Airtel yazindua ofa kabambe ya simu wakati wa msimu wa sikukuu
Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa uzinduzi wa ofa kabambe ya simu kwa msimu huu wa sikukuu ya Krismasi, ambapo itawawezesha wateja wa Airtel kununua simu za kisasa kwa bei nafuu na kupata vifurushi vya bure vya muda wa maongezi, ujumbe mfupi na huduma ya intaneti. Kushoto ni Meneja Masoko wa Bidhaa za Kisasa wa Airtel, Prisca Tembo. Meneja Masoko wa Bidhaa za Kisasa wa Airtel, Prisca Tembo (kushoto) na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA OFA KABAMBE WAKATI WA MSIMU WA SIKUKUU
9 years ago
MichuziAirtel yazindua ofa kabambe ya kutuma pesa bure
Ofa hii mpya ijulikanayo kama "Okoa Mapene'' ina lengo la kuinua huduma za kifedha na kuwapatia wateja njia rahisi ya kufanya miamala yao ya kila siku
Akiongea wakati wa uzinduzi, Meneja Uhusiano wa Airtel Bwn Jackson Mmbando alisema " kwa mara nyingine tena tunadhirisha kwa vitendo dhamira yetu ya kutoa huduma za...
9 years ago
Dewji Blog16 Dec
Zantel yazindua ofa ya msimu wa sikukuu kwa wateja wake
Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin.
Kampuni ya simu ya Zantel leo imetangaza kuzindua ofa maalumu kwa ajili ya msimu wa sikukuku yenye lengo la kuwazawadia wateja wake muda wa maongezi bure na nyongeza ya asilimia 20% katika kila manunuzi ya vifurushi au muda wa maongezi wanayofanya kupitia huduma ya Ezypesa.
Ofa hii pia itamzawadia kila mteja wa Zantel anayefanya manunuzi ya muda wa maongezi usio chini ya shillingi elfu moja kuweza kupata dakika za bure za kupiga Zantel kwenda...
10 years ago
GPLAIRTEL KUPITIA HUDUMA YA SWITCH ON YAZINDUA OFA KAMBABE YA SIMU NA TECNO H5 MPYA
10 years ago
MichuziAirtel yatangaza ofa kabambe - Nunua Airtel HOME Wi-Fi na upate nyingine ya BURE
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetangaza ofa kabambe katika viwanja vya Sabasaba itakayomwezesha mteja kununua kifaa cha HOME Wi-Fi, chenye uwezo wa kuunganisha zaidi ya vifaa...
10 years ago
GPLAIRTEL YATANGAZA OFA KABAMBE NUNUA AIRTEL HOME WI-FI NA UPATE NYINGINE YA BURE
9 years ago
GPLAIRTEL KENYA YAJA NA OFA KABAMBE YA ONE AIRTEL
9 years ago
Dewji Blog18 Nov
Kampuni ya simu ya Tigo yazindua chapa mpya LIVE IT, LOVE IT kuelekea msimu wa sikukuu ya Krismas
Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyanja, akizungumza na waandishi wa habari wakati akimkaribisha Meneja Mkuu wa Tigo kuzungumza na wanahabari.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Diego Gutierrez (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa chapa mpya yenye kauli mbinu ya ‘Live it, love it’ itakayoimarisha nafasi ya mbunifu anayeongoza kwa ubunifu wa kidigitali nchini. Kulia ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga.
Meneja...
9 years ago
Dewji Blog18 Nov
Kampuni ya simu ya Tigo yazindua kauli mbiu yake ya ‘Live It, Love It’ kuelekea msimu wa sikukuu ya Krismas
Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyanja, akizungumza na waandishi wa habari wakati akimkaribisha Meneja Mkuu wa Tigo kuzungumza na wanahabari.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Diego Gutierrez (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa chapa mpya yenye kauli mbinu ya ‘Live it, love it’ itakayoimarisha nafasi ya mbunifu anayeongoza kwa ubunifu wa kidigitali nchini. Kulia ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga.
Meneja...