Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zantel yazindua BongaMpakaBasi kuwawezesha wateja kupiga simu mitandao yote kwa gharama nafuu

Katika kuleta unafuu wa huduma za mawasiliano nchini, Kampuni ya simu ya Zantel leo imezindua bidhaa ya bando ijulikanayo kama ‘BongaMpakaBasi’ili kuwawezesha wateja wake kupiga simu kwenda mitandao yote kwa gharama nafuu.
Huduma hiyo, itawafanya wateja wa Zantel kupiga simu kwenda mitandao mingine kwa gharama ileile ya kupiga ndani ya mtandao kupitia kifurushi kimoja cha ‘BongaMpakaBasi’.Bidhaa hiyo inatajwa kuchochea shughuli za kiuchumi na kijamii hapa nchini.
Akizungumza wakati wa uzinduzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Zantel yazindua ofa ya msimu wa sikukuu kwa wateja wake

pic-zantel

Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin.

Kampuni ya simu ya Zantel leo imetangaza kuzindua ofa maalumu kwa ajili ya msimu wa  sikukuku  yenye lengo la kuwazawadia wateja wake muda wa maongezi  bure na nyongeza ya asilimia 20% katika kila manunuzi ya vifurushi au muda wa maongezi wanayofanya kupitia huduma ya Ezypesa.

Ofa hii pia itamzawadia kila mteja wa Zantel anayefanya manunuzi ya muda wa maongezi usio chini ya shillingi elfu moja kuweza kupata dakika za bure za kupiga Zantel kwenda...

 

9 years ago

Michuzi

ZANTEL YAZINDUA OFA MPYA YA MUDA WA ZIADA KWA WATEJA WAKE

 Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose akizungumza wakati wa kuzindua ofa mpya ya Kula Tano kwa wateja wa Zantel, ambayo inawazawadia wateja wao dakika za bure kwa kupokea simu zao.  Meneja wa Zantel, Deus Mtena akizungumza wakati wa uzinduzi wa ofa ya Kula Tano katika ofisi za Zantel, Anayetazama kushoto ni Meneja wa Huduma, Ashish Singh. Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose akigawa vipeperushi vya ofa ya Kula Tano baada ya kuizindua katika ofisi za Zantel.
KAMPUNI ya simu ya Zantel leo...

 

11 years ago

Michuzi

BRIEN HOLDEN YAZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA GHARAMA NAFUU

Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens Lisakatu (katika)  akiakata utepe kuashiria uzinduzi wa miwani ya Kibo  ambayo itamuwezesha  mtanzania yeyote kuweza kupimamacho na kupewa miwani kwa gharama nafuu, (wapili kulia ) ni Rasi wa Chama cha wataalamu wa macho nchini (TOA) Frank Magupa  (wapili  kushoto) ni Ofisa Mkazi wa Shirika  la   Brien Holden  Vision Institute  hapa nchini Eden Mashayo, wakwanza kushoto ni mratibu wa mradi huo Rebecca...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wateja wa Tigo na ZANTEL sasa kufurahia huduma salama na uhakika ya kutumiana fedha kwenye Mitandao yao kwa 100%

2

Meneja Chapa wa Tigo William Mpinga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mjini Zanzibar mapema leo kuhusu ushirikiano kati ya TigoPesa na EzyPesa ambapo sasa wateja kutoka mitandao hiyo miwili wataweza kutuma na kupokea pesa kutoka mtandao hiyo moja kwa moja kutoka kwa wakala wa mtandao wao bila kuwa na ulazima tena wa mteja kutafuta wakala wa mtandao wa mtu aliyemtumia pesa.

3

Mkurugenzi wa Huduma za Kutuma na Kupokea Fedha wa Tigo Andrew Hodgson akitoa maelezo kwa waandishi...

 

11 years ago

GPL

BRIEN HOLDEN YAZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA GHARAMA NAFUU‏

Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens Lisakatu (katikati) akiakata utepe kuashiria uzinduzi wa miwani ya Kibo ambayo itamuwezesha Mtanzania yeyote kuweza kupima macho na kupewa miwani kwa gharama nafuu, (wa pili kulia ) ni Rasi wa Chama cha wataalamu wa macho nchini (TOA), Frank Magupa  (wa pili  kushoto) ni Ofisa Mkazi wa Shirika la Brien Holden Vision Institute  hapa nchini Eden...

 

11 years ago

Habarileo

Tigo kurejesha gharama za laini za simu kwa wateja wake

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo imezindua utaratibu wa kurudishia wateja wake gharama zote za ununuzi wa laini za simu kwa kuwapa muda wa maongezi na salio katika akaunti za Tigo pesa.

 

9 years ago

Michuzi

Airtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja * huduma ya kwanza na kipekee kutolewa na kampuni ya mawasiliano ya simu nchini, inawawezesha wateja kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imezindua application itakayowawezesha wateja wake kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi na kupitia application ijulikanayo kama "Airtel care App"  Application hii mpya ya "Airtel care App" ni moja kati ya huduma nyingi za kibunifu zinazotelewa na Airtel zenye lengo la kuwawezesha wateja wa Airtel kutatua matatizo yao na mahitaji yao kwa urahisi wakati wowote Akizungumza Wakati wa uzinduzi wa "Airtel care App" Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw Jackson...

 

10 years ago

BBCSwahili

Gharama ya kupiga simu kupunguzwa

Watuamiaji wa simu za mkononi nchini Kenya,Rwanda na Uganda hivi karibuni watakuwa wakipiga simu kwa bei nafuu.

 

9 years ago

Michuzi

NHIF YAZINDUA KITUO CHA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA WATEJA KUPITIA SIMU ZA MKONONI

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael Mhando akizungumza na vyombo vya habari wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano na Huduma Kwa Wateja (Call center) ambacho kitahusika na kupokea na kujibu hoja za wadau mbalimbali zitakazowasilishwa katika Mfuko kupitia Namba ya simu 0800 110063, barua pepe info@nhif.or.tz na mawasiliano kwa njia ya mtandao (Mitandao ya kijamii na simu za mkononi), uliofanyika leo kwenye makao makuu ya Mfuko huo, jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani