Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIGO YAZINDUA 'RUDISHIWA PESA YAKO

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI   ‘Rudishiwa Pesa yako’ Tigo kuwarudishia wateja wake gharama za kununulia laini za simu
Dar es salaam, Januari 202014 – Katika jitihada za kuwapa watanzania wengi fursa yakupata huduma za  mawasiliano ya simu, Tigo leo imezindua utaratibu wa kuwarudishia wateja wake gharama zote manunuzi ya laini za simu kwa kuwapa muda wa maongezi na kuwapa salio katika akaunti zao za...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya simu ya Tigo yazindua kampeni ya ‘Chagua Tigo Pesa, Inalipa’

1

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana katika uzinduzi wa kampeni ya ya Chagua Tigo Pesa, Inalipa. Kulia ni Meneja  Bidhaa wa Tigo, William Mpinga.

2

Meneja  Bidhaa wa Tigo, William Mpinga (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Kushoto ni Mkuu wa wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel.

IMG_2230

Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

Na Dotto Mwaibale

KAMPUNI ya simu ya mkononi ya...

 

11 years ago

GPL

TIGO BIMA YAZINDUA TAMTHILIA YA 'KINGA YA MOYO WANGU'‏

Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa tamthilia ya redio iitwayo ‘Kinga ya Moyo Wangu’ itakayoelimisha Watanzania kuhusu umuhimu wa bima jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mkazi wa Kampuni ya BIMA inayotoa huduma za bima kupitia simu za mkononi, Christian Karlander. Tamthilia hiyo itasikika katika vipindi vya Jahazi na...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel Money yazindua rasmi huduma ya kutuma/kupokea pesa moja kwa moja kwenye akaunti ya tigo pesa

Mkurugenzi mtendaji wa Airtel Bwana Sunil Colasa akiongea na waandishi wa habari leo hii (hawapo pichani) akiwatangazia kuanza kutumika rasmi kwa huduma mpya ya kutuma na kupokea pesa kutoka kwenye mitandao mingine moja kwa moja kwenye akaunti  zao za Airtel money, (interoperability) huduma hii ni ya kwanza Duniani ambapo inaaminika kuwa itasaidia sana wateja wa Airtel Money na Wakala kuokoa muda wa kupata na kutoa huduma kwa haraka Zaidi. ===========  ==========Wateja Airtel Money...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL MONEY YAZINDUA RASMI HUDUMA YA KUTUMA, KUPOKEA PESA MOJA KWA MOJA KWENYE AKAUNTI YA TIGO PESA

Mkurugenzi mtendaji wa Airtel Bwana Sunil Colasa akiongea na waandishi wa habari leo hii (hawapo pichani) akiwatangazia kuanza kutumika rasmi kwa huduma mpya ya kutuma na kupokea pesa kutoka kwenye mitandao mingine moja kwa moja kwenye akaunti  zao za Airtel money, (interoperability) huduma hii ni ya kwanza Duniani ambapo inaaminika kuwa itasaidia sana wateja wa Airtel Money na Wakala kuokoa muda wa kupata na kutoa huduma kwa...

 

5 years ago

Michuzi

Wateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda

Tigo Tanzania, kampuni inayoongoza kwa ubunifu wa Kidigitali nchini, leo imezindua huduma inayowawezesha watumiaji wote wa Tigo Pesa nchini Tanzania kuweza kutuma na kupokea pesa kupitia simu zao za mkononi kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN za nchini Rwanda.
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wateja wa Tigo Pesa kunufaika na huduma ya “Tigo wekeza” kwa kupata faida kupitia akaunti zao

1

Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu huduma mpya ya Tigo Wekeza iliyozinduliwa leo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wa Tigo Pesa zaidi ya milioni 3.5 kuweza kupata gawiwo moja kwa moja katika akaunti zao za Tigo Pesa. Kushoto ni Profesa Andrew Temu kutoka mfuko wa fedha Financial Services Deepening Trust (FSDT), wa pili kulia ni Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson na wakala wa Tigo Pesa Ramadhan Wangwa.

Tigo Tanzania leo imekuwa...

 

11 years ago

GPL

JIPATIE NAKALA YAKO YA GAZETI MAHIRI LA MICHEZO 'CHAMPIONI JUMAMOSI'

Kwa habari za michezo, burudani, hadithi za kusisimua, makala za uchambuzi wa michezo na mengine mengi, Soma gazeti la Championi Jumamosi!

 

10 years ago

GPL

BENKI YA NMB YAZINDUA 'MASTERCARD DEBIT' ZINAZOKUBALIKA KIMATAIFA

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa (katikati) pamoja wakurugenzi wa Benki ya NMB wakikishangilia kikundi cha sanaa kilichotumbuiza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya MasterCard itakayoanza kutumika kwa mara ya kwanza kwa wateja wake. Hafla hiyo ilifanyika katika hoteli ya Haytt Regency zamani Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Wadau wa benki ya NMB pamoja na wageni waalikwa wakisikiliza kwa umakini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani