Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTEMVU ATOWA MISAADA KWA WATU WENYE MAHITAJI MAALUM JIJINI DAR ES SALAAM

Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akikabidhi misaada kwa Mlezi wa kituo cha Makao ya Taifa ya watoto wenye shida maalum cha kurasini  Beatrice Mgumilo
Mbunge wa Jimbo la Temeke na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu ametoa msaada wa vitu mbalimbali vya nafaka na magodoro pamoja na kompyuta kwa Yamoto Band ambapo jumla ya vikundi kumi na vitatu vimepatiwa misaada mbalimbali na mbunge huyo.
mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation , Sitti Mtemvu  akizungumza na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa jimbo la Temeke Abbas Mtemvu atoa misaada kwa watu wenye mahitaji maalum Dar

Baadhi ya misaada mbalimbali  iliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu kwa watu wenye mahitaji maalum.(Picha zote na Khamisi Mussa).

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation , Sitti Mtemvu  akizungumza na walezi wa watu wenye mahitaji maalum, wakati Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu  alipokabidhi misaada ya vitu mbalimbali, vikiwemo vyakula, mafuta ya kula, magodoro na kompyuta ambapo jumla ya vikundi kumi na vitatu vimepatiwa misaada mbalimbali na mbunge...

 

10 years ago

Vijimambo

MAADHIMISHO YA SIKU YA WATU NA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO KUFANYIKA OKTOBA 7, 2015 VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo Tanzania (Chawaumavita), Hillar Said (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Watu, Watoto wenye mtindio wa ubongo yatakayofanyika, Oktoba 7, 2015 viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein.Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein (kulia), akizungumza katika...

 

11 years ago

Vijimambo

CBE YATOA MAFUNZO MAALUM KWA WAJASIRIAMALI WA JIJINI DAR-ES-SALAAM

 Mfanyakazi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Bi. Mariam Tambwe akimkaribisha mgeni rasmi ambaye pia ni Mkuu wa Chuo hicho kwa ajili ya kufanya ufunguzi rasmi wa mafun z ohayo na kutowapa wajasiriamali maneno ya busara katika mafunzo ya siku mbili (24-25 Oktoba, 2014) chuoni hapo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa chuo hicho jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) cha jijini Dar es Salaam, Profesa Emmanuel Mjema akifungua rasmi mafunzo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wasanii Watakiwa Kukumbuka Watoto Wenye Mahitaji Maalum

Afisa Habari wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Aristides Kwizela (Kushoto) akifuatilia burudani zilizokuwa zikitolewa na watoto wanaondaliwa na Baraza hilo kupitia programu ya ‘Sanaa kwa Watoto’ wakati wakitumbuiza kwenye Jukwaa la Sanaa la BASATA mapema wiki hii. Watoto hao wanatoka shule ya Msingi ya Msimbazi iliyoko Ilala jijini Dar es Salaam. Katikati ni Msanii wa filamu Honeymoon Mohamed na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti na Stadi za wasanii Bi. Vick Temu.

Katibu Mtendaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WATAKIWA KUWAKUMBUKA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

Na Mwandishi Wetu
Wasanii nchini wametakiwa kurejesha kwa jamii sehemu ya faida wanayoipata kupitia kazi zao za Sanaa kwa kuwakumbuka watoto wenye mahitaji maalum ili kujijengea mtandao wa kudumu wa masoko, uhalali na taswira nzuri kwa jamii.
Wito huo umetolewa mapema wiki hii na mtengeneza filamu wa Tanzania mwenye makazi yake nchini Marekani Bi. Honeymoon Mohamed wakati akiwasilisha mada kuhusu Filamu za Kitanzania na Masoko kwenye programu ya Jukwaa la Sanaa inayoandaliwa na Baraza la Sanaa...

 

10 years ago

Vijimambo

SITTI MTEMVU ATOWA MSAADA KWA ALIBINIZIM KATIKA KITUO CHA (UNDER THE SAME SUN)

Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu (wa pili kushoto), akiuangalia mkono wa Adam Robert (aliye vaa flana ya njano) alipo tembelea kituo cha watu wenye Albinizim mwishoni mwa wiki Dar es Salaa, ambaye alikatwa kidole katika kijiji cha Nyaruguguna Geita nakutibiwa Vancouver, Canada kwa matibabu na madaktari wa Hospitali hiho walijitolea kwa kila kitu kumtibu Adam kidole cha kati cha Mguu wa kulia kilipandikizwa kwanye kitu , Kidole cha kati cha mguu wa kuliakilipandikizwa...

 

5 years ago

Michuzi

TCRA CCC YAPOA CHANGAMOTO ZA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM -PATANDI


Anayezungumza ni Katibu Mtendaji kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji wa huduma za mawasiliano Tanzania (TCRA CCC )Mary Shao Msuya,kulia kwake ni Mhandisi mwandamizi TCRA Jan Kaaya ,akifuatiwa na mjumbe wa Baraza
Mmoja wa wanafunzi mwenye ulemavu wa ngozi na uoni hafifu kutoka Chuo cha Ualimu Patandi akiuliza swali kwa Baraza la Usahauri la watumiaji wa huduma za mawasiliano Tanzania
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha ualimu Patandi waliojikusanya kwaajili ya kupatiwa elimu juu ya matumizi...

 

5 years ago

Michuzi

TCRA CCC YATOA CHANGAMOTO ZA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM -PATANDI


Anayezungumza ni Katibu Mtendaji kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji wa huduma za mawasiliano Tanzania (TCRA CCC )Mary Shao Msuya,kulia kwake ni Mhandisi mwandamizi TCRA Jan Kaaya ,akifuatiwa na mjumbe wa Baraza
Mmoja wa wanafunzi mwenye ulemavu wa ngozi na uoni hafifu kutoka Chuo cha Ualimu Patandi akiuliza swali kwa Baraza la Usahauri la watumiaji wa huduma za mawasiliano Tanzania 
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha ualimu Patandi waliojikusanya kwaajili ya kupatiwa elimu juu ya matumizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani