BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, LIU DONG AZINDUA TAMTHILIA YA TUOANE 'LETS GET MARRIED'
 Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Dong akitoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa Tamthilia mpya ya Tuonae ,Lets Get Married iliyichezwa na wachina na kutafsiriwa kwa kiswahili. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar e Salaam jana. Kulia ni Ofisa kutoka ubalozi wa China, ambaye alikuwa ni mkalimani wa balozi huyo, Yetianfa Attache.   Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Dong (kulia), akipeana mkono na Balozi wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, LIU DONG AZINDUA TAMTHILIA YA TUOANE 'LETS GET MARRIED'
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ETTd9*7yfBDYg*RJMczDL3zeKVEGv-k*VzH3*WE4odMQ2w9S0w-M30IFiabb8X2AXBrME0Hyn*Pqo-ztPeEe3RWedxrG7dCV/Picture332.jpg?width=650)
TIGO BIMA YAZINDUA TAMTHILIA YA 'KINGA YA MOYO WANGU'
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa tamthilia ya redio iitwayo ‘Kinga ya Moyo Wangu’ itakayoelimisha Watanzania kuhusu umuhimu wa bima jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mkazi wa Kampuni ya BIMA inayotoa huduma za bima kupitia simu za mkononi, Christian Karlander. Tamthilia hiyo itasikika katika vipindi vya Jahazi na...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0004.jpg)
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...
10 years ago
GPLDC AZINDUA FILAMU YA 'MATESO YANGU UGHAIBUNI', UZINDUZI WAFANA
Mkuu wa Wilaya (DC) Temeke, Mheshimiwa Sophia Mjema akihutubia kwa niaba ya mke wa waziri mkuu, Tunu Pinda, aliyetarajiwa kuwa mgeni rasmi, (hakufika) wakati wa uzinduzi wa filamu hiyo. Muigizaji Esha Buheti akiwa katika zulia jekundu 'red carpet' kwa ajili ya kupiga picha kwenye uzinduzi wa filamu…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvQle*NMsH6-eXhiIizX87qfQpv9QQI1hciClc9UEcc1X3eLNoQLaiGLtTwtPsCacxIiNYu7fKzxpg1GaTAgwNcb/1.jpg?width=650)
DR. MENGI AZINDUA MPANGO WA AIRTEL FURSA 'TUNAKUWEZESHA' JIJINI DAR
Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP Ltd, Dk. Reginald Mengi (wa pili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Airtel Tanzania, Balozi Juma Mwapachu (wa pili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Sunil Colaso (kulia) na Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi wakiwa wameshika bango kama ishara ya uzinduzi wa mpango wa Airtel Fursa ‘Tunakuwezesha’, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Mwenyekiti...
10 years ago
GPLNAIBU WAZIRI DK.PINDI CHANA AZINDUA MRADI WA 'MPE RIZIKI SI MATUSI' KUMLINDA MWANAMKE DHIDI YA UKATILI KATIKA MASOKO
 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Pindi Chana (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa 'Mpe Riziki si Matusi" kumlinda mwanamke dhidi ya ukatili katika masoko wakati akiuzindua Dar es Salaam jana. Mradi huo unaendeshwa na Shirika la Equality for Growth (EfG). Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Diwani wa Kata ya Ilala, Mkurugenzi Mtendaji wa EfG, Jane Magigita na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68w3ttWqYAOmRmTGmAHW9-QgTAC1lBYpXlImVhwgu0h3x3DL9k2-nXmPEoPJkQEPLOcXWQgqYWvB4HDb98Cw5GA5/001.JAYMILLIONSMAWASILIANO.jpg)
BALOZI WA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM'JAY'AWALIPIA ABIRIA WOTE NAULI WA KITUO CHA MAWASILIANO JIJINI
Balozi wa Promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hilary Daudâ€Zembwelaâ€(kushoto)akimkabidhi fedha mmoja wa abiria wa basi linalofanya safari zake kutoka kituo cha mabasi cha mawasiliano cha ubungo kwenda Mwananyamala jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuwalipia abiria wenzake nauli ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha wateja wa kampuni hiyo kutuma neno Jay kwenda 15544 ili kujua kama wameshinda. Mkazi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NpAlVAvTs3NbJVMfCSkU2uJKVU0JO5vnGlpoo8UY14H8x7fUoU4CfxiAvEJ93UP9aZnJ-j1IJaZsQVqtWJUMlNLvGbTkbf1T/2.jpg)
VIGOGO SAKATA LA 'BALI NINE' KUPIGWA RISASI KESHO NCHINI INDONESIA
Raia wa Australia Andrew Chan (kushoto) na Myuran Sukumaran wanaosubiria kuuawa kwa kupigwa risasi kesho asubuhi nchini Indonesia.
Dada wa Sukuraman, Brintha, akisaidiwa na watu kuelekea bandarini wakati akienda kumuaga kaka yake kwa mara ya mwisho kwenye Kisiwa cha Nusakambangan. Michael Chan (katikati mwenye tisheti ya kijani) ambaye…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qHkXSNTTQ9fmojbSGpCVY9TW54lhlj-ptX7F*gkaWxvLUUMfsGtJMtgH59svzjuFjg0jwmEqXG5NomQBFZbiGCm0rxkjtgMs/hands.in.the.air.gif?width=650)
MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI
MKE wa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama juzi Jumatatu alitoa shoo ya nguvu kwa kucheza wimbo wa Mark Ronson uitwao "Uptown Funk" akiwa sambamba na mastaa wa "So You Think You Can Dance". Michelle alikuwa akisherehekea bethidei ya miaka mitano ya Kampeni yake ya "Let's Move!" yenye lengo la kuondoa vitambi kwa watoto nchini Marekani. Michelle alianzisha kampeni hiyo mwaka 2010 baada ya kuwepo watoto wengi wenye...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10