Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU WAZIRI DK.PINDI CHANA AZINDUA MRADI WA 'MPE RIZIKI SI MATUSI' KUMLINDA MWANAMKE DHIDI YA UKATILI KATIKA MASOKO‏

 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Pindi Chana (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa 'Mpe Riziki si Matusi" kumlinda mwanamke dhidi ya ukatili katika masoko wakati akiuzindua Dar es Salaam jana. Mradi huo unaendeshwa na Shirika la Equality for Growth (EfG). Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Diwani wa Kata ya Ilala, Mkurugenzi Mtendaji wa EfG, Jane Magigita na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI DK.PINDI CHANA AZINDUA MRADI WA 'MPE RIZIKI SI MATUSI' KUMLINDA MWANAMKE DHIDI YA UKATILI KATIKA MASOKO‏

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Pindi Chana (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa 'Mpe Riziki si Matusi" kumlinda mwanamke dhidi ya ukatili katika masoko wakati akiuzindua Dar es Salaam jana. Mradi huo unaendeshwa na Shirika la Equality for Growth (EfG). Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Diwani wa Kata ya Ilala, Mkurugenzi Mtendaji wa EfG, Jane Magigita na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Wilaya ya Ilala, Nora Mzeru. Naibu...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Pindi Chana azindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb) akizundua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni na wanaofanya shughuli zao katika sekta zisizo rasmi. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Belinda Jijini Dar es salaam tarehe 27 Februari 2015. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana akizungumza mara baada ya kuzindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la...

 

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

10 years ago

GPL

DR. MENGI AZINDUA MPANGO WA AIRTEL FURSA 'TUNAKUWEZESHA' JIJINI DAR‏

Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP Ltd, Dk. Reginald Mengi (wa pili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Airtel Tanzania, Balozi Juma Mwapachu (wa pili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Sunil Colaso (kulia) na Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi wakiwa wameshika bango kama ishara ya uzinduzi wa mpango wa Airtel Fursa ‘Tunakuwezesha’, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Mwenyekiti...

 

10 years ago

Michuzi

MHE. DKT PINDI CHANA AZINDUA SEMINA YA KUDUMISHA AMANI NA KUKOMESHA VITENDO VYA UKATILI ROLYA, MARA

Mheshimiwa Dkt.Pindi Chana (Mb.) Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto tarehe 17/12/2014 alifungua rasmi semina maalum kuhusu masuala ya kukomesha vitendo vya Ukatili na kudumisha Amani Mkoani Mara.
 Semina hiyo ilindaliwa na kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Rorya , Kanisa kuu Mt. Petro Kowak, kata ya Nyathorogo.
Wakati wa ufunguzi wa Semina hiyo Mheshimiwa Naibu Waziri aliwasihi wadau mbalimbali wa maendeleo ya Jinsia kutekeleza kwa vitendo kauli Mbiu Siku ya...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI, DKT. PINDI CHANA ATEMBELEA DAWATI LA JINSIA LA POLISI LA WILAYA DODOMA

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dkt Pindi Chana leo ametembelea Dawati la Jinsia na Watoto la Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Dodoma Mjini kwa lengo la kukagua utendaji kazi wa madawati haya yaliyoanzishwa kwa lengo kushughulikia kesi zote zinazohusiana na unyanyasaji wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto nchini, kama njia moja wapo ya kuboresha utoaji wa huduma bora za ulinzi na usalama kwa watoto na watu wa jinsi zote.  Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAENDELO YA JAMII PINDI CHANA APOKELEWA KWA KISHINDO WILAYANI RUDEWA.

   Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Pindi Chana akimkaribisha Mama yake mzazi Regina Mlowe kuzungumza machache katika sherehe za kumkaribisha zilizofanyika katika ukumbi wa CCM wilaya ya Rudewa  Mama mzazi akiwashukuru wananchi wa Rudewa katika sherehe za kumkaribisha Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Pindi Chana.  baadhi ya wanachama wa CCM wakiwa katika sherehe za kumkaribisha Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Pindi Chana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani