Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maendeleo Bank yazindua huduma za bima

Maendeleo Bank imezindua huduma ya bima ikiwa ni lengo la kuwapatia wateja huduma zote muhimu chini  ya dari moja. Pia inachangia juhudi za serikali kuboresha na kufikisha elimu na huduma za bima kwa wananchi wengi ambao hawajafikiwa. Maendeleo Bank Insurance Agency imeanzishwa ili kuunga mkono mkakati wa Serikali wa huduma za kifedha jumuishi ambazo zitahamasisha wananchi wengi watumie na wafikiwe na huduma za kifedha ikiwa ni pamoja na bima.  Katika huduma za bima, Maendeleo Bank...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

NMB YAZINDUA HUDUMA YA BIMA ITAKAYOPATIKANA MATAWI YAKE YOTE NCHINI

  Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi, Biashara Ndogo na za Kati, Filbert Mponzi (kushoto) na Kamishna wa Bima kutoka katika Mamlaka ya Bima nchini (TIRA), Dkt. Mussa Juma wakizindua NMB Bancassurance. Katikati ni Meneja wa Usimaimizi wa Fedha, B.o.T, Mussa Sadat.
  Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi Biashara Ndogo na za Kati, Filbert Mponzi (katikati) akiwa na Kamishna wa Bima kutoka  Mamlaka ya Bima nchini (TIRA), Dkt. Mussa Juma (kushoto) wakati wa uzinduzi wa NMB Bancassurance uliofanyika jijini Dar...

 

11 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yazindua Huduma ya Bima ya Bure ya Mkopo jijini Dar

Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Bi. Kemibaro Omuteku (wa tatu kushoto) akiwa na baadhi ya maofisa wa benki hiyo wakionyesha vipeperushi ikiwa ni ishara ya kuzindua huduma ya Bima ya Bure ya Mkopo jijini Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni; Mkuu wa Idara ya Mikopo, Andrew Lyimo, Meneja Bima ya Maisha, William Mapela na Mkuu wa Idara ya Mauzo, Mongateko Makongoro. Mkuu wa Idara ya Mikopo wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Andrew Lyimo, (kulia) akizungumza...

 

10 years ago

Mwananchi

Access Bank yazindua huduma

Benki ya Access imetangaza kuanza kutoa huduma za kibenki kwa njia ya simu ya mkononi kwa wateja wake nchini bure.

 

9 years ago

Michuzi

AMANA BANK YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Mteja wa muda mrefu wa bemki ya Amana Bw Masoud Khalfan (katikati) akizindua wiki ya huduma kwa wateja katika tawi la Main la benki ya Amana jijini Dar ka kukata utepe. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa benki hiyo Dk Muhsin Masoud, Kulia ni mkuu wa idara ya masoko Bw Dassu Mohamed Mussa, kushoto ni mteja wa siku nyingi wa benki hiyo Bw Dossa. Mkuu wa idara ya masoko Bw Dassu Mussa kushoto akiwa na mkuu wa kitengo cha fedha Bw Fahad Hamid siku ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja. 
Benki ya...

 

11 years ago

Michuzi

Bayport Yazindua Bima Ya Elimu

Bayport yazindua Bima Ya Elimu,Kwenye hafla ndogo kwenye ofisi ya Wizara ya   Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto. Kuanzia mkono wa kushoto katika picha ni Mhe. Sophia Simba (Waziri) akifutiwa na wawakilishi wa Bayport Financial    Services Maneja Masoko Ngula Cheyo na Matthew Mbaga, Meneja wa Bima. ======  ======  =======
Bayport Financial Services, ambayo ni moja kati ya wakopeshaji akubwa kwa ajili ya wafanyakazi imezindua mpango wa bima kwa ajili ya elimu.  Mfumo huo wa bima ni kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Tigo yazindua tamthilia ya bima

KAMPUNI ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo imezindua tamthilia mpya ya ‘Kinga ya moyo wangu’, kwa lengo la kuielimisha jamii juu ya masuala ya bima.

 

10 years ago

Vijimambo

CONVENANT BANK NA AAR KUANZISHA AKAUNTI YA BIMA YA AFYA KUSAIDIA WAJASIRIAMALI

Benki ya wanawake ijulikanayo kama Convenant Bank pamoja na Kampuni ya bima ya AAR washirikiana katika kuanzisha akaunti ya bima ya matibabu kwa wajasiriamali walioko nchini Mkutano kati ya Convenant Bank, AAR Insurance na wajasiriamali ulifanyika mwishoni mwa wiki ilopita,uliohusika na kuwaelewesha wajasiriamali kuhusu akaunti hiyo na umuhimu wa bima ya afya kwenye maisha yao ya kila siku.Akiongea na wajasiriamali Mkurugenzi wa Convenant Bank Bibi Sabeth Mwambenja alisema,“Akaunti hii ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tigo yazindua Tamthilia ya Redio kuelimisha Umma kuhusu Bima

Picture 332

Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa tamthilia ya redio iitwayo ‘Kinga ya Moyo Wangu’ itakayoelimisha watanzania kuhusu umuhimu wa bima jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mkazi wa Kampuni ya BIMA inayotoa huduma za bima kupitia simu za mkononi, Christian Karlander.  Tamthilia hiyo itasikika katika vipindi vya Jahazi na Leo Tena vya Clouds FM.

Picture 401

Meneja Mkazi wa Kampuni  inayotoa huduma za bima kupitia simu za...

 

10 years ago

Michuzi

Covenant Bank, AAR wazindua Bima ya Matibabu ya Tsh. 1000 kwa siku

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Covenant Bank, Balozi Salome Sijaona (Katikati) akikabidhi kadi ya Bima ya Matibabu kwa Zaituni Zoro, ambae ni miongoni mwa wateja wa kwanza wa Huduma mpya ya Bima ya Matibabu ambayo zinawawezesha wateja wa Benki hiyo kupata Bima ya Matibahu kwa Shilingi 1000 kwa siku na kuweza kutibiwa hospitali Binafsi na za serikali pamoja na kununua dawa. Wanaoshuhudia (Kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja na Meneja Uendeshaji wa AAR....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani