AIRTEL YAZINDUA OFFA KABAMBE YA SMARTFONIKA KWA WATEJA WAKE
![](http://api.ning.com:80/files/SDhgST2Am3X9Fs0BkuS6xKq-WJtTu6Uq29zwz0*-3rY6rdfnyCMC7mtolL4xRGHrdkTOMPhRxQ9f41ZHWaWCUEEIxxSXbgPi/IMG_7393.jpg)
Meneja Uhusiano wa Airtel , Bwana Jackson Mmbando (Kulia) akimuonyesha Afisa Mauzo wa Airtel   Michael Nasare  simu aina ya Samsung J100 iliyo na Selfie Stick ya kupigia picha, wakati wa uzinduzi wa offa ijulikanayo kama “Smartfonika Ujiselfonishe†inayowawezesha wateja kupata simu mbalimbali za kisasa pamoja na kifurushi cha internet,sms na muda wa maongezi bure. Airtel Tanzania, mtandao wa smartphone...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-azZA5E--RyE/VlYkIeDiOwI/AAAAAAAIIaM/bove7Pc73jY/s72-c/40c8b8d5-8024-4fe4-8b75-13e973062579.jpg)
Airtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja * huduma ya kwanza na kipekee kutolewa na kampuni ya mawasiliano ya simu nchini, inawawezesha wateja kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZtOS43NuV5U/VlVqjlj6iGI/AAAAAAAIIT4/HyLUjvGoeq8/s72-c/Pic%2B1.jpg)
Airtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja
Application hii mpya ya “Airtel care App” ni moja kati ya huduma nyingi za kibunifu zinazotelewa na Airtel zenye lengo la kuwawezesha wateja wa Airtel kutatua matatizo yao na mahitaji yao kwa urahisi wakati wowote.
Akizungumza Wakati wa uzinduzi wa “Airtel care App” Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-pJCYl2zx7KE/VlSmumhxd5I/AAAAAAAAvxU/DcRp-I2Qo4Q/s72-c/DSCF9164.jpg)
GAPCO kutoa zawadi kabambe kwa wateja wake wa mafuta nchini
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Airtel yazindua wiki ya huduma kwa wateja
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imejipanga kikamilifu kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuzitambua jitihada na michango ya watoa huduma wao na kuthamini umuhimu wa wateja. Airtel,...
10 years ago
StarTV16 Dec
Airtel yazindua ofa maalum kwa wateja.
Na Lilian Mtono
Dar es Salaam
Kampuni ya simu za mkononi ya airtel imezindua ofa maalumu ya simu, inayoenda bega kwa bega na kuwazawadia wateja wake wakati wa msimu huu wa sikukuu za krismas na mwaka mpya.
Ofa hii itajumuisha simu za kisasa kwa bei nafuu pamoja, vifurushi vya muda wa maongezi na internet.
Uzinduzi wa ofa unakuja ukiwa ni sehemu ya mpango wa airtel wa kutoa huduma bora zaidi na kuwawezesha wateja wake kufaidika hasa kwenye kipindi hiki cha sikukuu.
Chini ya...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-uDaOJoSRWv0/VkRA_vRMw8I/AAAAAAAIFYs/xVaLtHQ421M/s72-c/unnamed%2B%252840%2529.jpg)
Airtel yazindua ofa kabambe ya kutuma pesa bure
Ofa hii mpya ijulikanayo kama "Okoa Mapene'' ina lengo la kuinua huduma za kifedha na kuwapatia wateja njia rahisi ya kufanya miamala yao ya kila siku
Akiongea wakati wa uzinduzi, Meneja Uhusiano wa Airtel Bwn Jackson Mmbando alisema " kwa mara nyingine tena tunadhirisha kwa vitendo dhamira yetu ya kutoa huduma za...
10 years ago
Habarileo07 Oct
Airtel Tanzania yazindua wiki ya huduma kwa wateja
KAMPUNI ya simu za mkononi Airtel imejipanga kikamilifu kushehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kutambua jitihada na michango ya watoa huduma wao na umuhimu wa wateja.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/W8k9GghxLBshcbMDJ1AYQGQJvjqUE0uQu3raJZk7nMveapZOmQ-cBcBu-3rP*ix14V82nv0HR-m5qX3jp9dn7RBmaZ0vTX-U/2.jpg?width=650)
AIRTEL YAZINDUA OFA KABAMBE WAKATI WA MSIMU WA SIKUKUU
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-a0qj3YkET3U/VI_Yi4yR2yI/AAAAAAAG3dM/zNpVodTWbCE/s72-c/unnamed1m.jpg)
Airtel yazindua ofa kabambe ya simu wakati wa msimu wa sikukuu
![](http://3.bp.blogspot.com/-a0qj3YkET3U/VI_Yi4yR2yI/AAAAAAAG3dM/zNpVodTWbCE/s1600/unnamed1m.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-9Q4XFAnD0yE/VI_Yi8K4gMI/AAAAAAAG3dI/CJKKgwR_R64/s1600/unnamed1mm.jpg)