EBOLA: BBC KUTOA TAARIFA KWA 'WHATSAPP'
![](http://api.ning.com:80/files/6q4t4dNL56mH989mcgexkPyEFBj-*S1ZaSW9dKVsmgO9eMZj*FsfoX53SDio43qF96GDsGxLiZcqiz71cTJ1IU6c2ZpGkQzV/whatsapp.jpg?width=650)
Watu wengi barani Afrika wanatumia huduma ya Whats App kutumiana ujumbe mfupi. BBC imezindua huduma mpya ya umma ya kiteknolojia inayotoa taarifa za afya kuhusiana na ugonjwa wa Ebola kupitia kwa programu ya kijamii ya kutuma ujumbe mfupi kwenye internet ya 'WhatsApp.' Programu hiyo inawalenga zaidi watumiaji wa Internet katika kanda ya Afrika Magharibi. Huduma hio itawezesha wasomaji kupata taarifa kwa njia ya sauti, ujumbe...
GPL