Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GAPCO kutoa zawadi kabambe kwa wateja wake wa mafuta nchini

Katika kuelekea msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka huu, GAPCO, kampuni inayoongoza kwa uuzaji wa mafuta, imeamua kuwapa wateja wake zawadi ya kufungia mwaka. Katika kufanikisha hilo, kupitia mpango wake wa ‘GAPCO Safari Loyalty programme ‘, kampuni imelenga kunufaisha na kuimarisha uhusiano wa kudumu na wateja wake kwa kuwapa mafuta ya bure.Mpango huu unaoenda sambamba na promosheni ya ‘Jaza Mafuta na Ushinde’, umedhamiria kutoa lita 4,000 za petroli au dizeli za bure kwa wateja 100 watakao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MAFUTA YA TOTAL YAHAMASISHA UPENDO KWA KUTOA ZAWADI YA 'VALENTINE DAY' KWA WATEJA


Meneja Maduka, Chakula na Huduma wa Kampuni ya Total nchini Tanzania Jane Mwita akitoa zawadi ya ua kama ishara ya upendo kwa wateja wao ambao wamefika kujaza mafuta katika Kituo cha Mafuta cha Total cha Mliman City jijini Dar es Salaam.Kampuni hiyo imeamua kusambaza upendo katika siku ya Valentine.
Meneja wa Kituo cha Mafuta cha Total Mliman City jijini Dar es Salaam Luqman Salum akitoa zawadi ya ua kwa mteja wao ambaye amefika kujaza mafuta kwenye kituo hicho leo siku ya Valentine...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wateja Gapco kupata mafuta bure

KAMPUNI ya uuzaji wa bidhaa za mafuta nchini, Gapco imezindua programu aminifu kuwezesha wamiliki wa magari kujipatia pointi wanunuapo mafuta ambazo zitawawezesha kupata mafuta bure kama faida. Mpango huo utawanufaisha...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA OFFA KABAMBE YA SMARTFONIKA KWA WATEJA WAKE

Meneja Uhusiano wa Airtel , Bwana Jackson Mmbando (Kulia) akimuonyesha Afisa Mauzo wa Airtel   Michael Nasare  simu aina ya Samsung J100 iliyo na Selfie Stick ya kupigia picha, wakati wa uzinduzi wa offa  ijulikanayo kama “Smartfonika Ujiselfonishe” inayowawezesha wateja kupata simu mbalimbali za kisasa pamoja na kifurushi cha internet,sms na muda wa maongezi bure. Airtel Tanzania, mtandao wa smartphone...

 

11 years ago

GPL

BIG BON WASHEREHEKEA VALENTINE'S DAY KWA KUTOA ZAWADI KWA WATEJA WAO

Wafanyakazi wa kituo cha kuuza mafuta cha Big Bon kilichopo Sinza-Mori jijini Dar es Salaam wakipozi huku wakiwa na zawadi za Valentine's kwa ajili ya wateja wao. Mmoja wa wafanyakazi wa Big Bon akimpatia mteja zawadi kwa ajili ya Siku ya Wapendanao.…

 

10 years ago

Michuzi

LG YATOA ZAWADI MBALIMBALI KWA WATEJA WAKE WAKATI WA SIKUKUU YA SABASABA

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris, (Kulia) akimpa mkono na Bw. Festo Sakaya (kushoto) baada ya mteja huyo kujinunulia friji la kisasa ndani ya banda lao la maonyesho ya Sabasaba ambapo baada ya kufanya manunuzi alizawadiwa microwave ya bure, ya LG. Kampuni hiyo ipo kwenye promosheni ya punguzo la bidhaa zake kwa asilimia 15 kwa msimu huu wa sabasaba na ramadhani. Katikati ni meneja wa tawi la LG Mtaa wa Nkurumah Bw. Yasin Lodhi. Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG,...

 

10 years ago

Michuzi

ECOBANK TANZANIA YATOA ZAWADI KWA WATEJA WAKE SIKU YA WAPENDANAO

Mkuu wa Teller wa Benki ya Ecobank, Tawi la Mwenge, Tusekile Mwakyembe (kulia) akikabidhi zawadi Lucas Mosha siku ya wapendanao akiwa ni mmoja wa wateja wa mwanzo wa tawi hilo alipofika kupatiwa huduma jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Benki hiyo ilitoa zawadi kwa wateja wake wa mwanzo ikiwa ni jinsi ya kuwashukuru na kuonesha wanawajali wateja wake kwa zawadi maalum.Meneja wa Benki ya Ecobank, Tawi la Mwenge, Patrick Njole (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Brandoni Kimoi ya siku...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Tigo yatoa zawadi za siku ya Mapinduzi kwa wateja wake Zanzibar

DSC_0186

Mwakilishi wa jimbo la Wamtipura Zanzibar, Mh.Hamza Hassan Juma (kushoto) akipokea zawadi ya Tigo kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano wa kampuni hiyo, Bw. John Wanyancha wakati wa maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi Zanzibar.

DSC_0160

Ofisa wa Tigo Zanzibar, Fredy Mugule akikabidhi zawadi kwa Fatuma Suleiman kwenye maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika kwenye Duka la Tigo Malindi .

DSC_0161

Ofisa wa Tigo Zanzibar Fredy Mugule akikabidhi zawadi wa Thuwayba Ali kwenye maadhimisho ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya LG yatoa zawadi mbalimbali kwa wateja wake ndani ya sikukuu ya sabasaba

2

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris, (Kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari moja ya microwave ambayo inatolewa kama zawadi kwa wateja wanaonunua friji za kisasa za LG. Tukio hilo lilifanyika katika banda la LG ndani ya viwanja vya maonyesho ya 39 ya biashara kimataifa maarufu kama Sabasaba, wa pili kushoto ni meneja wa tawi la LG Mtaa wa Nkurumah, Yasin Lodhi .

3

Bw. Festo Sakaya akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kupokea zawadi ya Microwave ya kisasa toka...

 

11 years ago

Mwananchi

Tigo kutoa mrejesho kwa wateja wake

 Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo, imejenga zaidi ya minara 500 kuboresha mawasiliano na kuwafikia wateja walioko maeneo ya vijijini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani