BARNABA BOY NA AMINI WATINGA RADIO KASIBANTE 88.5 FM RADIO BUKOBA, TAYARI KWA KUTOA BURUDANI LEO VALENTINE DAY LINA'S NIGHT CLUB
Mwanamuziki anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki nchini Elias Barnabas ‘Barnaba’ akiimba moja ya wimbo wake Ndani ya Studio Radio Kasibante 88.5 FM huku akipiga Gitaa lake..
Mzee wa Robo saa Amini akitokelezea leo wakati anazungumza na Wananchi wa Bukoba Kupitia Radio Kasibante 88.5 FM leo ambapo usiku huu watakuwa pamoja na Barnaba kwenye Ukumbi wa Lina's Night Club kutoa Burudani ya Nguvu na Special kwa Siku ya Wapendanao "Valentine Day" Picha na Faustine Ruta wa...
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania