Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tigo yazindua tamthilia ya bima

KAMPUNI ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo imezindua tamthilia mpya ya ‘Kinga ya moyo wangu’, kwa lengo la kuielimisha jamii juu ya masuala ya bima.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Tigo yazindua Tamthilia ya Redio kuelimisha Umma kuhusu Bima

Picture 332

Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa tamthilia ya redio iitwayo ‘Kinga ya Moyo Wangu’ itakayoelimisha watanzania kuhusu umuhimu wa bima jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mkazi wa Kampuni ya BIMA inayotoa huduma za bima kupitia simu za mkononi, Christian Karlander.  Tamthilia hiyo itasikika katika vipindi vya Jahazi na Leo Tena vya Clouds FM.

Picture 401

Meneja Mkazi wa Kampuni  inayotoa huduma za bima kupitia simu za...

 

11 years ago

GPL

TIGO BIMA YAZINDUA TAMTHILIA YA 'KINGA YA MOYO WANGU'‏

Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa tamthilia ya redio iitwayo ‘Kinga ya Moyo Wangu’ itakayoelimisha Watanzania kuhusu umuhimu wa bima jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mkazi wa Kampuni ya BIMA inayotoa huduma za bima kupitia simu za mkononi, Christian Karlander. Tamthilia hiyo itasikika katika vipindi vya Jahazi na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya simu ya Tigo yazindua kampeni ya ‘Chagua Tigo Pesa, Inalipa’

1

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana katika uzinduzi wa kampeni ya ya Chagua Tigo Pesa, Inalipa. Kulia ni Meneja  Bidhaa wa Tigo, William Mpinga.

2

Meneja  Bidhaa wa Tigo, William Mpinga (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Kushoto ni Mkuu wa wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel.

IMG_2230

Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

Na Dotto Mwaibale

KAMPUNI ya simu ya mkononi ya...

 

11 years ago

Michuzi

Bayport Yazindua Bima Ya Elimu

Bayport yazindua Bima Ya Elimu,Kwenye hafla ndogo kwenye ofisi ya Wizara ya   Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto. Kuanzia mkono wa kushoto katika picha ni Mhe. Sophia Simba (Waziri) akifutiwa na wawakilishi wa Bayport Financial    Services Maneja Masoko Ngula Cheyo na Matthew Mbaga, Meneja wa Bima. ======  ======  =======
Bayport Financial Services, ambayo ni moja kati ya wakopeshaji akubwa kwa ajili ya wafanyakazi imezindua mpango wa bima kwa ajili ya elimu.  Mfumo huo wa bima ni kwa...

 

11 years ago

Michuzi

Maendeleo Bank yazindua huduma za bima

Maendeleo Bank imezindua huduma ya bima ikiwa ni lengo la kuwapatia wateja huduma zote muhimu chini  ya dari moja. Pia inachangia juhudi za serikali kuboresha na kufikisha elimu na huduma za bima kwa wananchi wengi ambao hawajafikiwa. Maendeleo Bank Insurance Agency imeanzishwa ili kuunga mkono mkakati wa Serikali wa huduma za kifedha jumuishi ambazo zitahamasisha wananchi wengi watumie na wafikiwe na huduma za kifedha ikiwa ni pamoja na bima.  Katika huduma za bima, Maendeleo Bank...

 

11 years ago

BBCSwahili

Tigo yazindua Facebook ya Kiswahili

Kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo nchini Tanzania imezindua matumizi ya mtandao wa kijamii wa mawasiliano ya Facebook,kwenye mfumo wa lugha ya Kiswahili

 

11 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yazindua Huduma ya Bima ya Bure ya Mkopo jijini Dar

Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Bi. Kemibaro Omuteku (wa tatu kushoto) akiwa na baadhi ya maofisa wa benki hiyo wakionyesha vipeperushi ikiwa ni ishara ya kuzindua huduma ya Bima ya Bure ya Mkopo jijini Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni; Mkuu wa Idara ya Mikopo, Andrew Lyimo, Meneja Bima ya Maisha, William Mapela na Mkuu wa Idara ya Mauzo, Mongateko Makongoro. Mkuu wa Idara ya Mikopo wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Andrew Lyimo, (kulia) akizungumza...

 

5 years ago

CCM Blog

NMB YAZINDUA HUDUMA YA BIMA ITAKAYOPATIKANA MATAWI YAKE YOTE NCHINI

  Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi, Biashara Ndogo na za Kati, Filbert Mponzi (kushoto) na Kamishna wa Bima kutoka katika Mamlaka ya Bima nchini (TIRA), Dkt. Mussa Juma wakizindua NMB Bancassurance. Katikati ni Meneja wa Usimaimizi wa Fedha, B.o.T, Mussa Sadat.
  Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi Biashara Ndogo na za Kati, Filbert Mponzi (katikati) akiwa na Kamishna wa Bima kutoka  Mamlaka ya Bima nchini (TIRA), Dkt. Mussa Juma (kushoto) wakati wa uzinduzi wa NMB Bancassurance uliofanyika jijini Dar...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yazindua Duka jipya Moshi

2

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Leonidas T. Gama aikata utepe kuzindua rasmi Tawi la Tigo Moshi Mjini jana, wanaoshuhudia kulia ni Gwamaka Mwakilembe, Meneja huduma kwa wateja Kanda ya Kaskazini na kushoto ni Meneja wa ubora huduma kwa wateja Tigo, Mwangaza Matotola.

3

Meneja huduma kwa wateja Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Leonidas Gama juu ya bidhaa zilizopo ndani ya Duka la Tigo lililozinduliwa Moshi Mjini jana.

Kampuni ya simu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani