TIGO yatoa zawadi ya sikukuu ya Eid kwa wakazi wa Mbagala, yafavya tamasha kubwa
Msanii mpya kwenye Game mwanadada Rapa Chemical, akipiga bonge ya shoo iliyowasisimua mashabiki walikuja kuona tamasha la Tigo viwanja vya zakhem Mbagala.
Msanii wa bongo fleva Amini, akitoa burudani kwenye Tamasha la Tigo la sikukuu ya Eid lililofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jana.
Msanii wa bongo fleva Belle 9, akitoa burudani kwenye Tamasha la Tigo la sikukuu ya Eid lililofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jana.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
TIGO yafanya tamasha sikukuu ya Eid kwa wakazi wa Mbagala
Msanii mpya kwenye Game mwanadada Rapa Chemical, akipiga bonge ya shoo iliyowasisimua mashabiki walikuja kuona tamasha la Tigo viwanja vya zakhem Mbagala.
Msanii wa bongo fleva Amini, akitoa burudani kwenye Tamasha la Tigo la sikukuu ya Eid lililofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jana.
Msanii wa bongo fleva Belle 9, akitoa burudani kwenye Tamasha la Tigo la sikukuu ya Eid lililofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jana.
10 years ago
Dewji Blog15 Jul
Kampuni ya TIGO yatoa zawadi ya Eid na kufuturisha mkoani Singida
Meneja huduma kwa wateja Tigo Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe (mwenye miwani)akikabidhi zawadi za sikukuu ya Eid kwa Msemaji mkuu wa msikiti wa Taqwa Singida Mjini, Sheikh Saad Mhando kabla ya kupata futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Tigo mkoani humo.
Meneja huduma kwa wateja Tigo Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe (mwenye miwani)akiwa pamoja na Masheikh na watoto wa Msikiti wa Taqwa mjini Singida kwenye dua ya pamoja.
Wahuduma wa chakula wakitoa huduma kwa waalikwa.
11 years ago
Michuzi26 Jul
TTCL Yatoa Zawadi ya Eid El Fitr kwa Yatima Dar
Msaada huo wenye jumla ya thamani ya shilingi milioni 3 umekabidhiwa na Meneja wa TTCL, Dar es Salaam Kati, Jane Mwakalebela kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, ambaye alisema utaratibu huo ni wakawaida kwa kampuni yao kusaidia makundi na taasisi na...
10 years ago
MichuziLG YATOA ZAWADI MBALIMBALI KWA WATEJA WAKE WAKATI WA SIKUKUU YA SABASABA
10 years ago
Dewji Blog09 Jul
Kampuni ya LG yatoa zawadi mbalimbali kwa wateja wake ndani ya sikukuu ya sabasaba
Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris, (Kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari moja ya microwave ambayo inatolewa kama zawadi kwa wateja wanaonunua friji za kisasa za LG. Tukio hilo lilifanyika katika banda la LG ndani ya viwanja vya maonyesho ya 39 ya biashara kimataifa maarufu kama Sabasaba, wa pili kushoto ni meneja wa tawi la LG Mtaa wa Nkurumah, Yasin Lodhi .
Bw. Festo Sakaya akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kupokea zawadi ya Microwave ya kisasa toka...
11 years ago
GPL
KAMPUNI YA TTCL YATOA ZAWADI YA EID EL FITR KWA YATIMA DAR
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Kampuni ya Tigo yatoa zawadi za siku ya Mapinduzi kwa wateja wake Zanzibar
Mwakilishi wa jimbo la Wamtipura Zanzibar, Mh.Hamza Hassan Juma (kushoto) akipokea zawadi ya Tigo kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano wa kampuni hiyo, Bw. John Wanyancha wakati wa maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi Zanzibar.
Ofisa wa Tigo Zanzibar, Fredy Mugule akikabidhi zawadi kwa Fatuma Suleiman kwenye maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika kwenye Duka la Tigo Malindi .
Ofisa wa Tigo Zanzibar Fredy Mugule akikabidhi zawadi wa Thuwayba Ali kwenye maadhimisho ya...
5 years ago
MichuziBenki ya Exim Yatoa Msaada wa Vyakula Kwa Ajili Ya Sikukuu ya Eid Kwenye Vituo Vya Kulelea Watoto Yatima Mikoa ya Minne.
Ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) unaotekelezwa na benki hiyo unaofahamika kwa jina "Exim Cares", msaada huo ulilenga kuwawezesha watoto hao waweze kufurahia Sikukuu ya Eid-Ul-Fitr.
Kwa upande wa jiji la Dar es Salaam...
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Tigo yatoa udhamini kwa washindi wa Tigo Ngorongoro Run kushiriki Tigo Kili Half Marathon 2015
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Kanda ya Kaskazini, David Charles akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni ya Tigo kwa wanariadha ambao walishinda mbio za mwaka jana za Tigo Ngorongoro Run Marathon kushirki kwenye mbio za mwaka huu za Tigo Kili Half Marathon, Kushoto kwake ni Meneja wa Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha na Kulia kwake ni mwanariadha Mary Naali na Mjumbe toka Riadha Tanzania Meta Petro. Mkutano huo ulifanyika Mkoani Arusha jana.