuzi

DC aagiza kufungwa biashara kwa yeyote atakayepandisha bei vitakasa mikono

Na Anthony Ishengoma- Shinyanga
Athari za mlipuko wa ugonjwa wa Corona maalufu Covid 19 tayari
zimeanza kuonekana kutokana na wanunuzi wa madini ya Almasi kutoka
vikundi vya wachimbaji wadogo vinavyoendelea na marudio ya makinikia
ya mchanga wa almasi kuanza kupungua kwa kasi na wachimbaji hao
kushindwa kuuza madini hayo kwa wakati kama ilivyotarajiwa.

Hayo yamesemwa jana na Katibu Mkuu wa Chama cha Wachimbaji Madini Mkoa wa Shinyanga SHIREMA Bw. Gregory Kibusi wakati akiongea na vyombo vya habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani