TIGO BIMA YAZINDUA TAMTHILIA YA 'KINGA YA MOYO WANGU'
![](http://api.ning.com:80/files/ETTd9*7yfBDYg*RJMczDL3zeKVEGv-k*VzH3*WE4odMQ2w9S0w-M30IFiabb8X2AXBrME0Hyn*Pqo-ztPeEe3RWedxrG7dCV/Picture332.jpg?width=650)
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa tamthilia ya redio iitwayo ‘Kinga ya Moyo Wangu’ itakayoelimisha Watanzania kuhusu umuhimu wa bima jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mkazi wa Kampuni ya BIMA inayotoa huduma za bima kupitia simu za mkononi, Christian Karlander. Tamthilia hiyo itasikika katika vipindi vya Jahazi na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0004.jpg)
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
11 years ago
Habarileo21 May
Tigo yazindua tamthilia ya bima
KAMPUNI ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo imezindua tamthilia mpya ya ‘Kinga ya moyo wangu’, kwa lengo la kuielimisha jamii juu ya masuala ya bima.
11 years ago
Dewji Blog21 May
Tigo yazindua Tamthilia ya Redio kuelimisha Umma kuhusu Bima
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa tamthilia ya redio iitwayo ‘Kinga ya Moyo Wangu’ itakayoelimisha watanzania kuhusu umuhimu wa bima jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mkazi wa Kampuni ya BIMA inayotoa huduma za bima kupitia simu za mkononi, Christian Karlander. Tamthilia hiyo itasikika katika vipindi vya Jahazi na Leo Tena vya Clouds FM.
Meneja Mkazi wa Kampuni inayotoa huduma za bima kupitia simu za...
10 years ago
GPLBALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, LIU DONG AZINDUA TAMTHILIA YA TUOANE 'LETS GET MARRIED'
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtoBnWumla8u3pKxEShEiSRZFJno-aSoN8wKgAXDBCu-ir2OxFRptFkjADzjN7tmLTgd9CQCDD4mvSS8f6o7h2We/1a.jpg?width=650)
TIGO YAZINDUA 'RUDISHIWA PESA YAKO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bAnmdOW7Nah08pHF9vKOC9F9B2xIBHEU7wn-M6eFJU79Ii9yqjw5KpemrM07Z3jIGxjGbZ5sqBAqEYFccgX2ulTaXdDwqdNa/1.jpg?width=650)
BENKI YA NMB YAZINDUA 'MASTERCARD DEBIT' ZINAZOKUBALIKA KIMATAIFA
11 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA HUDUMA YA 'SWITCH ON' KWA KISHINDO!
10 years ago
GPLSBL YAZINDUA 'JEBEL COCONUT'
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-a6F4vLoWInQ/Ux7boYTm4vI/AAAAAAAA72U/GvV1-pPLQGE/s1600/20.jpg)
BENKI YA CRDB YAZINDUA MFUMO WA KULIPIA MATIBABU KWA KUTUMIA NJIA YA KIELEKRONIKI 'KCMC TEMBO CARD'