Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lake Duluti Serena Hotel yatoa zawadi kwa watoto yatima

Yatima wanaolelewa katika nyumba ya watoto katika hospitali ya Nkoaranga wamepewa misaada mbalimbali iliyotolewa na wafanyakazi wa Lake Duluti Serena Hotel, mkoa wa Arusha katika kusherekea siku kuu za Krismas na mwaka mpya ikiwa ni njia ya kuyakumbuka makundi maalumu katika jamii.  Meneja wa hoteli hiyo, Gerald Macharia amesema wameguswa na hali ya maisha ya watoto hao ambao wazazi wao walifariki dunia wakati wa kujifungua na wengine walitelekezwa baada ya kuzaliwa.Amesema kwa miaka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Hoteli Serena yaratibu zawadi kwa watoto 200

Hoteli ya Serena, Dar es Salaam.HOTELI ya Serena imeratibu zawadi kwa wanafunzi 200 wa shule mbalimbali za msingi na kituo cha kutunza na kufundisha watoto wenye ulemavu wa akili Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea msimu huu wa Sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya.

 

11 years ago

Michuzi

TTCL Yatoa Zawadi ya Eid El Fitr kwa Yatima Dar

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa msaa wa vyakula kwa vituo vitatu vya kulelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu vya jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuvisaidia viweze kusherehekea vizuri siku kuu ya Eid El Fitr. 
Msaada huo wenye jumla ya thamani ya shilingi milioni 3 umekabidhiwa na Meneja wa TTCL, Dar es Salaam Kati, Jane Mwakalebela kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, ambaye alisema utaratibu huo ni wakawaida kwa kampuni yao kusaidia makundi na taasisi na...

 

10 years ago

GPL

SAKINA APELEKA ZAWADI KWA WATOTO YATIMA

Mtangazaji wa kipindi cha Ng’aring’ari Sakina Lyika akizungumza jambo huku akiwa amembeba mtoto ambaye aliachwa na wazazi wake kituoni hapo. Baadhi ya wafanyakazi wa Afri Tea wakiandaa Uji Bora kwaajili kuwapa watoto.…

 

11 years ago

GPL

KAMPUNI YA TTCL YATOA ZAWADI YA EID EL FITR KWA YATIMA DAR‏

Wawakilishi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Mama Theresa kilichopo Mburahati, wakipokea msaada wao toka kwa Meneja wa TTCL, Dar es Salaam Kati, Jane Mwakalebela kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL.  Kituo cha Watoto Yatima cha Mama Theresa kilichopo Mburahati, Kituo cha Mwandaliwa cha Mbweni na Kituo cha Chakuwama cha Sinza katika picha ya pamoja mara baada ya kupokea zawadi zao jijini Dar es Salaam.… ...

 

9 years ago

Dewji Blog

TTCL yatoa zawadi ya mwaka mpya kwa vituo vya Yatima Dar!!

IMG_0026

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto) kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura akizungumza na wanahabari mara baada ya kukabidhi sehemu ya msaada wa chakula kwa ajili ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016 kwa vituo vitatu vya watoto yatima Dar es Salaam. Kulia ni Mlezi wa Watoto na Vijana wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Kiwohede, Stella Mwambenja. 

IMG_0037

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL),...

 

9 years ago

Michuzi

TTCL YATOA ZAWADI YA MWAKA MPYA KWA VITUO VYA YATIMA DAR ES SALAAM.

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto) kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura akikabidhi sehemu ya msaada kwa baadhi ya watoto kutoka Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Kiwohede kilichopo Buguruni Malapa cha jijini Dar es Salaam. Msaada huo umetolewa leo na Kampuni ya TTCL kwa ajili ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016. Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto) kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Alex Msama amwaga zawadi za Krismas kwa vituo vya watoto yatima jijini Dar

1

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Bi. Honorata wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Honorata kilichopo Temeke jijini Dar es salaam leo wakati alipokabidhi msaada wa vyakula kwa vituo mbalimbali vya jijini Dar es salaam ikiwa ni zawadi yake ya sikukuu ya Krismas kwa vituo hivyo, Bw. Alex Msama amesema pia katika Tamasha la Pasaka litakalofanyika kesho wakati wa sikukuu ya Krismas mkoani Mbeya, kiasi cha fedha zitakazopatikana...

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco yatoa msaada kwa watoto yatima Dar

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa misaada ya vitu mbalimbali na kupata chakula cha mchana na watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Chakuwama kilichopo Sinza, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

TRA YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA - KAHAMA

 Baadhi ya vitu mbalimbali vilivyotolewa na mamlaka ya mapato TRA kahama la shirika la muvuma. Hili ndiyo jengo la ushirika la muvuma la kusaidi watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira hatarishi mjini kahama jengo hili kwa sasa ilinaitajika uzuio kwa ajili ya usalama kwa watoto hao . Meneja wa TRA kahama Peter Nkwabi akisalimia na muweka hazina wa shirika la muvuma Mjumbe wa shirika la muvuma Eliulie Matina alinyosha mkono kuonyesha baadhi ya maeneo ya jengo la watoto yatima kwa maofisa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani