Airtel yazindua ofa kabambe ya kutuma pesa bure

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua ofa kabambe itakayowawezesha wateja wa Airtel Money kutuma pesa kwa marafiki na familia zao ndani ya mtandao wa Airtel Bure
Ofa hii mpya ijulikanayo kama "Okoa Mapene'' ina lengo la kuinua huduma za kifedha na kuwapatia wateja njia rahisi ya kufanya miamala yao ya kila siku
Akiongea wakati wa uzinduzi, Meneja Uhusiano wa Airtel Bwn Jackson Mmbando alisema " kwa mara nyingine tena tunadhirisha kwa vitendo dhamira yetu ya kutoa huduma za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Airtel yatangaza ofa kabambe - Nunua Airtel HOME Wi-Fi na upate nyingine ya BURE

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetangaza ofa kabambe katika viwanja vya Sabasaba itakayomwezesha mteja kununua kifaa cha HOME Wi-Fi, chenye uwezo wa kuunganisha zaidi ya vifaa...
10 years ago
GPL
AIRTEL YATANGAZA OFA KABAMBE NUNUA AIRTEL HOME WI-FI NA UPATE NYINGINE YA BURE
10 years ago
Michuzi
Airtel yazindua ofa kabambe ya simu wakati wa msimu wa sikukuu


10 years ago
GPL
AIRTEL YAZINDUA OFA KABAMBE WAKATI WA MSIMU WA SIKUKUU
9 years ago
GPL
WATEJA WA AIRTEL KUTUMA PESA BURE
11 years ago
Michuzi
Airtel yazindua huduma ya kutuma na kutoa pesa Afrika Mashariki kupitia Airtel money

Huduma hii ya kwanza barani Afrika itamwezesha Mteja wa Airtel kutuma , kupokea na kutoa pesa kutoka kwenye salio lake la Airtel Money Hatua ya awali ya huduma hii inategemea kuanza tarehe 1 November 2014 kwa kushirikisha nchi za Kenya, Uganda, Tanzania na Rwanda ambapo huduma hii itaweza kupatikana...
9 years ago
GPL
WATEJA WA AIRTEL KUTUMA PESA BURE
11 years ago
Michuzi
Airtel Money yazindua rasmi huduma ya kutuma/kupokea pesa moja kwa moja kwenye akaunti ya tigo pesa

11 years ago
GPL
AIRTEL MONEY YAZINDUA RASMI HUDUMA YA KUTUMA, KUPOKEA PESA MOJA KWA MOJA KWENYE AKAUNTI YA TIGO PESA