Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zantel yazindua ofa ya msimu wa sikukuu kwa wateja wake

pic-zantel

Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin.

Kampuni ya simu ya Zantel leo imetangaza kuzindua ofa maalumu kwa ajili ya msimu wa  sikukuku  yenye lengo la kuwazawadia wateja wake muda wa maongezi  bure na nyongeza ya asilimia 20% katika kila manunuzi ya vifurushi au muda wa maongezi wanayofanya kupitia huduma ya Ezypesa.

Ofa hii pia itamzawadia kila mteja wa Zantel anayefanya manunuzi ya muda wa maongezi usio chini ya shillingi elfu moja kuweza kupata dakika za bure za kupiga Zantel kwenda...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

ZANTEL YAZINDUA OFA MPYA YA MUDA WA ZIADA KWA WATEJA WAKE

 Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose akizungumza wakati wa kuzindua ofa mpya ya Kula Tano kwa wateja wa Zantel, ambayo inawazawadia wateja wao dakika za bure kwa kupokea simu zao.  Meneja wa Zantel, Deus Mtena akizungumza wakati wa uzinduzi wa ofa ya Kula Tano katika ofisi za Zantel, Anayetazama kushoto ni Meneja wa Huduma, Ashish Singh. Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose akigawa vipeperushi vya ofa ya Kula Tano baada ya kuizindua katika ofisi za Zantel.
KAMPUNI ya simu ya Zantel leo...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA OFA KABAMBE WAKATI WA MSIMU WA SIKUKUU‏

Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa uzinduzi wa ofa kabambe ya simu kwa msimu huu wa sikukuu ya Krismasi, ambapo itawawezesha wateja wa Airtel kununua simu za kisasa kwa bei nafuu na kupata vifurushi vya bure vya muda wa maongezi, ujumbe mfupi na huduma ya intaneti. Kushoto ni Meneja Masoko wa Bidhaa za Kisasa wa Airtel, Prisca Tembo.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yazindua ofa kabambe ya simu wakati wa msimu wa sikukuu

Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa uzinduzi wa ofa kabambe ya simu kwa msimu huu wa sikukuu ya Krismasi, ambapo itawawezesha wateja wa Airtel kununua simu za kisasa kwa bei nafuu na kupata vifurushi vya bure vya muda wa maongezi, ujumbe mfupi na huduma ya intaneti. Kushoto ni Meneja Masoko wa Bidhaa za Kisasa wa Airtel, Prisca Tembo. Meneja Masoko wa Bidhaa za Kisasa wa Airtel, Prisca Tembo (kushoto) na...

 

10 years ago

StarTV

Airtel yazindua ofa maalum kwa wateja.

Na Lilian Mtono

Dar es Salaam

 

Kampuni ya simu za mkononi ya airtel imezindua ofa maalumu ya simu, inayoenda bega kwa bega na kuwazawadia wateja wake wakati wa msimu huu wa sikukuu za krismas na mwaka mpya.

 

Ofa hii itajumuisha simu za kisasa kwa bei nafuu pamoja, vifurushi vya muda wa maongezi na internet.

 

Uzinduzi wa ofa unakuja ukiwa ni sehemu ya mpango wa airtel wa kutoa huduma bora zaidi na kuwawezesha wateja wake kufaidika hasa kwenye kipindi hiki cha sikukuu.

 

 

Chini ya...

 

5 years ago

Michuzi

Zantel yazindua BongaMpakaBasi kuwawezesha wateja kupiga simu mitandao yote kwa gharama nafuu

Katika kuleta unafuu wa huduma za mawasiliano nchini, Kampuni ya simu ya Zantel leo imezindua bidhaa ya bando ijulikanayo kama ‘BongaMpakaBasi’ili kuwawezesha wateja wake kupiga simu kwenda mitandao yote kwa gharama nafuu.
Huduma hiyo, itawafanya wateja wa Zantel kupiga simu kwenda mitandao mingine kwa gharama ileile ya kupiga ndani ya mtandao kupitia kifurushi kimoja cha ‘BongaMpakaBasi’.Bidhaa hiyo inatajwa kuchochea shughuli za kiuchumi na kijamii hapa nchini.
Akizungumza wakati wa uzinduzi...

 

10 years ago

Michuzi

LG YATOA ZAWADI MBALIMBALI KWA WATEJA WAKE WAKATI WA SIKUKUU YA SABASABA

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris, (Kulia) akimpa mkono na Bw. Festo Sakaya (kushoto) baada ya mteja huyo kujinunulia friji la kisasa ndani ya banda lao la maonyesho ya Sabasaba ambapo baada ya kufanya manunuzi alizawadiwa microwave ya bure, ya LG. Kampuni hiyo ipo kwenye promosheni ya punguzo la bidhaa zake kwa asilimia 15 kwa msimu huu wa sabasaba na ramadhani. Katikati ni meneja wa tawi la LG Mtaa wa Nkurumah Bw. Yasin Lodhi. Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya LG yatoa zawadi mbalimbali kwa wateja wake ndani ya sikukuu ya sabasaba

2

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris, (Kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari moja ya microwave ambayo inatolewa kama zawadi kwa wateja wanaonunua friji za kisasa za LG. Tukio hilo lilifanyika katika banda la LG ndani ya viwanja vya maonyesho ya 39 ya biashara kimataifa maarufu kama Sabasaba, wa pili kushoto ni meneja wa tawi la LG Mtaa wa Nkurumah, Yasin Lodhi .

3

Bw. Festo Sakaya akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kupokea zawadi ya Microwave ya kisasa toka...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA OFFA KABAMBE YA SMARTFONIKA KWA WATEJA WAKE

Meneja Uhusiano wa Airtel , Bwana Jackson Mmbando (Kulia) akimuonyesha Afisa Mauzo wa Airtel   Michael Nasare  simu aina ya Samsung J100 iliyo na Selfie Stick ya kupigia picha, wakati wa uzinduzi wa offa  ijulikanayo kama “Smartfonika Ujiselfonishe” inayowawezesha wateja kupata simu mbalimbali za kisasa pamoja na kifurushi cha internet,sms na muda wa maongezi bure. Airtel Tanzania, mtandao wa smartphone...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya simu ya Tigo yazindua chapa mpya LIVE IT, LOVE IT kuelekea msimu wa sikukuu ya Krismas

Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyanja, akizungumza na waandishi wa habari wakati akimkaribisha Meneja Mkuu wa Tigo kuzungumza na wanahabari.

2

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Diego Gutierrez  (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa  chapa mpya yenye kauli mbinu ya ‘Live it, love it’ itakayoimarisha nafasi ya mbunifu anayeongoza kwa ubunifu wa kidigitali nchini. Kulia ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga.

Meneja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani