Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI 'IMPERIAL' KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA‏

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Dr. Shukuru Kawambwa akipokelewa na Mabalozi wa shule ya sekondari ya Imperial wakati alipowasili kwenye banda la shule hyo jana na kupata maelezo mbalimbali kutoka kwa Mkuu wa shule hiyo na waalimu. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Dr. Shukuru Kawambwa akiingia katika banda la shule ya sekondari Imperial.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO, Dr. SHUKURU KAWAMBWA, AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI " IMPERIAL" KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA.

Waziri wa Elimu na Mafunzo, Dr. Shukuru Kawambwa, jana Tarehe 7 July-2014, alitembelea maenesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) , yajulikanayo kama maonesho ya Saba Saba, na kutembelea Banda la Shule ya Sekondari Imperial, Dr. Kawambwa ametoa pongezi kwa uongozi na waalimu wa Shule ya Sekondari Imperial, kwa Jinsi ilivyojipanga kuhakikisha inatoa Elimu Bora Nchini, inayokidhi viwango vya Kimataifa, kwa gharama nafuu.
Shule ya Sekondari Imperial, iko Msolwa-Chalinze.
Shule imejengwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Dk. Shukuru Kawambwa aipongeza Shule ya sekondari ” Imperial” kwa jinsi ilivyojipanga kutoa elimu bora

Waziri wa Elimu na Mafunzo, Dr. Shukuru Kawambwa, jana Tarehe 7 July-2014, alitembelea maenesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) , yajulikanayo kama maonesho ya Saba Saba, na kutembelea Banda la Shule ya Sekondari Imperial, Dr. Kawambwa ametoa pongezi kwa uongozi na waalimu wa Shule ya Sekondari Imperial, kwa Jinsi ilivyojipanga kuhakikisha inatoa Elimu Bora Nchini, inayokidhi viwango vya Kimataifa, kwa gharama nafuu.

Shule ya Sekondari Imperial, iko Msolwa-Chalinze.

Shule imejengwa...

 

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA BIASHARA ENDELEVU WA VODACOM AKAGUA MAENDELEO YA ELIMU YA MAFUNZO YA KOMPYUTA KATIKA SHULE YA SEKONDARI KAMBANGWA‏

Mkuu wa kitengo cha mfuko wa huduma za jamii cha Vodacom "Vodacom Foundation"Yessaya Mwakifulefule (kushoto)akimsikiliza  Mkuu wa Biashara Endelevu wa kampuni hiyo Suraya Hamdulay,wakati alipotembelea darasa la mafunzo ya kompyuta katika Shule ya sekondari ya Kambangwa jijini Dar es Salaam,kujionea maendeleo ya mradi wa mpango wa kuziunganisha shule za Sekondari na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano,Uliofadhiliwa na Vodacom ...

 

11 years ago

GPL

MAISHA YA 'GETO' CHANGAMOTO KWA WANAFUNZI SEKONDARI ZA KATA TANGA

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Komnyang'anyo wilaya ya Handeni wakitembea barabarani kuelekea kwenye makazi yao vijiji mbalim. UJENZI wa Sekondari za Kata katika mikoa mbalimbali umesogeza huduma za elimu kwa baadhi ya maeneo. Ipo mikoa ambayo awali ilikuwa na shule chache za sekondari hali ambayo ilifanya wanafunzi wachache kupata fursa ya kujiunga na sekondari.… ...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMLAKA YA HALIYA HEWA YAANZA KUTOA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIA NCHI KWA SHULE ZA SEKONDARI MKOANI DODOMA

    Mkurugenzi wa Utafiti na matumizi ya Hali ya hewa kutoka Mamlaka ya hali ya  Hewa Nchini  Dkt, Ladislaus Chang'a, akifafanua jambo kwa wanafunzi wa shule maalumu ya Vipaji ya wasichana ya Msalato kuhusu kuhusu mabadiliko ya tabia Nchi.(Picha na John Banda wa Pamoja Blog)
 Wanafunzi wa Shule maalumu ya vipaji ya wasichana ya Msalato mjini Dodoma wakifuatilia jambo kwa makini wakati Mkurugenzi wa Utafiti na matumizi ya hali ya hewa Nchini Dkt, Ladislaus Chang'a alipokuwa akitoa mada kuhusu...

 

10 years ago

GPL

EBOLA: BBC KUTOA TAARIFA KWA 'WHATSAPP'

Watu wengi barani Afrika wanatumia huduma ya Whats App kutumiana ujumbe mfupi. BBC imezindua huduma mpya ya umma ya kiteknolojia inayotoa taarifa za afya kuhusiana na ugonjwa wa Ebola kupitia kwa programu ya kijamii ya kutuma ujumbe mfupi kwenye internet ya 'WhatsApp.' Programu hiyo inawalenga zaidi watumiaji wa Internet katika kanda ya Afrika Magharibi.
Huduma hio itawezesha wasomaji kupata taarifa kwa njia ya sauti, ujumbe...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI DK.PINDI CHANA AZINDUA MRADI WA 'MPE RIZIKI SI MATUSI' KUMLINDA MWANAMKE DHIDI YA UKATILI KATIKA MASOKO‏

 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Pindi Chana (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa 'Mpe Riziki si Matusi" kumlinda mwanamke dhidi ya ukatili katika masoko wakati akiuzindua Dar es Salaam jana. Mradi huo unaendeshwa na Shirika la Equality for Growth (EfG). Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Diwani wa Kata ya Ilala, Mkurugenzi Mtendaji wa EfG, Jane Magigita na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake...

 

10 years ago

GPL

KITABU CHA 'THE 7 HABITS OF HIGHLY EFFECTIVE PEOPLE' CHAZINDULIWA UPYA KWA LUGHA YA KISWAHILI‏

Ofisa Mtendaji Mkuu wa NFT Consult/Franklin Covey, Badru Ntege (kulia) akimwonyesha kitabu cha "The 7 Habits of highly effective People" kilichotafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kwa mara ya kwanza nchini Tanzania mgeni rasmi Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu mara baada ya kuwasili kwenye uzinduzi huo uliofanyika jana jijini Dar es Salaam katika hoteli ya Serena. Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani