Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CWT Singida yapinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa Wastaafu

jumbe

Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Singida Aran Jumbe, akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za chama hicho kuhusiana na tamko la chama juu ya kupinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa Wastaafu.

Na Hillary Shoo, SINGIDA.

Chama cha Walimu CWT  kimetoa tamko la kupinga  rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mafao ya pensheni ya wastaafu juu

KILIO cha muda mrefu cha wastaafu kutofautina mafao ya pensheni  katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, sasa kimepatiwa majibu baada ya Serikali kuamua kuanzisha fomula mpya ya kukokotoa. Fomula hiyo mpya...

 

10 years ago

StarTV

Mifuko Hifadhi ya Jamii yahimizwa kuboresha fao la elimu.

Na Ramadhani Mvungi, Arusha.

Mifuko ya hifadhi ya Jamii Nchini imepewa changamoto ya kuboresha sera zake za fao la elimu ziendane na wakati uliopo.

Hatua hii itawawezesha watoto wa wanachama walio katika sekta za umma na binafsi kupata fursa ya elimu pindi wazazi wanapofariki ama kukosa uwezo wa kufanya kazi.

Licha ya hamasa ndogo waliyonayo wananchi hususani kutoka sekta binafsi katika kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii, haki ya fao la elimu ambalo sio la mkopo linatajwa kuwa muhimu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CWT yapinga punguzo la mafao

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimepinga vikali punguzo la mafao ya wastaafu wanachama wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) na watumishi wanachama wa LAPF. Akizungumza na waandishi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Talgwu yapinga mafao ya wastaafu kupunguzwa

Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU), kimepinga uamuzi wa Serikali kupunguza mafao ya wastaafu serikalini na kutishia kuchukua hatua za kisheria iwapo utaratibu wa zamani hautarejeshwa.

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII TANZANIA WAJENGEWA UWEZO WA UTENDAJI KAZI.

 Mwenyekiti wa Jumuiya  ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (TSSA),Eliud Sanga  ( kati kati) ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa(LAPF), akibadilishana mawanzo na  Katibu mkuu wa  TSSA, Meshack Bandawe, ( kulia) ambaye pia ni Meneja wa PPF Kanda ya Ziwa ,  Augosti 24, mwaka huu mjini Morogoro  baada ya mwenyekiti huyo kufungua mafunzo kwa wafanyakazi wa mbalimbali wa mifuko yote ya hifadhi ya jamii chini inayounda  Jumuiya hiyo ( kushoto)...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA KAZI NA AJIRA MH. GAUDENTIA KABAKA ATEMBELEA BANDA LA GEPF NA KUSIFU UBUNIFU WA MFUKO WA GEPF KATIKA KUTOA HIFADHI YA JAMII KWA WAJASIRIAMALI

Waziri wa Kazi na Ajira Mh Gaudentia Kabaka akisaini katika kitabu cha wageni katika banda la GEPF Meneja Masoko na huduma kwa wateja…

 

11 years ago

Michuzi

MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII YATOA SEMINA KWA ASAKARI POLISI MJINI MOSHI.

Ofisa mnadhimu namba moja wa jeshi la polisi mkao wa Kilimanjaro SSP Koka Moita akichangia jambo wakati wa semina juu ya mifuko ya hifadhi ya jamii iliyotolewa kwa maofisa wa jeshi hilo wa ngazi mbalimbali. Kamanda wa polisi wa wilaya ya Moshi,OCD Deusdedit Kasindo akizungumza jambo wakati wa semina hiyo.
Viongozi wa ngazi ya juu wa jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia maelezo juu ya mifuko ya hifadhi ya jamii.
Baadhi ya askari polisi wa wilaya ya Moshi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani