Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Airtel yazindua ofa maalum kwa wateja.

Na Lilian Mtono

Dar es Salaam

 

Kampuni ya simu za mkononi ya airtel imezindua ofa maalumu ya simu, inayoenda bega kwa bega na kuwazawadia wateja wake wakati wa msimu huu wa sikukuu za krismas na mwaka mpya.

 

Ofa hii itajumuisha simu za kisasa kwa bei nafuu pamoja, vifurushi vya muda wa maongezi na internet.

 

Uzinduzi wa ofa unakuja ukiwa ni sehemu ya mpango wa airtel wa kutoa huduma bora zaidi na kuwawezesha wateja wake kufaidika hasa kwenye kipindi hiki cha sikukuu.

 

 

Chini ya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Airtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja * huduma ya kwanza na kipekee kutolewa na kampuni ya mawasiliano ya simu nchini, inawawezesha wateja kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imezindua application itakayowawezesha wateja wake kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi na kupitia application ijulikanayo kama "Airtel care App"  Application hii mpya ya "Airtel care App" ni moja kati ya huduma nyingi za kibunifu zinazotelewa na Airtel zenye lengo la kuwawezesha wateja wa Airtel kutatua matatizo yao na mahitaji yao kwa urahisi wakati wowote Akizungumza Wakati wa uzinduzi wa "Airtel care App" Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw Jackson...

 

9 years ago

Dewji Blog

Zantel yazindua ofa ya msimu wa sikukuu kwa wateja wake

pic-zantel

Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin.

Kampuni ya simu ya Zantel leo imetangaza kuzindua ofa maalumu kwa ajili ya msimu wa  sikukuku  yenye lengo la kuwazawadia wateja wake muda wa maongezi  bure na nyongeza ya asilimia 20% katika kila manunuzi ya vifurushi au muda wa maongezi wanayofanya kupitia huduma ya Ezypesa.

Ofa hii pia itamzawadia kila mteja wa Zantel anayefanya manunuzi ya muda wa maongezi usio chini ya shillingi elfu moja kuweza kupata dakika za bure za kupiga Zantel kwenda...

 

9 years ago

Michuzi

ZANTEL YAZINDUA OFA MPYA YA MUDA WA ZIADA KWA WATEJA WAKE

 Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose akizungumza wakati wa kuzindua ofa mpya ya Kula Tano kwa wateja wa Zantel, ambayo inawazawadia wateja wao dakika za bure kwa kupokea simu zao.  Meneja wa Zantel, Deus Mtena akizungumza wakati wa uzinduzi wa ofa ya Kula Tano katika ofisi za Zantel, Anayetazama kushoto ni Meneja wa Huduma, Ashish Singh. Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose akigawa vipeperushi vya ofa ya Kula Tano baada ya kuizindua katika ofisi za Zantel.
KAMPUNI ya simu ya Zantel leo...

 

9 years ago

Michuzi

Airtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua application itakayowawezesha wateja wake kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi na kupitia application ijulikanayo kama “Airtel care App”.
Application hii mpya ya “Airtel care App” ni moja kati ya huduma nyingi za kibunifu zinazotelewa na Airtel zenye lengo la kuwawezesha wateja wa Airtel kutatua matatizo yao na mahitaji yao kwa urahisi wakati wowote.
Akizungumza Wakati wa uzinduzi wa “Airtel care App” Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA LUKU OFA KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY‏

Meneja Uendesha kitengo cha Airtel Money Asupya Naligingwa akiongea wakati wa uzinduzi wa ofa itakayowawezesha wateja wa Airtel kupata LUKU Bonus kupitia huduma ya Airtel Money. Airtel Yazindua LUKU OFA kupitia huduma ya Airtel Money
· Wateja kupata bonus ya LUKU pale watakaponunua LUKU kupitia huduma ya Airtel money Dar es Salaam, Mei 5th 2014 Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua ofa mpya itakayowawezesha...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel Yazindua LUKU OFA kupitia huduma ya Airtel Money

Meneja Uendesha kitengo cha Airtel Money Asupya Naligingwa akiongea wakati wa uzinduzi wa ofa itakayowawezesha wateja wa Airtel kupata LUKU Bonus kupitia huduma ya Airtel Money.
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua ofa mpya itakayowawezesha wateja wake kupata LUKU Bonus kila wakati watakaponunua LUKU kupita huduma Airtel Money.  ofi hii ni mwendelezo wa dhamira ya Airtel katika kuhakikisha wateja wake wanapata huduma bora nchini.
Akiongea kuhusu ofaa hii Meneja wa kitengo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Airtel yazindua wiki ya huduma kwa wateja

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imejipanga kikamilifu kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuzitambua jitihada na michango ya watoa huduma wao na kuthamini umuhimu wa wateja. Airtel,...

 

10 years ago

Habarileo

Airtel Tanzania yazindua wiki ya huduma kwa wateja

KAMPUNI ya simu za mkononi Airtel imejipanga kikamilifu kushehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kutambua jitihada na michango ya watoa huduma wao na umuhimu wa wateja.

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yazindua ofa ya LUKU

Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel kwa kushirikiana na shirika la umeme la (TANESCO) imezindua ofa kabambe itakayowazawadia wateja wake nchi nzima Unit za bure za Luku pindi watakaponunua LUKU kupitia huduma ya Airtel Money
Ofa hii mpya ina lengo la kuboresha upatikanaji wa huduma ya umeme na pia kuwazawadia wateja wa Airtel wanaonunua unit za LUKU kupitia huduma ya Airtel Money
Akiongea kuhusu ofa hiyo, Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackosn Mmbandoalisema” Wateja wetu watazawadia unit LUKU...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani