BRIEN HOLDEN YAZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA GHARAMA NAFUU
![](http://1.bp.blogspot.com/-6Fzl4J5n_uQ/U0FZ4d3eewI/AAAAAAAAS00/_9skPByj8Xg/s72-c/01.jpg)
Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens Lisakatu (katika) akiakata utepe kuashiria uzinduzi wa miwani ya Kibo ambayo itamuwezesha mtanzania yeyote kuweza kupimamacho na kupewa miwani kwa gharama nafuu, (wapili kulia ) ni Rasi wa Chama cha wataalamu wa macho nchini (TOA) Frank Magupa (wapili kushoto) ni Ofisa Mkazi wa Shirika la Brien Holden Vision Institute hapa nchini Eden Mashayo, wakwanza kushoto ni mratibu wa mradi huo Rebecca...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-6Fzl4J5n_uQ/U0FZ4d3eewI/AAAAAAAAS00/_9skPByj8Xg/s1600/01.jpg)
BRIEN HOLDEN YAZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA GHARAMA NAFUU
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-DEFPgkK4ciQ/Uz1P0A2uz5I/AAAAAAAASwg/-9MZJGiNpTE/s1600/2.jpg)
TAASISI YA BRIEN HOLDEN KUZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA GHARAMA NAFUU
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Brien Holden Vision yatoa msaada wa vifaa vya kupimia macho Wilaya ya Mkuranga na Kibaha
Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute, Eden Mahayo akisisitiza jambo wakati alipofika katika hospitali ya Wilaya ya Mkuranga kukabidhi msaada wa vifa vya macho kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za Mkuranga ambapo wanafunzi hao watapata huduma ya kupima na kutibiwa macho bure. Kulia ni Mganga mkuu wa Wilaya hiyo Dkt.Francis Mwanisi,Kaimu Mkurugenzi wa Mkuranga Benjamin Majoya na Mratibu wa Taifa wa Huduma ya Macho Dkt.Nkundwe...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-b6-3nGbVi0Q/XlaR5UgS5HI/AAAAAAAEFz8/HTXgsTASh-8vqILkIW6e74ZAXeiXYhTggCLcBGAsYHQ/s72-c/2dec0f48-c958-40c0-b6b4-572f1efcbd7b.jpg)
Zantel yazindua BongaMpakaBasi kuwawezesha wateja kupiga simu mitandao yote kwa gharama nafuu
Huduma hiyo, itawafanya wateja wa Zantel kupiga simu kwenda mitandao mingine kwa gharama ileile ya kupiga ndani ya mtandao kupitia kifurushi kimoja cha ‘BongaMpakaBasi’.Bidhaa hiyo inatajwa kuchochea shughuli za kiuchumi na kijamii hapa nchini.
Akizungumza wakati wa uzinduzi...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-q7su45tpbrw/VQHuV5XUVSI/AAAAAAAHJ9E/15ZlH5VU-ps/s72-c/01.jpg)
WANAFUNZI MKOANI MBEYA WAFAIDIKA NA HUDUMA YA BURE ZA MACHO KUPITIA BRIEN HOLDING VISION
![](http://3.bp.blogspot.com/-q7su45tpbrw/VQHuV5XUVSI/AAAAAAAHJ9E/15ZlH5VU-ps/s1600/01.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YIi6je0KpJPkeLvApudqlMA1*bTUN6Rkg-1XmB4HiV0jAnbktglXIPCy902lTqBtLexrMXBAVqGmq0VHGjUqfwfVQPdVZ7y9/01.jpg?width=650)
WANAFUNZI MKOANI MBEYA WAFAIDIKA NA HUDUMA YA BURE ZA MACHO KUPITIA BRIEN HOLDING VISION
11 years ago
MichuziCRDB yazindua huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi KCMC
10 years ago
Mwananchi15 May
Wauguzi ni nguvu ya mabadiliko, ufanisi na huduma za gharama nafuu