Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tigo kutoa mrejesho kwa wateja wake

 Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo, imejenga zaidi ya minara 500 kuboresha mawasiliano na kuwafikia wateja walioko maeneo ya vijijini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja

IMG_5019

Wateja wakisikiliza mazungumzo mojakwamoja Baina ya mteja na muhudumu wetu katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter)  IMG_5004 IMG_4911 Mkuu wa idara ya Huduma kwa wateja, Ndugu Zaeem Khan akikabidhi kadi za kipaumbele kwa wateja waliohudhuria hafla hiyo. IMG_5035 Wateja waliopata nafasi ya kutembelea kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) wakipata maelekezo kuhusu huduma za Tigo. picha 02 Picha ya pamoja ya Wafanyakazi  na wateja wa Tigo waliotembelea kituo cha Huduma kwa...

 

9 years ago

Michuzi

Kampuni ya TTCL yakutanisha wateja wake Dar kupata mrejesho wa huduma

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura akizungumza katika hafla fupi iliyowakutanisha baadhi ya wateja wa kampuni hiyo na maofisa wa TTCL kubadilishana uzoefu na kupata maoni ya wateja wao jana jijini Dar es Salaam Double Tree by Hilton Hotel. Tukio hili ni mwendelezo wa Wiki ya Huduma kwa wateja wa Kampuni ya simu ya TTCL iliyozinduliwa hivi karibuni.Baadhi ya wateja, wafanyakazi wa TTCL wakibadilishana mawazo kwenye  hafla fupi iliyowakutanisha baadhi...

 

11 years ago

GPL

TIGO YATOA MILIONI 400 KWA WATEJA WAKE‏

Nuru Staford, mkazi wa Tabata ambaye ni  mmoja wa washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya Tigo 'Shinda kitita na Tigo Pesa' akipokea mfano wa hundi ya Sh. milioni 2 kutoka kwa Mratibu wa Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta leo jijini Dar es Salaam. Kufikia leo Tigo imeshatoa jumla ya shilingi milioni 400 kwa wateja wake 1,215 waliokwisha shinda na promosheni hii.
Mkazi wa Tazara, Nassoro Yusuphu,… ...

 

11 years ago

Habarileo

Tigo kurejesha gharama za laini za simu kwa wateja wake

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo imezindua utaratibu wa kurudishia wateja wake gharama zote za ununuzi wa laini za simu kwa kuwapa muda wa maongezi na salio katika akaunti za Tigo pesa.

 

9 years ago

Dewji Blog

Tigo yaomba wateja wake radhi kwa kukatika kwa huduma zake!

tigo-logo

[Dar es Salaam] Kampuni ya simu ya Tigo imeomba radhi wateja wake kutokana na kukatika kwa huduma zake katika sehemu nyingine nchini jana Novemba 8.2015.

Taarifa ya kampuni hiyo iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam imesema kukatika kwa huduma za Tigo “kulitokana na sababu zilizo nje ya uwezo kwa kampuni zilizo tokana na kukatika kwa mkongo sehemu tofauti tofauti.” Aidha taarifa hiyo iliendelea kusema kwamba “tatizo hilo sasa limeshughulikiwa kikamilifu na huduma zote...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo Pesa yarejesha tena faida ya shilingi 3bn/- kwa wateja wake

DSC_07171

Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez.

Tigo imetangaza leo kwamba imetoa malipo yake ya kwanza ya kila robo mwaka ya kiasi cha shilingi bilioni 3 (dola milioni 1.8) kwa wateja wake wa Tigo Pesa. Mgao huu ni wa kwanza kati ya awamu nne za malipo zinazotarajiwa kufanyika kila mwaka.

Malipo haya yanafanyka miezi mitatu baada ya kampuni hiyo kulipa kiasi cha shilingi bilioni 14.25 (dola milioni 8.64) ambacho kilikuwa kimelimbikizwa katika mfuko wa fedha ya akaunti ya Tigo Pesa,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Tigo yatoa zawadi za siku ya Mapinduzi kwa wateja wake Zanzibar

DSC_0186

Mwakilishi wa jimbo la Wamtipura Zanzibar, Mh.Hamza Hassan Juma (kushoto) akipokea zawadi ya Tigo kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano wa kampuni hiyo, Bw. John Wanyancha wakati wa maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi Zanzibar.

DSC_0160

Ofisa wa Tigo Zanzibar, Fredy Mugule akikabidhi zawadi kwa Fatuma Suleiman kwenye maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika kwenye Duka la Tigo Malindi .

DSC_0161

Ofisa wa Tigo Zanzibar Fredy Mugule akikabidhi zawadi wa Thuwayba Ali kwenye maadhimisho ya...

 

11 years ago

Michuzi

NMB KWA KUSHIRIKIANA NA TIGO PESA YASOGEZA HUDUMA ZA KIBENKI KARIBU ZAIDI NA WATEJA WAKE

Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni ya simu za mkononi Tigo wamezindua huduma ya kuweka na kutuma pesa kupitia simu za mkononi. Lengo kubwa la huduma hii ni kuwezesha huduma za kibenki kuwafikia wateja kwa ukaribu na urahisi zaidi.
Huduma hii mpya inawawezesha wateja wote wa NMB na Tigo kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti zao za Tigo Pesa kwenda kwenye akaunti zao za NMB. Vilevile, mteja anaweza kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti ya NMB kwenda kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani