ZANTEL YAZINDUA OFA MPYA YA MUDA WA ZIADA KWA WATEJA WAKE
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose akizungumza wakati wa kuzindua ofa mpya ya Kula Tano kwa wateja wa Zantel, ambayo inawazawadia wateja wao dakika za bure kwa kupokea simu zao. Meneja wa Zantel, Deus Mtena akizungumza wakati wa uzinduzi wa ofa ya Kula Tano katika ofisi za Zantel, Anayetazama kushoto ni Meneja wa Huduma, Ashish Singh. Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose akigawa vipeperushi vya ofa ya Kula Tano baada ya kuizindua katika ofisi za Zantel.
KAMPUNI ya simu ya Zantel leo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog16 Dec
Zantel yazindua ofa ya msimu wa sikukuu kwa wateja wake
Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin.
Kampuni ya simu ya Zantel leo imetangaza kuzindua ofa maalumu kwa ajili ya msimu wa sikukuku yenye lengo la kuwazawadia wateja wake muda wa maongezi bure na nyongeza ya asilimia 20% katika kila manunuzi ya vifurushi au muda wa maongezi wanayofanya kupitia huduma ya Ezypesa.
Ofa hii pia itamzawadia kila mteja wa Zantel anayefanya manunuzi ya muda wa maongezi usio chini ya shillingi elfu moja kuweza kupata dakika za bure za kupiga Zantel kwenda...
10 years ago
StarTV16 Dec
Airtel yazindua ofa maalum kwa wateja.
Na Lilian Mtono
Dar es Salaam
Kampuni ya simu za mkononi ya airtel imezindua ofa maalumu ya simu, inayoenda bega kwa bega na kuwazawadia wateja wake wakati wa msimu huu wa sikukuu za krismas na mwaka mpya.
Ofa hii itajumuisha simu za kisasa kwa bei nafuu pamoja, vifurushi vya muda wa maongezi na internet.
Uzinduzi wa ofa unakuja ukiwa ni sehemu ya mpango wa airtel wa kutoa huduma bora zaidi na kuwawezesha wateja wake kufaidika hasa kwenye kipindi hiki cha sikukuu.
Chini ya...
5 years ago
MichuziZantel yazindua BongaMpakaBasi kuwawezesha wateja kupiga simu mitandao yote kwa gharama nafuu
Huduma hiyo, itawafanya wateja wa Zantel kupiga simu kwenda mitandao mingine kwa gharama ileile ya kupiga ndani ya mtandao kupitia kifurushi kimoja cha ‘BongaMpakaBasi’.Bidhaa hiyo inatajwa kuchochea shughuli za kiuchumi na kijamii hapa nchini.
Akizungumza wakati wa uzinduzi...
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Samsung yazindua simu mpya ya Galaxy S5 ikilenga mambo muhimu ya wateja wake
Meneja wa Simu za mkononi wa Samsung Tanzania , Bw. Silvester Manyara, akiwaonyesha waandishi wa habari jinsi simu mpya inavyopima mapigo yake ya moyo. Pembeni yake ni Bw. Kishor Kumar, Meneja wa kitengo cha simu na mambo ya teknohama wa Samsung Tanzania.
Team ya Samsung Tanznia Bw. Silvester Manyara, Bw. Jang na Bw. Kishor Kumar kwenye picha ya pamoja wakionyesha Simu mpya ya Galaxy S% iliyozinduliwa rasmi hapa Dar es Salaam.
Waandishi wa habari pamoja na wateja wakishuhudia uzinduzi wa...
9 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA OFFA KABAMBE YA SMARTFONIKA KWA WATEJA WAKE
10 years ago
Dewji Blog10 Aug
SBL yazindua rasmi tuzo ya ubora wa thamani ya Monde Selection kwa wateja wake
Mkuu wa kitengo cha Kuhamasisha Masoko kwa wateja toka Kampuni ya bia ya Serengeti Bw. Alfa Mria akizungumza na wateja wa bia ya Serengeti Premium Lager wakati wa uzinduzi rasmi wa tuzo ya ubora wathamaniya Monde Selection ambapo bia ya Serengeti Premium ya SBL imetuzwa medali ya dhahabu mwaka huu wa 2015. Sherehe ya kuzindua ushindi huo kwa wateja ilifanyika katika baa ya Toroka Uje iliyopo Kimara jijini Dar es salaam.
Meneja Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti Bi. Anitha Msangi...
9 years ago
MichuziBENKI YA BARCLAYS TANZANIA YAZINDUA KAMPENI YA MATUMIZI YA KADI ZA VISA KWA WATEJA WAKE.
Meneja wa bidhaa wa benki ya Barclays Tanzania, Valence Luteganya akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kuzindua kampeni ya matumizi ya Kadi za VISA za benki ya Barclays kwaajili ya wateja wake. Pia Lutenganya amesema kuwa kampeni hii itadumu kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Desemba 17 mwaka huu hadi Februari 28, 2016. Kampeni hii itamwezesha mteja kunufaika na mafao mbalimbali yanayohusiana na malipo kabla na baada ya kutumia kadi zao za Visa. Wateja wenye...
5 years ago
BBCSwahili25 Jun
Conway knot: Jinsi Lisa Piccirillo alivyotatua fumbo la hesabati la miaka 50 katika muda wake wa ziada
5 years ago
MichuziBenki ya Exim yazindua kampeni ya Chanja Kijanja kwa wateja wake wanaomiliki kadi za MasterCard.
Uzinduzi wa kampeni hiyo mpya iliyopewa jina la 'Chanja Kijanja na Exim Mastercard' unalenga kutoa fursa ya kipekee kwa wateja wa benki hiyo kufurahia huduma zinazokwenda sambamba na mfumo wa maisha yao kupitia benki hiyo.
Kwa mujibu wa mkuu wa kitengo cha wateja wadogo na kati wa Benki ya...