Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL YAZINDUA HUDUMA YA 'SWITCH ON' KWA KISHINDO!

WASANII Nay wa Mitego, Barnabas na Vanessa Mdee wakizundua huduma ya vifurushi vya Internet vya kampuni ya simu za mkononi ya Airtel katika hotel ya Hyatt Kempinsky Kilimanjaro Hotel usiku huu, Mei 21, 2014.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

GAZETI JIPYA LA 'UWAZI MIZENGWE' LAINGIA MITAANI KWA KISHINDO

Mr. Uwazi Mizengwe (kushoto) akimkabidhi msomaji nakala ya gazeti jipya mtaani maeneo ua Ubungo jijini Dar. Msomaji akionyesha gazeti la Uwazi Mizengwe. KAMPUNI ya Global Publishers, wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Risasi, Ijumaa, Amani na Championi leo imetoa gazeti jipya liitwalo 'Uwazi Mizengwe' ambalo linazungumzia mizengwe, vituko na  mchakato mzima wa uchaguzi… ...

 

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

11 years ago

GPL

BENKI YA CRDB YAZINDUA MFUMO WA KULIPIA MATIBABU KWA KUTUMIA NJIA YA KIELEKRONIKI 'KCMC TEMBO CARD'

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB akizungumza wakati wa uzinduzi wa KCMC Tembo Card itakayotumika kwa ajili ya malipo ya matibabu katika hospitali ya KCMC. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya  Kaskazini, Askofu Dk. Martin Shao akizungumza wakati wa uzinduzi wa kadi ya malipo ya KCMC Tembo Card kwa ajili ya malipo ya matibabu… ...

 

10 years ago

GPL

MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI

MKE wa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama juzi Jumatatu alitoa shoo ya nguvu kwa kucheza wimbo wa Mark Ronson uitwao "Uptown Funk" akiwa sambamba na mastaa wa "So You Think You Can Dance". Michelle alikuwa akisherehekea bethidei ya miaka mitano ya Kampeni yake ya "Let's Move!" yenye lengo la kuondoa vitambi kwa watoto nchini Marekani. Michelle alianzisha kampeni hiyo mwaka 2010 baada ya kuwepo watoto wengi wenye...

 

10 years ago

GPL

BENKI YA NMB YAZINDUA 'MASTERCARD DEBIT' ZINAZOKUBALIKA KIMATAIFA

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa (katikati) pamoja wakurugenzi wa Benki ya NMB wakikishangilia kikundi cha sanaa kilichotumbuiza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya MasterCard itakayoanza kutumika kwa mara ya kwanza kwa wateja wake. Hafla hiyo ilifanyika katika hoteli ya Haytt Regency zamani Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Wadau wa benki ya NMB pamoja na wageni waalikwa wakisikiliza kwa umakini...

 

11 years ago

GPL

TIGO BIMA YAZINDUA TAMTHILIA YA 'KINGA YA MOYO WANGU'‏

Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa tamthilia ya redio iitwayo ‘Kinga ya Moyo Wangu’ itakayoelimisha Watanzania kuhusu umuhimu wa bima jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mkazi wa Kampuni ya BIMA inayotoa huduma za bima kupitia simu za mkononi, Christian Karlander. Tamthilia hiyo itasikika katika vipindi vya Jahazi na...

 

11 years ago

GPL

WASHINDI WA AIRTEL 'MIMI NI BINGWA' WAKWEA PIPA KWENDA OLD TRAFFORD

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Bw. Jackson  Mmbando akiwakabidhi tiketi za ndege baadhi ya washindi wa promosheni ya Mimi ni Bingwa inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel tayari kwa ajili ya safari yao ya kwenda kushuhudia mechi kati  ya Manchester United na Cardiff City itakayochezwa kesho kwenye uwanja wa Old Trafford.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Bw. Jackson  Mmbando akiwa pamoja na...

 

10 years ago

GPL

DR. MENGI AZINDUA MPANGO WA AIRTEL FURSA 'TUNAKUWEZESHA' JIJINI DAR‏

Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP Ltd, Dk. Reginald Mengi (wa pili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Airtel Tanzania, Balozi Juma Mwapachu (wa pili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Sunil Colaso (kulia) na Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi wakiwa wameshika bango kama ishara ya uzinduzi wa mpango wa Airtel Fursa ‘Tunakuwezesha’, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Mwenyekiti...

 

10 years ago

GPL

SBL YAZINDUA 'JEBEL COCONUT'

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL),  Steve Gannon akiongea na wanahabari (hawapo pichani) siku ya jana. Dar es Salaam, Tanzania-Septemba 23, 2014
KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) moja ya kampuni kubwa za kutengeneza bia nchini na watengenezaji wa bia maarufu aina ya Serengeti Premium Lager wametangaza rasmi kuzindua bidhaa yao mpya inayoitwa Jebel Coconut. Wakionyesha kinywaji kipya cha Jebel...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani