TTCL Yatoa Zawadi ya Eid El Fitr kwa Yatima Dar
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa msaa wa vyakula kwa vituo vitatu vya kulelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu vya jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuvisaidia viweze kusherehekea vizuri siku kuu ya Eid El Fitr.
Msaada huo wenye jumla ya thamani ya shilingi milioni 3 umekabidhiwa na Meneja wa TTCL, Dar es Salaam Kati, Jane Mwakalebela kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, ambaye alisema utaratibu huo ni wakawaida kwa kampuni yao kusaidia makundi na taasisi na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0876.jpg?width=650)
KAMPUNI YA TTCL YATOA ZAWADI YA EID EL FITR KWA YATIMA DAR
9 years ago
Dewji Blog01 Jan
TTCL yatoa zawadi ya mwaka mpya kwa vituo vya Yatima Dar!!
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto) kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura akizungumza na wanahabari mara baada ya kukabidhi sehemu ya msaada wa chakula kwa ajili ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016 kwa vituo vitatu vya watoto yatima Dar es Salaam. Kulia ni Mlezi wa Watoto na Vijana wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Kiwohede, Stella Mwambenja.
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL),...
9 years ago
MichuziTTCL YATOA ZAWADI YA MWAKA MPYA KWA VITUO VYA YATIMA DAR ES SALAAM.
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MSAMA PROMOTIONS YAGAWA ZAWADI ZA EIDD EL FITR KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akimkabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali kwa mtoto Sophia Said wa kituo cha Yatima cha Maunga cha Kinondoni jijini Dar es Salaam ikiwa ni masandalizi ya Sikukuu ya Idd El Fitr.
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WATOTO YATIMA ,MAHABUSU YA WATOTO PAMOJA NA WAZEE WASIOJIWEZA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-turLpmImleY/VJMN5Jo6LhI/AAAAAAAG4Qc/s-MoRVH1nr8/s72-c/unnamed%2B(77).jpg)
Lake Duluti Serena Hotel yatoa zawadi kwa watoto yatima
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
TIGO yatoa zawadi ya sikukuu ya Eid kwa wakazi wa Mbagala, yafavya tamasha kubwa
Msanii mpya kwenye Game mwanadada Rapa Chemical, akipiga bonge ya shoo iliyowasisimua mashabiki walikuja kuona tamasha la Tigo viwanja vya zakhem Mbagala.
Msanii wa bongo fleva Amini, akitoa burudani kwenye Tamasha la Tigo la sikukuu ya Eid lililofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jana.
Msanii wa bongo fleva Belle 9, akitoa burudani kwenye Tamasha la Tigo la sikukuu ya Eid lililofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jana.
5 years ago
MichuziBenki ya Exim Yatoa Msaada wa Vyakula Kwa Ajili Ya Sikukuu ya Eid Kwenye Vituo Vya Kulelea Watoto Yatima Mikoa ya Minne.
Ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) unaotekelezwa na benki hiyo unaofahamika kwa jina "Exim Cares", msaada huo ulilenga kuwawezesha watoto hao waweze kufurahia Sikukuu ya Eid-Ul-Fitr.
Kwa upande wa jiji la Dar es Salaam...
10 years ago
Michuzi04 Apr
TTCL yatoa msaada kituo cha watoto yatima Chamazi
![Meneja wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoa wa Dar es Salaam Kusini, Adolf Matondo (kulia) akikabidhi sehemu ya msaada kwa kwa mmoja wa walezi wa watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund'.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_0095.jpg)
![Baadhi ya watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund' wakibeba sehemu ya msaada uliyotolewa kwao na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwa kituo hicho ikiwa ni maandalizi ya Siku Kuu ya Pasaka.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_01341.jpg)