LG YATOA ZAWADI MBALIMBALI KWA WATEJA WAKE WAKATI WA SIKUKUU YA SABASABA
Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris, (Kulia) akimpa mkono na Bw. Festo Sakaya (kushoto) baada ya mteja huyo kujinunulia friji la kisasa ndani ya banda lao la maonyesho ya Sabasaba ambapo baada ya kufanya manunuzi alizawadiwa microwave ya bure, ya LG. Kampuni hiyo ipo kwenye promosheni ya punguzo la bidhaa zake kwa asilimia 15 kwa msimu huu wa sabasaba na ramadhani. Katikati ni meneja wa tawi la LG Mtaa wa Nkurumah Bw. Yasin Lodhi.
Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog09 Jul
Kampuni ya LG yatoa zawadi mbalimbali kwa wateja wake ndani ya sikukuu ya sabasaba
Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris, (Kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari moja ya microwave ambayo inatolewa kama zawadi kwa wateja wanaonunua friji za kisasa za LG. Tukio hilo lilifanyika katika banda la LG ndani ya viwanja vya maonyesho ya 39 ya biashara kimataifa maarufu kama Sabasaba, wa pili kushoto ni meneja wa tawi la LG Mtaa wa Nkurumah, Yasin Lodhi .
Bw. Festo Sakaya akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kupokea zawadi ya Microwave ya kisasa toka...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-25a9z9DzOQ8/VOJKTU1PXCI/AAAAAAAAqFs/9i8MSwTXC1U/s72-c/B2.jpg)
ECOBANK TANZANIA YATOA ZAWADI KWA WATEJA WAKE SIKU YA WAPENDANAO
![](http://1.bp.blogspot.com/-25a9z9DzOQ8/VOJKTU1PXCI/AAAAAAAAqFs/9i8MSwTXC1U/s1600/B2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-HaFpNnZsVNs/VOJKUGZwNlI/AAAAAAAAqF0/o8p8gbovDdQ/s1600/V3.jpg)
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Kampuni ya Tigo yatoa zawadi za siku ya Mapinduzi kwa wateja wake Zanzibar
Mwakilishi wa jimbo la Wamtipura Zanzibar, Mh.Hamza Hassan Juma (kushoto) akipokea zawadi ya Tigo kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano wa kampuni hiyo, Bw. John Wanyancha wakati wa maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi Zanzibar.
Ofisa wa Tigo Zanzibar, Fredy Mugule akikabidhi zawadi kwa Fatuma Suleiman kwenye maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika kwenye Duka la Tigo Malindi .
Ofisa wa Tigo Zanzibar Fredy Mugule akikabidhi zawadi wa Thuwayba Ali kwenye maadhimisho ya...
11 years ago
Dewji Blog07 Jul
Jerry Slaa kukabidhi zawadi kwa wateja wa banda la MeTL Sabasaba
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa.
Na Mwandishi Wetu
WATEJA wanaotembelea banda la MeTL Group lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea kwenye mabanda ya SabaSaba katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam, kesho Jumatatu wanatarajiwa kuchezeshewa droo maalum itakayotoa zawadi mbalimbai ikiwemo pikipiki.
Katika droo hiyo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa anatarajiwa kuwa mgeni...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_1291.jpg)
JERRY SLAA KUKABIDHI ZAWADI KWA WATEJA WA BANDA LA MeTL SABASABA
11 years ago
Michuzi07 Jul
JERRY SLAA KUKABIDHI ZAWADI KWA WATEJA WA BANDA LA MeTL SABASABA LEO
![IMG_1291](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_1291.jpg)
WATEJA wanaotembelea banda la MeTL Group lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea kwenye mabanda ya SabaSaba katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu wanatarajiwa kuchezeshewa droo maalum itakayotoa zawadi mbalimbai ikiwemo pikipiki.Katika droo hiyo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi na atakabidhi...
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
TIGO yatoa zawadi ya sikukuu ya Eid kwa wakazi wa Mbagala, yafavya tamasha kubwa
Msanii mpya kwenye Game mwanadada Rapa Chemical, akipiga bonge ya shoo iliyowasisimua mashabiki walikuja kuona tamasha la Tigo viwanja vya zakhem Mbagala.
Msanii wa bongo fleva Amini, akitoa burudani kwenye Tamasha la Tigo la sikukuu ya Eid lililofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jana.
Msanii wa bongo fleva Belle 9, akitoa burudani kwenye Tamasha la Tigo la sikukuu ya Eid lililofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jana.
9 years ago
Dewji Blog16 Dec
Zantel yazindua ofa ya msimu wa sikukuu kwa wateja wake
Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin.
Kampuni ya simu ya Zantel leo imetangaza kuzindua ofa maalumu kwa ajili ya msimu wa sikukuku yenye lengo la kuwazawadia wateja wake muda wa maongezi bure na nyongeza ya asilimia 20% katika kila manunuzi ya vifurushi au muda wa maongezi wanayofanya kupitia huduma ya Ezypesa.
Ofa hii pia itamzawadia kila mteja wa Zantel anayefanya manunuzi ya muda wa maongezi usio chini ya shillingi elfu moja kuweza kupata dakika za bure za kupiga Zantel kwenda...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-pJCYl2zx7KE/VlSmumhxd5I/AAAAAAAAvxU/DcRp-I2Qo4Q/s72-c/DSCF9164.jpg)
GAPCO kutoa zawadi kabambe kwa wateja wake wa mafuta nchini