P-Funk atoa ofa ya milioni 5 kwa Godzilla warudie kuurekodi wimbo wake ‘Tungi’
Mtayarishaji wa muziki na mwanzilishi wa Bongo Records, P-Funk Majani, ametoa ofa ya zaidi ya shilingi milioni 5 kwa Godzilla kumtaka warudie wimbo wake ‘Tungi’ uliopo kwenye mixtape yake, Zillax. Godzilla amekiambia kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM kuwa, mtayarishaji huyo mkongwe alisema yupo tayari kuurudia wimbo huo na kuufanyia video kutoka kwa director yoyote […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo526 Oct
Adele avunja rekodi ya Youtube kwa wimbo wake mpya ‘Hello’ kupata views milioni 25 siku ya kwanza
10 years ago
Bongo513 Aug
Mike T atoa ofa ya video 10 kwa wasanii wachanga
10 years ago
CloudsFM25 Nov
DIAMOND ATOA OFA YA NGOMA NA VIDEO KWA Q CHIEF
Mwaka 2012 kuliibuka bifu kati ya wasanii Q chillah na Diamond Platnumz, na ilikuwa ikionekana kuwa Q-Chillah ndiye mwenye tatizo na Diamond kwa sababu kabla ya bifu hilo Diamond alikuwa anamtaja Chilla kama moja kati ya wasanii waliomfanya kuingia ndani ya ‘game’ ya muziki wa Bongo Flava, lakini baadaye Q chief alianza kumtuhumu Diamond kuwa anamroga na kuchukua nyota yake.
Clouds fm ilimuuliza Diamond, anatamani msanii gani wa kitambo wa Bongo Fleva angekuwa anafanya vizuri mpaka leo?
...
10 years ago
Dewji Blog10 Feb
Godzilla wa Sengerema amuibukia Godzilla wa Salasala kwa madai ya kuibiwa jina
Picha ni msanii wa nyimbo za Bongo flava, Godfrey Ally kutoka Kanda ya Ziwa anayemshutumu Godzilla wa Salasala kamwibia jina lake.
Na Daniel Makaka, Sengerema
Msanii wa nyimbo za Bongo flava, Godfrey Ally kutoka Kanda ya Ziwa, mwenye makazi yake kijiji cha Bupandwa Kata ya Bupandwa wilayani Sengerema Mkoani Mwanza ameibuka na kusema kuwa aliibiwa jina hilo na msanii maarufu wa Hip Hop, kutoka Salasala, Golden Mbunda “ Godzilla” ambaye msanii huyo anajiita hivyo.
Akizungumza na mwandishi...
9 years ago
Bongo517 Sep
Godzilla adai hawezi kuuza utu wake kwa show siasa
9 years ago
Bongo510 Nov
Kanye West asahau mashairi ya wimbo wake kwenye birthday ya mama mkwe wake na kuanza kuimba wimbo wa adui yake 50 Cent
![222](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/222-300x194.jpg)
Kanye West anadaiwa alijikuta akisahau mashairi ya wimbo wake mwenyewe wakati alipoombwa kutumbuiza kwenye birthday ya mama mkwe wake, Kris Jenner aliyetimiza miaka 60 wiki iliyopita.
Rapper huyo mwenye umri wa miaka 38 alipewa mic na muimbaji Charlie Wilson, aliyekuwa akiimba wimbo wake kabla ya kuanza kuimba wimbo wa Kanye, ‘See Me Now’ – aliomshirikisha Beyonce na – lakini alikiri kuwa hakumbuki mashairi ya wimbo huo wa mwaka 2010 na haraka akaanza kuimba wimbo wa adui yake.
Chanzo...
11 years ago
GPL23 May
11 years ago
Dewji Blog30 Apr
Kwa mara ya kwanza Hyatt Regency ya Hong Kong yatoa ofa ya smartphone kwa wageni wake
Na Mwandishi Wetu
Kwa mara ya kwanza hoteli maarufu duniani ya Hyatt Regency ya Hong Kong imetoa simu aina ya smartphone bure kwa wageni wake waliopanga kwenye hoteli hiyo.
Hoteli hiyo ya Hyatt Regency pia ilitoa viburutisho mbalimbali kama vile chocolates na mvinyo wa bure pamoja na simu aina ya smartphone katika vyumba vyake vyote 381 ili jitihada za kuongeza uzoefu kwa wasafiri na watalii kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Katika kuwapa smartphone wateja wake za bure ni katika kutoa...
9 years ago
Dewji Blog16 Dec
Zantel yazindua ofa ya msimu wa sikukuu kwa wateja wake
Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin.
Kampuni ya simu ya Zantel leo imetangaza kuzindua ofa maalumu kwa ajili ya msimu wa sikukuku yenye lengo la kuwazawadia wateja wake muda wa maongezi bure na nyongeza ya asilimia 20% katika kila manunuzi ya vifurushi au muda wa maongezi wanayofanya kupitia huduma ya Ezypesa.
Ofa hii pia itamzawadia kila mteja wa Zantel anayefanya manunuzi ya muda wa maongezi usio chini ya shillingi elfu moja kuweza kupata dakika za bure za kupiga Zantel kwenda...