BIG BON WASHEREHEKEA VALENTINE'S DAY KWA KUTOA ZAWADI KWA WATEJA WAO
Wafanyakazi wa kituo cha kuuza mafuta cha Big Bon kilichopo Sinza-Mori jijini Dar es Salaam wakipozi huku wakiwa na zawadi za Valentine's kwa ajili ya wateja wao. Mmoja wa wafanyakazi wa Big Bon akimpatia mteja zawadi kwa ajili ya Siku ya Wapendanao.…
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA MAFUTA YA TOTAL YAHAMASISHA UPENDO KWA KUTOA ZAWADI YA 'VALENTINE DAY' KWA WATEJA
Meneja Maduka, Chakula na Huduma wa Kampuni ya Total nchini Tanzania Jane Mwita akitoa zawadi ya ua kama ishara ya upendo kwa wateja wao ambao wamefika kujaza mafuta katika Kituo cha Mafuta cha Total cha Mliman City jijini Dar es Salaam.Kampuni hiyo imeamua kusambaza upendo katika siku ya Valentine.
Meneja wa Kituo cha Mafuta cha Total Mliman City jijini Dar es Salaam Luqman Salum akitoa zawadi ya ua kwa mteja wao ambaye amefika kujaza mafuta kwenye kituo hicho leo siku ya Valentine...
11 years ago
GPL10 years ago
GPLCHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE
Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live. Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).…
9 years ago
MichuziGAPCO kutoa zawadi kabambe kwa wateja wake wa mafuta nchini
Katika kuelekea msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka huu, GAPCO, kampuni inayoongoza kwa uuzaji wa mafuta, imeamua kuwapa wateja wake zawadi ya kufungia mwaka. Katika kufanikisha hilo, kupitia mpango wake wa ‘GAPCO Safari Loyalty programme ‘, kampuni imelenga kunufaisha na kuimarisha uhusiano wa kudumu na wateja wake kwa kuwapa mafuta ya bure.Mpango huu unaoenda sambamba na promosheni ya ‘Jaza Mafuta na Ushinde’, umedhamiria kutoa lita 4,000 za petroli au dizeli za bure kwa wateja 100 watakao...
11 years ago
GPLNJOO USHUHUDIE NYIMBO TAMU ZA KIMAHABA NA ZAWADI KEM KEM SIKU YA WAPENDANAO (VALENTINE'S DAY) NA LIVE MUSIC KUTOKA SKYLIGHT BAND IJUMAA HII
Hii ni moja ya Live Performance ya Wimbo wa John Legenda wa All on Me ulioimbwa na Sam Mapenzi wa Skylight Band. Sam Mapenzi a.k.a Asali ya warembo akiimba kibao cha John Legend kinachobamba duniani kote kinachofahamika kama "All on Me" kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai…
10 years ago
Michuzi14 Feb
BARNABA BOY NA AMINI WATINGA RADIO KASIBANTE 88.5 FM RADIO BUKOBA, TAYARI KWA KUTOA BURUDANI LEO VALENTINE DAY LINA'S NIGHT CLUB
Mwanamuziki anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki nchini Elias Barnabas ‘Barnaba’ akiimba moja ya wimbo wake Ndani ya Studio Radio Kasibante 88.5 FM huku akipiga Gitaa lake.. Mzee wa Robo saa Amini akitokelezea leo wakati anazungumza na Wananchi wa Bukoba Kupitia Radio Kasibante 88.5 FM leo ambapo usiku huu watakuwa pamoja na Barnaba kwenye Ukumbi wa Lina's Night Club kutoa Burudani ya Nguvu na Special kwa Siku ya Wapendanao "Valentine Day" Picha na Faustine Ruta wa...
10 years ago
GPLEBOLA: BBC KUTOA TAARIFA KWA 'WHATSAPP'
Watu wengi barani Afrika wanatumia huduma ya Whats App kutumiana ujumbe mfupi. BBC imezindua huduma mpya ya umma ya kiteknolojia inayotoa taarifa za afya kuhusiana na ugonjwa wa Ebola kupitia kwa programu ya kijamii ya kutuma ujumbe mfupi kwenye internet ya 'WhatsApp.' Programu hiyo inawalenga zaidi watumiaji wa Internet katika kanda ya Afrika Magharibi.
Huduma hio itawezesha wasomaji kupata taarifa kwa njia ya sauti, ujumbe...
11 years ago
GPLVALENTINE'S DAY...AFUMANIWA, APIGWA, AZIMIA
Stori: Issa Mnally
SIMULIZI ya mrembo mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja inatia majonzi na huzuni lakini habari mbaya zaidi ni kwamba alifumaniwa na mwanaume wa mtu, katikati ya shamrashamra za Sikukuu ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’, akapewa kichapo hadi akazimia, Ijumaa Wikienda linakupa zaidi. Mrembo aliyefumaniwa akipatiwa huduma ya kwanza baada ya kuzimia. Tukio hilo lililovuta hisia za...
10 years ago
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania